Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Sijakuelewa unataka kusema nini.Labda anaesema nyapara wa magereza ya ukonga ndo sahihi
Sijakuelewa unataka kusema nini.Labda anaesema nyapara wa magereza ya ukonga ndo sahihi
Acha umbea wew ulitaka apande daladala kama wewe
Acha umbea wew ulitaka apande daladala kama wewe[/QUOTE
Kwann aendelee kupanda magari ya NSSF walati tayari ameshatumbuliwa?
Hayo ni mazoea mabaya,, ukisha tumbuliwa lazima ukae pembeni usubiri kovu lipone kwanza sasa akiligonga gari letu gharama tunahamishia wp,,ofsn au nyumbani kwake?
Umbea ni hatari sana! Dr. Dau hajatumbuliwa Bali amenadilishiwa kazi! Anaandaliwa ubalozi Fulani hivi! Bila shaka kwenye mataifa ya uarabuni!
Mkuu unataka watu wafe kwa presha.twende polepoleBalozi Dr. Ramadhani Kitwana Dau lile V8 ni la kwake lile la NSSF lenye plate no. Inaanzia SU kishalirudisha tuache uongo. Ndo kwanza karejea zake kutoka England kwny mapumziko kutoka kushuhudia Team yake ya Arsenal ikivuliwa ubingwa wa FA. Tumuache aendelee na maisha yake akisubiriwa kukabidhiwa u Govenor kama tetesi hizi ni za kweli
Thubutu!, unataka wenye chuki humu wajinyonge?Mkuu unataka watu wafe kwa presha.twende polepole
Wagalatia wangekuwa na uwezo wangemtoa roho Dr. Dau.
Acha utani bana wezi nchi yao ni magereza,ila matusi no
Dau ni mwizi hajawahi kuwa msafiKwa hiyo unataka awape access ya milango ili mumuhujumu ili aonekane mwizi sio, hapo ndio utabaini kwanini anaitwa Dr,
J
Jamani kutukanana tuache,tujenge hoja,dau asitufarakanishe yeye si mtume Mohammed wala yesu,ni mwanadamu so aweza kuwa na mapungufu tuyaseme
Lazma achukiwe kwa kuwa yeye ndo aliyeanzisha chuki,zaidi ni mwizi aliyebobea subiria ripoti zitoke ndo utajua huyu firauni alokuwa jizi na atapewa ubalozi gereza LA maweni tangandio nashangaa kwanini wagalatia wanamchukia sana ?