Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Hamna, nasoma sana binafsi, sema bado unalo kufuli LA mayahudi, likivunjika hilo, tutasomana
Utaelewa tuuuu
Elimu hiyo unayoita wewe ya kiyahudi

Ndiyo iliyo ninyonyesha ikanikogesha na kunichamba

Hadi leo nipo hivi nilivyo na Afya yangu ya akili

Na sijaona eneo lolote ikinidai fadhila wala kunilazimisha kuifuata

Sasa nakushangaa wewe unayetaka niamke huku ukimdhihaki mama Yangu..!

Wakati yeye ndiye kila kitu kwangu_ sikuelewi..!?

Hata kama anamapungufu mama ni mama Tu

Yaani kama vile jungle Boy ukataka kumtoa kwa mlezi wake sokwe kwa kumuua mlezi sokwe wake

Lazima atakurukia Tu
 
biblia inaonyesha kulikuwepo watu wengine wanaishizaidi ya adam,eva,cain na abel

According to Genesis 4:1-15, Eve give birth to Cain and Abel. This, according to some Christians, implies that there were only four family members on Earth at that time. Now, after Cain had killed Abel there were only three people. But after Cain had slain his brother God appears to him and kicks him out of the Garden of Eden as punishment. Cain then moves to the land of Nod, which is East of Eden, but what Cain then says to God is quite revealing. He tells God that he was worried of being killed by other people who would find him (Genesis 4:15). Then God replies, “Therefore whoever kills Cain, vengeance will be taken on him sevenfold.” (Genesis 4:15) God and Cain both imply that there are other humans besides Adam and Eve. If there were no other people, God would not have had to give him a mark in the first place, and Cain would not have had anything to fear
aiseee..haya mambo ni magumu!!
 
Elimu hiyo unayoita wewe ya kiyahudi

Ndiyo iliyo ninyonyesha ikanikogesha na kunichamba

Hadi leo nipo hivi nilivyo na Afya yangu ya akili

Na sijaona eneo lolote ikinidai fadhila wala kunilazimisha kuifuata

Sasa nakushangaa wewe unayetaka niamke huku ukimdhihaki mama Yangu..!

Wakati yeye ndiye kila kitu kwangu_ sikuelewi..!?

Hata kama anamapungufu mama ni mama Tu

Yaani kama vile jungle Boy ukataka kumtoa kwa mlezi wake sokwe kwa kumuua mlezi sokwe wake

Lazima atakurukia Tu
Asante kwa maneno yako ya dhati mno
Umesema ukweli wako
Hilo linathaminiwa
 
54398962d7da5057a6feb6369d407a0f.jpg
 
Ndio mafunzo ya wazee wetu hayo, tumeacha vya kwetu, tuna nyonya katika titi sio LA mama etu
 
Kilichotujia sisi katika maandiko yetu ni kauli mbili kutoka kwa wanachuoni wetu wa tafsiri ya Qur'an :

1. Kabla ya Adamu hapa duaniani kuliishi majini,baada ya majini kuleta ufisadi na kumwaga damu,wakatumwa malaika kuja kuwaangamiza. Kisha akaumbwa Adamu ili aje kuleta tena ustaarabu upya hapa duniani

2. Kauli ya pili inasema hapakuwa na kiumbe chochote hapa duniani kinacho ishi kabla ya kuumbwa Adamu.

Kwa ufupi kabla ya Adamu hapakuwepo kiumbe chochote na tukiifanyoa kazi kauli ya kwanza walikuwepo majini,sasa je mababu zetu walikuwa ni majini au ?
WEWE HAKUNA SEHEMU YOYOTE KTK QUR'AN INAYOONGELEA KWAMBA MAJINI WALIKUWEPO KABLA YA BINADAMU,SIJUI WAKAFANYA UFISADI,MALAIKA WAKATUMWA!!!
 
Kwa hiyo b
WEWE HAKUNA SEHEMU YOYOTE KTK QUR'AN INAYOONGELEA KWAMBA MAJINI WALIKUWEPO KABLA YA BINADAMU,SIJUI WAKAFANYA UFISADI,MALAIKA WAKATUMWA!!!
Kwa hiyo bunadamu aliumbwa kwanza ndo majini wajafuatia, hebu tujuze
 
Ukweli una ujuaje? Na kipi kinacho kuaminisha kuwa huu ndio ukweli usiopingika. Na je huo ukweli unaouamini chanzo chake ni kipi? Na huo uongo unao uamini kuwa uongo chanzo chake ni kipi?
 
Ukweli una ujuaje? Na kipi kinacho kuaminisha kuwa huu ndio ukweli usiopingika. Na je huo ukweli unaouamini chanzo chake ni kipi? Na huo uongo unao uamini kuwa uongo chanzo chake ni kipi?
Kwa mujibu wa vitabu na mafundisho ya dini zenu mashuhuri
 
Back
Top Bottom