Ernesto Che
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,114
- 293
Leo mbunge mteule Saed Kubenea amemaliza kazi, huyo makalio atakiona cha moto
Nilipita mitaa ya Ubungo hali niliyokutana nayo sioni Masaburi akifurukuta hata kidogo sana sana akipata 15% nitashangaa Dar watu wameamua kuikataa CCM na mambo yake.
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CCM anategemewa kupata ushindi mnono kutokana na historia yake kiutendaji, Masabuli atakuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu katika kuhakikisha wakazi wa Ubungo wanapata huduma stahiki za kijamii tofauti na hapo awali.

Wakazi wa Ubungo wasema wao ni Masabuli
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CCM anategemewa kupata ushindi mnono kutokana na historia yake kiutendaji, Masabuli atakuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu katika kuhakikisha wakazi wa Ubungo wanapata huduma stahiki za kijamii tofauti na hapo awali.
mkuu ulio waona ubungu nahakika ni wafanyabiashara ndogo ndogo na sio wakaazi wa ubungo yenyewe
masaburi anachukua jimbo kweupee
Nilipita mitaa ya Ubungo hali niliyokutana nayo sioni Masaburi akifurukuta hata kidogo sana sana akipata 15% nitashangaa Dar watu wameamua kuikataa CCM na mambo yake.
masaburi ;juu
Wabunge wa Dar es Salaam wanawaza kwa kupitia......masaburiiiiii!!!! :