Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Wananchi kwa sasa tunajiuliza huyu Dr. Dau ambaye alikuwa ni kiongozi mkubwa wa NSSF shirika ambalo lina jukumu ya kuhifadhi michango yetu ya kila mwezi, tumeambiwa amepewa ubalozi lakini hadi sasa hatujaambiwa ni nchi gani, huku nyuma tunashuhudia ufisadi mkubwa ukiibuliwa kwenye NSSF.
Je, huo ubalozi ni kichaka cha kumficha kumuokoa na kutumbuliwa?
Je, huo ubalozi ni kichaka cha kumficha kumuokoa na kutumbuliwa?