Dr. Bujara kuongea na vyombo vya habari kesho.

zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,450
2,000
Kesho Dr Bujari anafanya mkutano mkubwa mjini Ngara! Kuwaeleza wananchi namana serikali yao ilivyo dhaifu na kuwa ukombozi pekee utatoka CHADEMA! Bujari aligombea Ubunge kwenye kinyanganyiro cha ndani ya ccccm 2010
note: tangu chitanda na mwenyekit wa singida wote std 7 na makamu said arfi ambaye ni f4, mpaka sasa madaktari 3 wameshajiunga chadema.
 
zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,450
2,000
sorry, kwenye heading isomeke Bujari na sio Bujara. na anaongea na wananchi sio vyombo vya habari,
 
Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
May 16, 2011
3,696
2,000
Kesho Dr Bujari anafanya mkutano mkubwa mjini Ngara! Kuwaeleza wananchi namana serikali yao ilivyo dhaifu na kuwa ukombozi pekee utatoka CHADEMA! Bujari aligombea Ubunge kwenye kinyanganyiro cha ndani ya ccccm 2010
note: tangu chitanda na mwenyekit wa singida wote std 7 na makamu said arfi ambaye ni f4, mpaka sasa madaktari 3 wameshajiunga chadema.

Hwa ma Dr. ni wappumbavu baada ya kutumikia taaluma zao kwa maendeleo ya taifa, wao wanakimbilia kwenye siasa kwa ajiri ya tamaa zao za pesa na umaarufu kunuka, hawana lolote. Pia huyo angepata madaraka CCM usingesikia hizi pumba anazo ongea sasa ivi...
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,159
2,000
hwa ma dr. Ni wappumbavu baada ya kutumikia taaluma zao kwa maendeleo ya taifa, wao wanakimbilia kwenye siasa kwa ajiri ya tamaa zao za pesa na umaarufu kunuka, hawana lolote. Pia huyo angepata madaraka ccm usingesikia hizi pumba anazo ongea sasa ivi...

mapovu yanayokutoka mithili ya mgonjwa wa kifafa ni ishara kwamba ukombozi umekaribia .
 
TinyMonster

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
249
250
Huyu jamaa hana jipya, mimi ni mkazi wa Ngara na nimemjua huyu jamaa toka ameanza harakati zake kupitia CCM. Uchaguzi wa mwaka 2010 akiwa CCM alihonga sana vijana na kina mama pesa na simu ili ashinde kura za maoni, nakumbuka wakati huo alikuwa na project fulani aliyokuwa anaifanyia kupitia wafadhili aliitumia kama njia ya kujipigia debe lakini matokeo yake akashindwa na Ntukamazina. Baada ya kuanguka kwenye kura za CCM aliungana na wenzake walioanguka kama lugumya mheto kumpiga vita Ntukamazina ili jimbo lichukuliwe na NCCR, wakati huo mimi nilikuwa mmoja ya waliokuwa wakimnadi mgombea wa NCCR Sam Ruhuza kwa hiyo nilikuwa naona kila kitu walichokuwa wanafanya ku-sabotage kampeni ya chama chao. Aliebaki upande wa Ntukamazina alikuwa Alex Gashaza ambaye alimpigia kampeni jamaa hata wakati alipougua na kwenda kutibiwa India mwezi wa mwisho wa kampeni. Kilichotokea sasa hivi wananchi wengi wa Ngara wanamuona Alex Gashaza ndiye anafaa kuwa mrithi wa Ntunkamazina 2015 jamaa kaamua kukimbilia CHADEMA. Wasijione wamelamba dume, hilo ni galasa. Kama kweli wanalitaka hili jimbo CHADEMA nadhani watafute mtu anaeuzika kwa vijana na watu wa vijijini ambao ndio idadi kubwa ya wapiga kura, la sivyo CCM watatawala milele.
 
Magurudumu

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,749
1,500
Hwa ma Dr. ni wappumbavu baada ya kutumikia taaluma zao kwa maendeleo ya taifa, wao wanakimbilia kwenye siasa kwa ajiri ya tamaa zao za pesa na umaarufu kunuka, hawana lolote. Pia huyo angepata madaraka CCM usingesikia hizi pumba anazo ongea sasa ivi...
KUMBE UNAJUA KWENYE SIASA KUNA PESA NYINGI KULIKO KWENYE TAALUMA. UPENDELEO HUU NDIO TUNAOUKATAA KWA WANASIASA.lllllaKumbe
 
Pagija

JF-Expert Member
Dec 6, 2013
380
0
Kesho Dr Bujari anafanya mkutano mkubwa mjini Ngara! Kuwaeleza wananchi namana serikali yao ilivyo dhaifu na kuwa ukombozi pekee utatoka CHADEMA! Bujari aligombea Ubunge kwenye kinyanganyiro cha ndani ya ccccm 2010
note: tangu chitanda na mwenyekit wa singida wote std 7 na makamu said arfi ambaye ni f4, mpaka sasa madaktari 3 wameshajiunga chadema.

