Dr. Dau bado anatumia magari ya NSSF

Dr. Dau bado anatumia magari ya NSSF

Mhhh mlivyomkamia dk Dau....kwa umaskini upi wa gari alonayo hadi ang'ang'anie hilo.mwacheni apumzike
 
Wewe si ndie ulileta mada ya uteuzi wa Mganda na kumpa sifa kede kede..? Wadau wakakuambia si raia wa tz ulivimba kichwa na kuleta maneno ya jeuri ila uteuzi wake ulipotenguliwa baada ya masaa matano haukurud tena kwenye thread yako ndo unaibuka leo na suala la Dr. Dau. Acha wivu na majungu ndg weka picha na huyo Dr. Dau alishaondoka Siku nyingi hapo acha kumfuata fuata.
Best comment of the day
 
Wandugu,

Leo nimemuona Dau akiwa na gari ya NSSF.Je, bado anahudumu NSSF?

Ikumbukwe kuwa baada ya kutumbuliwa alokuwa wanaenda ofisini na ku approve baadhi ya mambo hadi alivyopigwa stop na approval zote kuwa null and void.

Ungemfata kwake umbebe mgongoni mwako
Umaskini na ufukara umekujaa mbwa wewe
Fata yako. Ukiyashinda yakalie kitako habith mkubwa we
 
Sasa kama mnadai Dr anamiliki timu england .. Iweje atumie gari za NSSF ..?!

Hivi inakuwaje Dr anachukiwa na watu flani flani humu jf .. ?
 
Udi
Sasa kama mnadai Dr anamiliki timu england .. Iweje atumie gari za NSSF ..?!

Hivi inakuwaje Dr anachukiwa na watu flani flani humu jf .. ? Sansana wale wa upende mwengine?!

Huu udini acha tu, nadhani wanajua sensa vizuri
 
Huyu Dr.Dau yaani ni king'ang'aniz kweli kweli... Yaani nimesikia hata access ya milango na systems kama email za Nssf bado anazo yaani bado ana access ktk system zote pale.... JPM hebu mpe nchi huyu mtu aondoke hapa nchini...
Acha majungu suala la access ya email ni la muajiri,Dau hawezi kujiondolea access hiyo ni kazi ya IT
 
Wandugu,

Leo nimemuona Dau akiwa na gari ya NSSF.Je, bado anahudumu NSSF?

Ikumbukwe kuwa baada ya kutumbuliwa alokuwa wanaenda ofisini na ku approve baadhi ya mambo hadi alivyopigwa stop na approval zote kuwa null and void.
Kumbuka Dau ni balozi,ana haki ya kutumia usafiri wa umma hadi atakapopangiwa kituo,Dau hakutenguliwa au kusimamishwa kama kabwe,ameteuliwa kuwa balozi,hakuna tatizo hapo NSSF watapeleka invoice wizara ya mambo ya nje
 
Du mbona lugha kali sana unatumia,au na we mrija umekatwa kwa kupigwa chini kwa dau,mpo wengi kumbe

Familia yetu sio masikini kama unavodhani we struggled, we got and we spend to the fullest nyie jadilini magari si ndo hvo tunatumia na tutatumia mpaka mpasuke
 
Kumbuka Dau ni balozi,ana haki ya kutumia usafiri wa umma hadi atakapopangiwa kituo,Dau hakutenguliwa au kusimamishwa kama kabwe,ameteuliwa kuwa balozi,hakuna tatizo hapo NSSF watapeleka invoice wizara ya mambo ya nje

Well said
 
Familia yetu sio masikini kama unavodhani we struggled, we got and we spend to the fullest nyie jadilini magari si ndo hvo tunatumia na tutatumia mpaka mpasuke
Apo nimekuelewa kumbe ni mwanafamilia jiandaeni kumpelekea msosi seger
 
IMG-20160421-WA0012.jpg
Apo nimekuelewa kumbe ni mwanafamilia jiandaeni kumpelekea msosi seger

Jiandae kupasuka zaidi
 
Dau alikuwa na watendaji wezi(Sijajua kama alikuwa hajui) sana sana yaani daaaah kweli mtu unaiba pesa zote hizo huyu na Kebwe hawana tofauti
 
Back
Top Bottom