Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Swali zuri kabisa,unajua kuna vitu vingine watu huwa hawakubali ya kuwa havijulikani na anaevijua ni Mola aliyetumba,sasa ubaya unakuja pale ambapo watu wanajidai ujuaji wa namba na kuleta hesabu za uongo.

Watu wanatakiwa wajue kwamba dunia imepitia vipindi vingi sana,vipindi ambavyo kulikuwa historia hainukuliwi. Historia ambazo tumekuja kuzijua kupitia mitume.

Kwa ufupi haijulikani Adamu aliumbwa mwaka gani,japokuwa masiku yalikuwepo,muda ulikuwepo na binadamu ndio kiumbe cha mwisho kuimbwa.

Mola wetu anasema "Hakika idadi ya miezi kwake yeye ni miezi kumi na mbili,tangu alipoumba ardhi na mbingu"

Hapo kwanza unatakiwa ujue kipindi ardhi na mbingu zinaumbwa binadamu alikuwa ni kiumbe kisichojulikana kiumbe ambacho kilikuwa hakitajwi.

Sasa mnapotuletea ususuavu wa moyo na urangi lazima elimu sahihi itakupita mbali.
mbona miaka waliyokuwepo akina imhotep inajulikana na huyu alikuwepo kabla ya adam,akhneton alikuwepo kabla ya musa na miaka aliyokuwepo inajulikana
inakuwaje watu wako wa kwenye vitabu haijulikani walizaliwa lini
of course mohamed bin abdullaha tunajua alizaliwa na kufa lini
Mtume wa Allah alisema miongoni mwa mambo ya kijinga ambayo hayataisha mpaka kiyama kina simama ni :

1. Watu kulia kwa kuomboleza misibani

2. Watu kujifaragu/ kujifaharisha kutokana na rangi,nasaba,vyeo

3. Pia kubaguana.

Mengine nimeyasahau,au kama alivyosema mtume wa Allah.
 
biblia inaonyesha kulikuwepo watu wengine wanaishizaidi ya adam,eva,cain na abel

According to Genesis 4:1-15, Eve give birth to Cain and Abel. This, according to some Christians, implies that there were only four family members on Earth at that time. Now, after Cain had killed Abel there were only three people. But after Cain had slain his brother God appears to him and kicks him out of the Garden of Eden as punishment. Cain then moves to the land of Nod, which is East of Eden, but what Cain then says to God is quite revealing. He tells God that he was worried of being killed by other people who would find him (Genesis 4:15). Then God replies, “Therefore whoever kills Cain, vengeance will be taken on him sevenfold.” (Genesis 4:15) God and Cain both imply that there are other humans besides Adam and Eve. If there were no other people, God would not have had to give him a mark in the first place, and Cain would not have had anything to fear

Kilichotujia sisi katika maandiko yetu ni kauli mbili kutoka kwa wanachuoni wetu wa tafsiri ya Qur'an :

1. Kabla ya Adamu hapa duaniani kuliishi majini,baada ya majini kuleta ufisadi na kumwaga damu,wakatumwa malaika kuja kuwaangamiza. Kisha akaumbwa Adamu ili aje kuleta tena ustaarabu upya hapa duniani

2. Kauli ya pili inasema hapakuwa na kiumbe chochote hapa duniani kinacho ishi kabla ya kuumbwa Adamu.

Kwa ufupi kabla ya Adamu hapakuwepo kiumbe chochote na tukiifanyoa kazi kauli ya kwanza walikuwepo majini,sasa je mababu zetu walikuwa ni majini au ?
 
mkuu Zurri naona umbinya majibu yangu watu wasiyaone
umeukimbia ukweli,najua utasomakimya kimya huko ulipo
 
Sijaona ukweli kaka,nazidi kuutafakari hui muhadhara ndio nazidi kupata maswali kadha wa kadha juu ya uongo wa dhahiri autoao mtu huyu.
 
Kilichotujia sisi katika maandiko yetu ni kauli mbili kutoka kwa wanachuoni wetu wa tafsiri ya Qur'an :

1. Kabla ya Adamu hapa duaniani kuliishi majini,baada ya majini kuleta ufisadi na kumwaga damu,wakatumwa malaika kuja kuwaangamiza. Kisha akaumbwa Adamu ili aje kuleta tena ustaarabu upya hapa duniani

