Dr. Dr. Dr. JK anataka kuunda serikali ya mseto na Dr. Slaa?

Dr. Dr. Dr. JK anataka kuunda serikali ya mseto na Dr. Slaa?

kumpa nchi dk slaa kuzidi kuingamiza nchi. dk slaa hawezi kuongoza anajua kukurupuka. kutulia kwake kunaonyesha jinsi alivuyokata tamaa. hasa 2015 pengine akisimamishiwa mkatoliki mwenziwe ccm hapo tena amemalizika kabisa


japo huchangia pumba, craps. malaria sugu hunifurahisha sana katika posts zako.

yaani haipiti siku haujawaza kuhusu Ukatoliki na Wakatoliki.


Unatamani Ekarist Takatifu?
 
Back
Top Bottom