kama hivo ndivyo kwamba hakuba muislam aliyehusika kulipua kanisa arusha, naanza kuamini kwa nini waliompiga risasi zanziba, na waliochoma makanisa kdhaa bara na visiwani kwa nini hawajakamatwa. yawezekana wanaopewa jukumu la kutafuta watuhumiwa ndo watuhumiwa wenyewe.
kama wahusika ni wakristo si wakamatwe tu na kushitakiwa na kufungwa au hata kunyongwa, kwa nini hawakamatwi na hivyo kutoa nafas ya waislam kulaumiwa!
kwa jinsi ulivovalia suala hili njuga yawezekana hata wewe unajua wahusika au nawe ni.mhusika au unashiriki kuficha ukweli ili wahudika wasichukuliwe hatua waendelee kuchoma makanisa na kuua viongozi wa dini. lakini ujue mungu yupo na ndiye anayejua hukumu yenu na washirika wenu