Dr.Charles Kitima:Wanaolengwa ni wakatoliki

Dr.Charles Kitima:Wanaolengwa ni wakatoliki

Status
Not open for further replies.
mkuu hapa linatengenezwa tukio ili kuwagombanisha waislam na wakristo. wanajua wanachofanya, na kimsingi wanachotaka ni serikali ianze kuwakamata waislam na kuwaweka ndani. na hapa wanachofanya ni kuwachongea, na baada ya kupiga kelele sana wameamua kutengeneza matukio. hebu ona kwa mfano hili la Arusha walivyoumbuka. hebu jiulize kama waliokuwa kwenye kanisa walimuona ambrose kwa macho yao akirusha bomu na wakataka kumuua kama sio polisi kumuokoa (kuna video niliweka humu ya jinsi askari walivyomuokoa mamods wakaiondoa kwa malengo wanayoyajua wenyewe), jiulize kingetokea nini? na kwa nini wanajaribu kupindisha hata mambo ambayo kila mmoja anayaona? hata hapa JF kwenyewe tunajionea jinsi wanavyopindisha ukweli. kama sio kukimbilia kuwachongea waislam kwa vyombo vya dola. kwa kifupi haya mambo ni zaidi ya tuyajuavyo na kuyaona.
ILA WAJUE HAKUNA UBAYA USIOKUWA NA MWISHO.

Msifanye usanii!.. Hakuna mtu anayesema waislamu wote wamelipua Arusha, Bali ni wafuasi wa ILUNGA ambao pia kidini ni waislamu. Kanisa halijashambuliwa na wakristo, full stop.
 
Hata Yule Katekista alozikwa akiwa Hai mbeya kwa Imani za Kishirikina atasema Waislam ndo wahusika au wachochezi, hata Lile kanisa la Kibwetere kule Uganda Waislam walichoma, Ukweli akishaujua Allah binadam asikushulishe hata Kidogo, Ukweli haupatikani kwa Maombi, Dua au Vipima joto kwenye TV! Hitler wakati wa 2nd World War alichoma Bunge la Ujerumani na wakati linateketea akamkamata Myahudi akamshikisha Galon la Petrol akampiga Picha zikatokea kwenye Front page ya Magazeti baada ya hapo Wajerumani wakisaidiwa na Vatican wakamuunga mkono sana Hitler kuteketeza Wayahudi, Ukweli ulifichwa kwa 55 years lakin mwaka 2000 Pope john Paul akizuru Israel aliomba radhi wayahudi kwa Niaba ya Kanisa katoliki Duniani kwa uhalifu dhidi ya wayahudi!

Tukio la ARUSHA, akikamatwa ILUNGA ukweli utajulikana, ila hakuna mkristo anayehusika, mpaka pale atakapotajwa huyo mfuasi wa ILUNGA, ...boda boda ni wasafirishaji wasiojua mtu..
 
Tanzania hakuna tatizo la udini bali ni kuna ukosefu wa uongozi bora periodi!
 
katia aibu gani? kaongea ukweli mchungu kweli!
 
"Hata wewe umeiwakilisha Hoja hii ki'udini'. kwamba mwalimu wako amekurupuka sio mjadala, lakini na wewe una una uhakika kuwa sio waislamu waliofanya tukio hilo?, kama una uwezo mzuri wa kufikiri utakubali kuwa anayelipua kanisa kwa lengo la kuua watu waliopo kanisani wakifanya shughuri za kikanisa hawezi kuwa upande wa watu hao, au ni muasi au ni mtu kutoka kundi lingine. OK, historia na utafiti juu ya mambo yaliotokea na yanayoendelea kutokea Duniani inatufanya kufikiri kwanza "WAISLAMU WANHUSIKA" halafu wengine tutafikiri baadaye, hiyo mifano yako kuhusu migogoro ndani ya ukristo wala haitoshi kutetea hoja yako, Na kwa nini uitetee? kuna kitu umeona.
 
