Dr.Charles Kitima na wewe umenunuliwa?


Sijakuelewa, 30 wametoka taasisi zipi? hebu tufafanulie kidogo kuhusu hao 30 ni wa taasisi zipi.
 
Sijakuelewa, 30 wametoka taasisi zipi? hebu tufafanulie kidogo kuhusu hao 30 ni wa taasisi zipi.

Kichwa cha samaki inaelekea hujui tume ina wajumbe wangapi ungelijua wako wangapi na wanatoka wapi ungejua hakuna watu kutoka taasisi hizo mbili jishughulishe kidogo
 
Kuna vitu vingine kusaini ni sawa na kuweka "najisi" katika document ya serikali!

Raisi makini hasaini upuuzi kwani ana haki ya kusaini au kutosaini!

Ulitaka usaini wewe? kabadili sheria basi uiondoe hiyo najisi yako.
 
Tundu muongo, mnafik, mzandik.

Nimepita standi kuu ya arusha nikakuta kundi la watu wamejikusanya mbele ya duka la mangi mwanzoni sikujua kimewakusanya nikaamua nisogee kumbe walikuwa wanasikiliza redio na baadaye nikagundua kuwa mzungumzaji alikuwa Mh Antipus tundu lissu baada ya kumaliza kujibu maswali ya mtangazaji wa dw nikasikia watu wanapiga makofi......jamani tutajitahidi kubisha lakini huyu mtu sasa umaarufu wake hakuna anayeuzuia. Bravo Tundu Mungu yu pamoja nasi
 

TEC ni ya kanisa Katoliki na wao wana utaratibu wao wa kujibu hoja zao zinazo wahusu .Wale hawakurupuki it is about time wajinga muache ujinga .Unataka ajibu ili aongezee tatizo? JK alidanganywa na watu wenye busara wanamwacha ili kupunguza shida all we need ni Katiba mpya .
 

salay slip uko vizuri nayasupport mawazo yako 100%
 

ni kweli mkuu.unajua maana ya NOTORIOUS
 
Kamaliza kazi yake ya VC chuo kikuu SAUT Mwanza kapewa post mpya Morogoro.

Good details inapendeza kuona watu wanakuja na facts sio wale wenzangu na mimi wanaokujaga hapa utafikiri nyumbani kwao aliingia nyoka wakaanza kumkimbia
 

Kakibe alisha msemea jangwani
 
Good details inapendeza kuona watu wanakuja na facts sio wale wenzangu na mimi wanaokujaga hapa utafikiri nyumbani kwao aliingia nyoka wakaanza kumkimbia

we have also BAD details about him.hapa sio mahala pake unless mzitake.tunamheshim xana Dr kitima mzee wetu.
 
Kitima kazi keshafukuzwa si VC tena wa SAut chezea ccm muulize kilaini yuko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…