Dr. Bujara kuongea na vyombo vya habari kesho.

Hwa ma Dr. ni wappumbavu baada ya kutumikia taaluma zao kwa maendeleo ya taifa, wao wanakimbilia kwenye siasa kwa ajiri ya tamaa zao za pesa na umaarufu kunuka, hawana lolote. Pia huyo angepata madaraka CCM usingesikia hizi pumba anazo ongea sasa ivi...

Angekuwa ametengaza kuvaa Gamba lazima ungempa Gwala...
 
Hwa ma Dr. ni wappumbavu baada ya kutumikia taaluma zao kwa maendeleo ya taifa, wao wanakimbilia kwenye siasa kwa ajiri ya tamaa zao za pesa na umaarufu kunuka, hawana lolote. Pia huyo angepata madaraka CCM usingesikia hizi pumba anazo ongea sasa ivi...

Kama vile Dr. Mkangara, Prof. Muhongo, Dr. Kawambwa, Prof. Mwandosya .......e.t.c
 
Huyu jamaa hana jipya, mimi ni mkazi wa Ngara na nimemjua huyu jamaa toka ameanza harakati zake kupitia CCM. Uchaguzi wa mwaka 2010 akiwa CCM alihonga sana vijana na kina mama pesa na simu ili ashinde kura za maoni, nakumbuka wakati huo alikuwa na project fulani aliyokuwa anaifanyia kupitia wafadhili aliitumia kama njia ya kujipigia debe lakini matokeo yake akashindwa na Ntukamazina. Baada ya kuanguka kwenye kura za CCM aliungana na wenzake walioanguka kama lugumya mheto kumpiga vita Ntukamazina ili jimbo lichukuliwe na NCCR, wakati huo mimi nilikuwa mmoja ya waliokuwa wakimnadi mgombea wa NCCR Sam Ruhuza kwa hiyo nilikuwa naona kila kitu walichokuwa wanafanya ku-sabotage kampeni ya chama chao. Aliebaki upande wa Ntukamazina alikuwa Alex Gashaza ambaye alimpigia kampeni jamaa hata wakati alipougua na kwenda kutibiwa India mwezi wa mwisho wa kampeni. Kilichotokea sasa hivi wananchi wengi wa Ngara wanamuona Alex Gashaza ndiye anafaa kuwa mrithi wa Ntunkamazina 2015 jamaa kaamua kukimbilia CHADEMA. Wasijione wamelamba dume, hilo ni galasa. Kama kweli wanalitaka hili jimbo CHADEMA nadhani watafute mtu anaeuzika kwa vijana na watu wa vijijini ambao ndio idadi kubwa ya wapiga kura, la sivyo CCM watatawala milele.

Itatawala kwenye akili yako. Watanzania si wajinga kama unavyofikiri;
 
Liwalo na liwe, wananikera sana hawa ma Dr. na ma Prof kukimbilia kwenye siasa, unakuta ni wataalamu sana katika fani zao na wanakua hata mategemeo katika fani zao, ila utaliona jitu hilo linakimbilia kwenye siasa, assume Prof Mark Mwandosya angekua muadhiri na mtafiti angesaidia vijana wangapi? Huyu mwingine nae Prof Muhongo? Prof Kapuya matokeo yake siasa inampaka mavvi.. na ma Prof wote waliopo huko ni hasara tupu...

Kwani ni nani ambao wanatakiwa kugombea nafasi za kisiasa hapa TZ?ACHA UBINAFSI WEWE KABWELA
 
Kesho Dr Bujari anafanya mkutano mkubwa mjini Ngara! Kuwaeleza wananchi namana serikali yao ilivyo dhaifu na kuwa ukombozi pekee utatoka CHADEMA! Bujari aligombea Ubunge kwenye kinyanganyiro cha ndani ya ccccm 2010
note: tangu chitanda na mwenyekit wa singida wote std 7 na makamu said arfi ambaye ni f4, mpaka sasa madaktari 3 wameshajiunga chadema.
Yaani pamoja na serikali kukumbwa na kashfa kubwa ya Radar, EPA na Richmond, muda wote huo hakugundua kwamba serikali ni dhaifu na kuona ilifaa kabisa kugombea kupitia chama chake lakini aliposhindwa ndipo amegundua kwamba serikali ni dhaifu?! Namshukuru mungu kwa kunifanya nisiwe mtaji wa wanasiasa!
 
majinga sana haya ma dr. Na ma prof yetu.. Yanakimbia shughuli zao yanaingia wenye siasa, yaani hii nchi wazarendo wake ni majanga matupu...
hao wanasiasa mnaowalipa pesa zote za walipa kodi wanafanya jambo gani kubwa kwa nchi. Lipeni watumishi wote maslahi mazuri vinginevyo tutabanana hapohapo kwenye siasa.
 
Back
Top Bottom