Nafahamu hapa watu watakuja na kukushambulia kwa ulichokiandika, lakini ukweli uko pale pale watu hatumjui mbaya wetu au tunamjua na kumficha kwa kisingizio cha dini! Nafikiri mtu mwenye busara atajibu hoja ulioitoa kuliko wewe binafsi, watanzania tumtafute adui yetu kabla hali haijakuwa mbaya maana kukichafuka hakuna atakayepona si wakristo, waislamu, wahindu wala wapagani! Kwani hizi dini zote si zimeishi miaka yote kwa kuvumiana despite their difference? inakuwaje leo ndio kuwe na chokochoko zisizo na msingi? We need to think wider
 
Sasa kwa hayo matukio uliyoyaongelea hapo 1,3,5 unadhani ni kwa nini hawajasingiziwa kuwa waliofanya ni waislam?
Je huoni matukio hayo yamejionyesha wazi ni nani muhusika? kwa hiyo hakuna haja ya kuwashuku waislam?
Kwa hiyo unayafananisha haya matukio na yale ya kuchomwa makanisa na watu wa dini tofauti? na unafananisha na yale ya kuvamiwa na kuharibiwa mabucha ya wakristo? na una ya exclude na uchochezi huu hapo chini?

Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube

Ustadh Ilunga - Kongamano la Ikwiriri Part 1 - YouTube
 
jiulize haya utapatajibu (1) kwanini mashambulizi yamepamba moto baada ya shehe ilunga kuhamasisha. (2) kwanini romani tu. (3) kwanini hakulipua sokoni,sitendi,shule na NK, kwanini waziri atangazie taifa kuwa mhusika ni VICTOR hali anajua ni bodaboda
 
Pengo amesma kua ealiofanya tukio hilo ni miongoni mwa waumini wake
Jamani waisilamu waacheni wapumzike

Amani hii ikiondoka kila mmoja ataathirika
 
HIVI MPAKA LEO HUJUI KWA NINI KULE Iraq Afghanistan na Pakstan watu wanauana? Jiulize kabda ya US na allies kwenda kumuondoa Sadam walikuwa wanalipuana? bila Us et al kwenda kuivamia Afghan walikuwa wanauana? kumbuka Afghan na Pakistan ni majirani na ndugu. kwa kifupi kilichopo pale ni vita kati ya vibaraka na wananchi. Funguka mkuu.

Hii kali. Wameanza kuuana zamani kabla Sadam hajatolewa. Iraq na Iran wamepigana mno kabla ya hapo. Sadam amewaua sana wa kurd wairaq kabla ya hapo, sadam aliwapiga mabomu ya sumu wakafa mpaka samaki kwenye mto/mito yao. Hapo ilikuwa ukivuta hewa unakufa ilikuwa noma kuna mama alikufa amekaa anamnyonyesha mwanae wote na mwanae kafa mdomo upo kwenye titi. Afghanistan walikuwa wanauana sana kabla ya hapo wakati Russia wanawasaidia wapinzani.
Soma upya historia ya maeneo hayo upya. Bahati mbaya sikuwa digitali enzi hizo ningeweza kutunza kumbukumbu na kukuwekea uone, hii link hapa chini ni kidokezo kidogo tu.

halabja,halabjah, iraq, north iraq, kurdistan, kurdland, kurd,bloody friday

March 16, 1988: Saddam Hussein Orders Chemical Bombing of Kurds in Iraq

5,000 civilians murdered. Was the United States complicit?

From Pierre Tristam, former About.com Guide





A scene from Halabja's museum commemorating the 5,000 Kurds who died on March 16, 1988 when Saddam Hussein ordered the town bombed with poison gas
Wathiq Khuzaie/Getty Images)