Hana jipya amekuja kutafuta nafasi ya kugombea ubunge na sio vinginevyo..............hatakuwa na jipya lolote.
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,523
2,000
Hwa ma Dr. ni wappumbavu baada ya kutumikia taaluma zao kwa maendeleo ya taifa, wao wanakimbilia kwenye siasa kwa ajiri ya tamaa zao za pesa na umaarufu kunuka, hawana lolote. Pia huyo angepata madaraka CCM usingesikia hizi pumba anazo ongea sasa ivi...

utafungwa ndugu yangu..mbona kuna Dr pale magogoni kazi yake kusafiri tu
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,159
2,000
Huyu jamaa hana jipya, mimi ni mkazi wa Ngara na nimemjua huyu jamaa toka ameanza harakati zake kupitia CCM. Uchaguzi wa mwaka 2010 akiwa CCM alihonga sana vijana na kina mama pesa na simu ili ashinde kura za maoni, nakumbuka wakati huo alikuwa na project fulani aliyokuwa anaifanyia kupitia wafadhili aliitumia kama njia ya kujipigia debe lakini matokeo yake akashindwa na Ntukamazina. Baada ya kuanguka kwenye kura za CCM aliungana na wenzake walioanguka kama lugumya mheto kumpiga vita Ntukamazina ili jimbo lichukuliwe na NCCR, wakati huo mimi nilikuwa mmoja ya waliokuwa wakimnadi mgombea wa NCCR Sam Ruhuza kwa hiyo nilikuwa naona kila kitu walichokuwa wanafanya ku-sabotage kampeni ya chama chao. Aliebaki upande wa Ntukamazina alikuwa Alex Gashaza ambaye alimpigia kampeni jamaa hata wakati alipougua na kwenda kutibiwa India mwezi wa mwisho wa kampeni. Kilichotokea sasa hivi wananchi wengi wa Ngara wanamuona Alex Gashaza ndiye anafaa kuwa mrithi wa Ntunkamazina 2015 jamaa kaamua kukimbilia CHADEMA. Wasijione wamelamba dume, hilo ni galasa. Kama kweli wanalitaka hili jimbo CHADEMA nadhani watafute mtu anaeuzika kwa vijana na watu wa vijijini ambao ndio idadi kubwa ya wapiga kura, la sivyo CCM watatawala milele.

Yule APIGAE MAGOTI NA KUKIRI MAKOSA YAKE NA HATIMAYE KUOMBA KUTAKASWA , HAKIKA AMETAKASIKA .
 
CBNJR

Member
Aug 11, 2013
95
95
Hwa ma Dr. ni wappumbavu baada ya kutumikia taaluma zao kwa maendeleo ya taifa, wao wanakimbilia kwenye siasa kwa ajiri ya tamaa zao za pesa na umaarufu kunuka, hawana lolote. Pia huyo angepata madaraka CCM usingesikia hizi pumba anazo ongea sasa ivi...

Angepataje madaraka ccm wkt --------. Bc kama ma dr wapumbavu,nina imani maprofesa ndani ya cccmm ni mataahira ukijumlisha yule muongo
 
Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
May 16, 2011
3,696
2,000
Majinga sana haya ma Dr. na ma Prof yetu.. yanakimbia shughuli zao yanaingia wenye siasa, yaani hii nchi wazarendo wake ni majanga matupu...

KUMBE UNAJUA KWENYE SIASA KUNA PESA NYINGI KULIKO KWENYE TAALUMA. UPENDELEO HUU NDIO TUNAOUKATAA KWA WANASIASA.lllllaKumbe
 
Hilipendo

Senior Member
Sep 13, 2011
188
0
Kesho Dr Bujari anafanya mkutano mkubwa mjini Ngara! Kuwaeleza wananchi namana serikali yao ilivyo dhaifu na kuwa ukombozi pekee utatoka CHADEMA!

Bujari aligombea Ubunge kwenye kinyanganyiro cha ndani ya cccm 2010 na kushindwa na mpinzani wake Dr Ntukamazini anaedaiwa ni Mnyarwanda anaetumiwa na Kagame kuipeleleza Tanzania.
 
Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
May 16, 2011
3,696
2,000
Liwalo na liwe, wananikera sana hawa ma Dr. na ma Prof kukimbilia kwenye siasa, unakuta ni wataalamu sana katika fani zao na wanakua hata mategemeo katika fani zao, ila utaliona jitu hilo linakimbilia kwenye siasa, assume Prof Mark Mwandosya angekua muadhiri na mtafiti angesaidia vijana wangapi? Huyu mwingine nae Prof Muhongo? Prof Kapuya matokeo yake siasa inampaka mavvi.. na ma Prof wote waliopo huko ni hasara tupu...

utafungwa ndugu yangu..mbona kuna Dr pale magogoni kazi yake kusafiri tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom