Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,782
- 21,008
Balozi wa Tanzania nchini Tanzania
kazipeleka NSSFSasa pesa alizokuwa analipwa NCCF na mafao kapeleka wapi??
Ni lini mabalozi walianza kureport?Wananchi kwa sasa tunajiuliza huyu Dr Dau ambaye alikuwa ni kiongozi mkubwa wa NSSF shirika ambalo lina jukumu ya kuhifadhi michango yetu ya kila mwezi, tumeambiwa amepewa ubalozi lakini hadi sasa hatujaambiwa ni nchi gani, huku nyuma tunashuhudia ufisadi mkubwa ukiibuliwa kwenye NSSF. Je huo ubalozi ni kichaka cha kumficha kumuokoa na kutumbuliwa?
Haaa mkuu silius niwakati wa hawa jamaa kujiandaa kisaikojia na kuanza maisha mapyakazipeleka NSSF
Maisha bila uteuzi yanawezekana!!Haaa mkuu silius niwakati wa hawa jamaa kujiandaa kisaikojia na kuanza maisha mapya
Hilo sio kwamba hawajui isipokuwa ni uovu tu.. hotuba ya JPM ilikuwa wazi kabisa kuwa atapangiwa.Kateuliwa kuwa balozi ila bado hajapangiwa aende ubalozi upi...nafikiri baba jane anasubir mtu avurunde afanye yake.
Kuteuliwa no swala moja na kupangiwa kaz niswala lingine,mtamtetea day weeee ila ukweli lazima afungwe,jpm amesema wazi hahitaji rushwa ktk chama chake sasa day hana pa kuhongea tena na watetez wake ndani ya ccm wataondoshwa sooonHilo sio kwamba hawajui isipokuwa ni uovu tu.. hotuba ya JPM ilikuwa wazi kabisa kuwa atapangiwa.
Kama bado yupo dsm tunategemea mzee wa kutumbua basi huu ni wakati mzuri wa kumtumbua huyu dau kwa kushindwa kusimamia taasisi nyeti kama hii ya nssf na sasa kila kukicha tunaona mabilioni yametafunwa
Asante sana kiongozi inawezekana alikabidhiwa vijisenti vya kusafishia viatuDau yu salama.Kumbuka Magufuri aliwahi kusema siku ya kufungua Daraja la Kigamboni kuwa bila bidii na jitihada binafsi ya Dau,Daraja la kigamboni lingechelewa au lisingejengwa.Labda Dau yawezekana ana mapungufu ya kibinadamu wa kawaida kwa kawaida mradi mkubwa kama huu haukosi vishawishi,nae ni binadamu si malaika .Kama alipewa pesa ya kubrush viatu sio mbaya.
Dau yu salama.Kumbuka Magufuri aliwahi kusema siku ya kufungua Daraja la Kigamboni kuwa bila bidii na jitihada binafsi ya Dau,Daraja la kigamboni lingechelewa au lisingejengwa.Labda Dau yawezekana ana mapungufu ya kibinadamu wa kawaida kwa kawaida mradi mkubwa kama huu haukosi vishawishi,nae ni binadamu si malaika .Kama alipewa pesa ya kubrush viatu sio mbaya.
Ameishapewa clean bill na raisi Magufuri, Dau ni matawi ya juu.Jipe moyo unadhan jpm ni we kuchekea,atakuwaje salama wakati walokuwa chini take wanachunguzwa
Tumetetea au tumeeleza ukweli wa issue .. na wewe kama nani unasema lazima afungwe..? Dau hawezi kufungwa hata iweje.. rejea ripoti ya CAG pia sikiliza hotuba ya JPM siku ya ufunguzi nini alisema kuhusu Dau.. acheni hizo shisha maana zinawalenywa.Kuteuliwa no swala moja na kupangiwa kaz niswala lingine,mtamtetea day weeee ila ukweli lazima afungwe,jpm amesema wazi hahitaji rushwa ktk chama chake sasa day hana pa kuhongea tena na watetez wake ndani ya ccm wataondoshwa sooon
Alhajj anawatoa roho wengi humuKama bado yupo dsm tunategemea mzee wa kutumbua basi huu ni wakati mzuri wa kumtumbua huyu dau kwa kushindwa kusimamia taasisi nyeti kama hii ya nssf na sasa kila kukicha tunaona mabilioni yametafunwa
Tumetetea au tumeeleza ukweli wa issue .. na wewe kama nani unasema lazima afungwe..? Dau hawezi kufungwa hata iweje.. rejea ripoti ya CAG pia sikiliza hotuba ya JPM siku ya ufunguzi nini alisema kuhusu Dau.. acheni hizo shisha maana zinawalenywa.