March 16, 1988: Toward the end of the Iran-Iraq war, Iraq's Saddam Hussein orders the bombing of the Iraqi Kurdish town of Halabja with chemical bombs. The bombing, which kills about 5,000 people, is part of Saddam's Anfal campaign designed to eradicate Iraq's Kurds. Peter Galbraith, then a senior adviser to the U.S. Senate Foreign Relations Committee and among the first Americans to witness the genocide, told CBC News:
As we traveled from the Arab area to the Kurdish area, we were stunned to see that the villages were gone. And the villages that were on our maps were no longer there…they had simply been erased from the face of the earth. As we traveled from place to place we could see this destruction as it was taking place. Rubble on one side, on the other side…bulldozers waiting to complete the work of destruction. As we got further into Kurdistan…all traces of human inhabitation were gone. These were places that had been inhabited for millennia.​
The United States may have been complicit in Iraq's chemical bombings. On Aug. 18, 2002, The New York Times reported that "A covert American program during the Reagan administration provided Iraq with critical battle planning assistance at a time when American intelligence agencies knew that Iraqi commanders would employ chemical weapons in waging the decisive battles of the Iran-Iraq war, according to senior military officers with direct knowledge of the program." The paper continued,
The covert program was carried out at a time when President Reagan's top aides... were publicly condemning Iraq for its use of poison gas, especially after Iraq attacked Kurds in Halabja in March 1988. During the Iran-Iraq war, the United States decided it was imperative that Iran be thwarted, so it could not overrun the important oil-producing states in the Persian Gulf. It has long been known that the United States provided intelligence assistance to Iraq in the form of satellite photography to help the Iraqis understand how Iranian forces were deployed against them. But the full nature of the program, as described by former Defense Intelligence Agency officers, was not previously disclosed.
123995156_Sargull_H_395183c.jpg


On March 16, 1988, 5,000 Kurds died in the city and 10,000 were injured after a seven-hour bombardment by Saddam Hussein's jets and artillery. The population was blanketed with blood, nerve and blister agents in the worst chemical attack on a civilian population since the Second World War.
Today, as local dignitaries and foreign diplomats - including British MPs - gather with survivors in Halabja to commemorate the 25th anniversary, many of the afflicted are still suffering. Rates of birth defects, cancers and respiratory illnesses are endemic. Two hundred and fifty-four survivors are categorised as very seriously ill. A far greater number




 
Hapana mkuu mimi ni mkristo wa madhehebu ya katoliki Bishop wangu ni Pengo, na wasaidizi wake eusebius nzigilwa na huyu mwingine nimemsahau jina alisimikwa last week. Napenda kusimamia ukweli tu. Kitima ni janga ndani ya kanisa just mark my words time will tell.
You are a liar of highest qualification. Si lazima umjue bishop ndiyo uwe mkatoliki. ungekuwa mkatoliki ungemjua paroko wako. Tatizo lao sheikh ni dini yako kujiundia maadui. Kwanza adui wa Uislam ni marekani na Israel, pili Adui wa Uislam Tanzania ni Ukatoliki. What sort of religion yours is?
 
KIMSINGI HISIA ZINAWEZA KUWA ZA KWELI AMA LA.
mwisilamu ama mkristo anaweza kufanya uhalifu kama huo kwa faida yake.
DINI YA KIISLAM INAWEZA KUWA IMEHUSIKA AMA HAIHUSIKI KABISA KWENYE MASHAMBULIZI HAYO.
swala la kuwa waislam kama dini wameratibu ugaidi huo kwa sasa hatuwezi kuliongea kwa sababu ukweli haupo wazi.
ILA NILISHANGAA VIONGOZI WALIPOJITOKEZA KWA HARAKA SANA NA KUSEMA SI SHAMBULIO LA KIDINI NA UDINI.
walipata wapi taarifa,Huku ni kuingilia uchunguzi.MANA HATA WACHUNGUZI WAKIBAINI NI SHAMBULIO LILILOTOKANA NA UDINI SERIKALI WATASEMAJE KAMA HAWATACHAKACHUA UCHUNGUZI.
bora hata aliyetamka baadae kuliko viongozi waliokanusha MAPEM SANA BILA HATA KUWAHOJI WALIOKAMATWA utadhani wao ndio walipanga ugaidi huo.
Tusubiri uchunguzi wa policcm
 
SAUT naifahamu kuliko unavyoijua wewe KITIMA hafai ni mtu wa kujikomba tu hana lolote mchumia tumbo tu huyo

Wewe una mimba changa. Wewe mwenyewe umesema anaponda viongozi wa nchi hii, then unasema tena anajikomba!;!!!!!!!!!! Anajikomba wapi sasa???? Kwa mama yako au??????
 
nadhani wewe ndio hujamuelewa mleta mada na inaonekana umetumia didas masaburi kusoma haya maelezo yake..hebu tulia kidogo ondoa hayo masaburi kwenye hilo joto.

Hivi tangu tangu yule mwarabu akutengeneze hayo masaburi umeshapata nafuu ya kuweza hata kucoment huku JF????? Maana watu wanadai uli ulibaki na majeraha ya kutosha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom