Dr. Dr. Dr. JK anataka kuunda serikali ya mseto na Dr. Slaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Dr. Dr. JK anataka kuunda serikali ya mseto na Dr. Slaa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Dec 30, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  maana kakabwa kweli. anajuta kuchakachua. anawaza safari za nje safari hii sijui itakuwa vipi. euronews wamerusha picha za kikatili wa polisi zidi ya maandamano ya amani ya waTZ. hapohapo kuna wikiliki inamsubiri. hapohapo kuna mgao wa umeme. hapohapo kuna dowans. hapohapo kuna kupanda kwa gharama ya umeme licha ya kuwa umeme wenyewe tiamaji-tiamaji. Slaa mwenyewe katulia tuli. kama maji mtungini. hana tyme. lakini mambo ya government ya jk hayaendi kabisa. hajui hata aanze na lipi amalize na lipi. jk sasa anatia huruma.

  inabidi amuite Slaa ili ampe u-PM? kama alivyofanya mwenzake Kibaki?
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,641
  Likes Received: 82,289
  Trophy Points: 280
  Mafisadi waliomweka madarakani kamwe hawawezi kukubali serikali ya mseto maana wanafahamu fika itakuwa mwisho wa ufisadi wao na wengi wanaweza kabisa kuishia lupango.
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Magufuli alitosha kuwa PM lakini sijui kwanini wamemrudisha huyu harmless creature!
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mkwere anataka kuoa mke mwingine,
  yeye nasikia siku hizi hata magazeti ya Tanzania Hasomi , labda yale ya shigongo, ili kujua mahala pakumshauri ma-msapu kwenda simnajua bibie ni mdau Jahazi.
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  inabidi sasa washauri wa jk waache ushabiki wamshauri mkulu azungumze na Dr. Slaa wapange namna ya kuongoza nchi pamoja. vinginevyo mwakani majira kama haya $1 = Tshs. 3000
   
 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ndoto za Alinacha
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hauamini kama Dr. Slaa anaona mbali kuliko JK?
   
 8. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Angekuwa anaona mbali asingeweza kuuvaa mkenge uliomtia doa kwa wastaarabu.
   
 9. N

  Nonda JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Nilishawahi kusoma humu JF kuwa haitakikani serikali mseto bara.

  Jee mawazo yameshageuka? CHADEMA itakubali "kuolewa" na CCM?
  CHADEMA iko tayari "kulala kitanda kimoja" na CCM?
  CHADEMA inataka kuwa CCM-D?
  Na DR. anataka kuwa msaliti, mpenda madaraka?

  Mkuu, mimi sikubaliani na matumizi ya maneno hayo kwenye red lakini napima joto vipi watu watayapokea haya inapotajwa Chadema? Wao hupenda kuyatumia wanapokejeli, wanapodharau vyama vyengine. Pitia threads humu JF utayaona hayo.

  Si uungwana hata kidogo yanapotumika kuonesha kejeli kwa vyama vyengine pia..

  Huo uchafuzi wa uchaguzi na serikali mseto unakuwa utamaduni mpya, fashion ya demokrasia mpya ya Afrika kwa sasa.
   
 10. tama

  tama JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dr Slaa anaweza sana kuliko JK.
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  ishu siyo chadema kuwa mume wa ccm.

  ni kwamba nchi yetu ina hali mbaya. serikali inawaza namna ya kutatua matatizo badala ya kuwasaidia waTZ kupiga hatua kimaendeleo.
   
 12. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kwani nani alikuambia JK ndio mwenye maamuzi katika hii nchi?? Si ungeona akiamua mambo???
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  H.C Dk. Dk. Dk Kikwete
   
 14. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaaaa kaka sasa unaanza kunishangaza ..... SERIKALI GANI INAWAZA KUTATUA MATATIZO???? au umepotoka hapo???
   
 15. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Masahihisho, ni H.E. Dr. Dr. Dr. Dr. COL RAIS JK (Kenya, Uturuki, Tanzania, Tanzania). Hivyo tu mkuu lazima umpe heshima kamili
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  ulimi hauna mfupa mdau.

  hapo kweli nimepotoka
   
 17. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Taja wastaarabu watano tafadhali maana kwa hiyo avatar yako sina uhakika wastaarabu unaomaanisha ni akina nani hapo??? please.......
   
 18. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Unaonaje hii ikawa homework yako?
   
 19. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ng'wang'wa eeh, si kweli kwamba Dr Dr Dr Kikwete hakufikiria hilo la kukalishwa na jumuia ya kimataifa na kuunda serikali ya mseto. Aliifikiria sssaaaannnaaa tu! Kama hauamini, hilo ndilo jambo ambalo wana-CCM woootteee wanapozungumza hutuambia kwa neno moja hivi ambalo bahati mbaya wengi wetu hatujalifahamu bado:

  Mara nyingi wao husema; 'tatizo lililopo nchini kwetu ni dogo sana na wala CHADEMA hawahitaji kuandamana kulitatua hata kidogo; sana sana wanachohitaji kufanya wenzetu hawa ni KUTAFUTA SULUHISHO LA KISIASA TU INATOSHA'.

  Yeyote asiyejua maana halisi ya suluhisho la kisiasa basi kwanza katazame Zanzibar. Viongozi hijifungia chumbani, kuzalisha nafzsi zaidi za kugawana madaraka bila kubshirikisha mwananchi wa kawaida kisha kumwambia akaigharamie ki-kodi.

  CHADEMA, kwa bahati mbaya sana na nje ya matarajio ya KIKWETE, wao hawako tayari kwa SULUHISHO LA KISIASA la kuleta pamoja viongozi tu kugawana madaraka na kuongeza mzigo kwa wananchi. Suluhisho la kisiasa lisilojumuisha wananchi kwa Tanzania linaitwa MWAFAKA / MARIDHIANO na kadhalika ( ambayo ni mwafaka kwa viongozi tu).

  Nachelea kusema MARIDHIANO na CCM kamwe haiwezi kufanya kazi Bara mpaka kwanza Dr Slaa na CHADEMA yake wajifunze na kufuzu viwango vyote vya Rushwa na UFISADI na wawe wameridhia hivo wahitimu kama Waheshimiwa Edward Lowasa, Rostam Aziz, Mkono, Chenge, Ridhiwani na wengine wengi tu.
   
 20. N

  Nonda JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Sasa unanifahamu and understand you. We speak the same language!! Strange...
  That is a step forward towards political maturity..
  Let us Convince others..there is much to be done.
   
Loading...