Dr.Charles Kitima:Wanaolengwa ni wakatoliki

Status
Not open for further replies.
Kitima ni mkurupukaji, kwanza yeye mwenyewe ni mshirikina balaa na mwasherati! kuna ushaidi wa wanafunzi pale saut aliotembea nao. Na inasemekana anajipendekeza ili apewe uaskofu wa majimbo ambayo yako wazi kwa sasa huyu jamaa ni mnafiki na mzandiki sana na ni mpika majungu sana baraza la maaskofu hawajamstukia ila jamaa atawaingiza chaka kwa uroho wake wa madaraka.
 
Tatizo lenu mnataka watu kama akina Dr. Bana wanaojikomba na kudhalilisha taaluma zao.
 

Huijui SAUT wewe peleka huko majungu!!!!Kama una huo ushahidi weka hapa,siyo habari za kusemekana hapa.
 
tatizo ni kumjua Kitima au kupata ukweli wa yale aliyosema?
 

hii ni tabia ya wenye akili fupi hujadili personality ya mtu!
 

kama hivo ndivyo kwamba hakuba muislam aliyehusika kulipua kanisa arusha, naanza kuamini kwa nini waliompiga risasi zanziba, na waliochoma makanisa kdhaa bara na visiwani kwa nini hawajakamatwa. yawezekana wanaopewa jukumu la kutafuta watuhumiwa ndo watuhumiwa wenyewe.

kama wahusika ni wakristo si wakamatwe tu na kushitakiwa na kufungwa au hata kunyongwa, kwa nini hawakamatwi na hivyo kutoa nafas ya waislam kulaumiwa!

kwa jinsi ulivovalia suala hili njuga yawezekana hata wewe unajua wahusika au nawe ni.mhusika au unashiriki kuficha ukweli ili wahudika wasichukuliwe hatua waendelee kuchoma makanisa na kuua viongozi wa dini. lakini ujue mungu yupo na ndiye anayejua hukumu yenu na washirika wenu
 
We unajua habari za uongo za polisisiemu na Pengo alivyoshusha munkari! Dr. Charles Kitima anajua ya ndani
 

Kisu kimegusa mfupa sheikh Secretary General.
Najua umekumbwa na mhemko tu kwakuwa maelezo yake yalikuwa very clear.
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa kweli wewe ni msomi na umefundishwa na huyo unayemkosoa pengine 'alikuambukiza' makosa unayo msema nayo. Ebu rejea point zako zote ulizozitoa na kisha tafuta marejeo ili utafute ukweli kwa kila uliloliandika na ufanye hivi bila jaziba. Ukiskarekebisha tuache tuijadili.
 
Kisu kimegusa mfupa sheikh Secretary General.
Najua umekumbwa na mhemko tu kwakuwa maelezo yake yalikuwa very clear.
Hapana mkuu mimi ni mkristo wa madhehebu ya katoliki Bishop wangu ni Pengo, na wasaidizi wake eusebius nzigilwa na huyu mwingine nimemsahau jina alisimikwa last week. Napenda kusimamia ukweli tu. Kitima ni janga ndani ya kanisa just mark my words time will tell.
 

Kwa maandishi yako nahisi wewe ndiye mhusika majanga ya unguja na Arusha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…