Dr. Didas Masaburi njia nyeupe Bungeni

Dr. Didas Masaburi njia nyeupe Bungeni

naona unajitekenya...alafu unacheza mwenyewe...mh labda apate ubunge ndani ya ukoo wao..
 
Hahahaha aisee ni shida,mimi nipo ubungo haezi pata kura 3 mtaani kwetu hata yeye anajua
 
Masaburi hata yeye mwenyewe anajua kabisa kwamba hana jinsi ya kubadilisha mtizamo na uelewa wana u-bungo kuhusu kiongozi bora! kura nyingi sana zinaelekea kwa Kubenea kamanda kweli!.
 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CCM anategemewa kupata ushindi mnono kutokana na historia yake kiutendaji, Masabuli atakuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu katika kuhakikisha wakazi wa Ubungo wanapata huduma stahiki za kijamii tofauti na hapo awali.

Maybe in ur dreams
 
Kwa vichekesho na usanii wengine wenu hamwezekani. Katika kichwa cha thread umeandika vizuri kabisa Dr. Didas Masaburi lakini kwa makusudi ndani ya thread hiyo hiyo unamwita Masabuli! Halafu unaamini umejificha! Una tofauti gani na mbuni anayeficha kichwa mchangani bila kujua huku nje kaanika kila kitu? Ha ha haaa...!
 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CCM anategemewa kupata ushindi mnono kutokana na historia yake kiutendaji, Masabuli atakuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu katika kuhakikisha wakazi wa Ubungo wanapata huduma stahiki za kijamii tofauti na hapo awali.

Fedha za machinjio ya kisasa ndizo anazo wahonga
 
Back
Top Bottom