2. Kauli ya pili inasema hapakuwa na kiumbe chochote hapa duniani kinacho ishi kabla ya kuumbwa Adamu.

Kwa ufupi kabla ya Adamu hapakuwepo kiumbe chochote na tukiifanyoa kazi kauli ya kwanza walikuwepo majini,sasa je mababu zetu walikuwa ni majini au ?
tatizo hicho kitabu chako ni hekaya tu,hakiwezi kuthibitisha kisayansi kwa hayo kinachosema
ninayokwambia mimi yamethibitishwa kisayansi
kiufupi ni kwamba wewe unaenda na imani,mimi naenda na facts
mfano,mohamed/allaha anasema jua linazama kwenye maji ya bwawa(quran 18:83-86)
fact ni kwamba jua halitui kwenye maji ya bwawa
 
makatazo 42yapo kwenye kitabu kinaitwa the papyrus of ani,the egyptian book of the dead,hata ukigoogle unakipata
kama nakumbuka vizuri miezi yote ilikuwa na siku 30
wapi nimesema walikuwa wakamilifu?

Hujasema kwamba walikua wakamilifu. Mimi nimehoji suala la ukamilifu wa hayo makatazo.
 
Kwa sababu wewe ni mromani pure nilifikiri utampinga lakini naona umekubaliana nae ndio maana nikasema siamini
Mimi ni mkatoriki tena Proudly Catholic. Tatizo shida inakuja moja dhana ya dini waAfrica tumeipokea vibaya mnoo na kujifanya wajuaji zaidi. Ndio maana ni rahisi kumvua nguo mlokole kama unajua biblia japo kidogo
 
Kilichotujia sisi katika maandiko yetu ni kauli mbili kutoka kwa wanachuoni wetu wa tafsiri ya Qur'an :

1. Kabla ya Adamu hapa duaniani kuliishi majini,baada ya majini kuleta ufisadi na kumwaga damu,wakatumwa malaika kuja kuwaangamiza. Kisha akaumbwa Adamu ili aje kuleta tena ustaarabu upya hapa duniani

2. Kauli ya pili inasema hapakuwa na kiumbe chochote hapa duniani kinacho ishi kabla ya kuumbwa Adamu.

Kwa ufupi kabla ya Adamu hapakuwepo kiumbe chochote na tukiifanyoa kazi kauli ya kwanza walikuwepo majini,sasa je mababu zetu walikuwa ni majini au ?
Wee mbona Muongo we binti wewe. Kwanini mnakaririshana uongo hivo. Yaan kabla ya bibaadam walikuwepo majini?
 
tatizo hicho kitabu chako ni hekaya tu,hakiwezi kuthibitisha kisayansi kwa hayo kinachosema
ninayokwambia mimi yamethibitishwa kisayansi
kiufupi ni kwamba wewe unaenda na imani,mimi naenda na facts
mfano,mohamed/allaha anasema jua linazama kwenye maji ya bwawa(quran 18:83-86)
fact ni kwamba jua halitui kwenye maji ya bwawa

Kaka Sayansi haina na haiwezi kukupa kitu kamili,na ukitumia sayansi kuupata ukweili lazima utapotea.

Kuna nyenzo tunwpewa tukizitumia vyema lazima tutafikia katika ukamilifu. Nyenzo zenyewe ni :

1. Maandiko matakatifu (Hapa nakusudia Qur'an na sunnah)

2. Moyo

3. Akili

4. Milango ya fahamu.

Kaka nadhani najua huwezi kunithibitishia ya kuwa Qur'an ni hekaya kwani hata waliokutangulia katika kauli yako hiyo hawakuweza kuthibitisha.

Kitu kingine kinachowafanya msiielewe Qur'an ni kutoisoma na kadhalika kutoijua. Ndio maana hamkuwahi kutoa aya ambayo ukiifuatilia inakuwa dhidi yenu.

Faida : Qur'an imeteremka ndani ya miaka 23 na ilikuwa inaandikwa kutokana na matukio na sababu husika. Sio kama vitabu vingine ambavyo unapanga kesho uandike nini.
 
Hujasema kwamba walikua wakamilifu. Mimi nimehoji suala la ukamilifu wa hayo makatazo.
siwezi kusema hayo makatazo yalitoka kwa mungu,ni maandiko waliyoandika makuhani/wazee viongozi ili kuregulate behavior za watu wao
 
Kaka Sayansi haina na haiwezi kukupa kitu kamili,na ukitumia sayansi kuupata ukweili lazima utapotea.

Kuna nyenzo tunwpewa tukizitumia vyema lazima tutafikia katika ukamilifu. Nyenzo zenyewe ni :

1. Maandiko matakatifu (Hapa nakusudia Qur'an na sunnah)

2. Moyo

3. Akili

4. Milango ya fahamu.

Kaka nadhani najua huwezi kunithibitishia ya kuwa Qur'an ni hekaya kwani hata waliokutangulia katika kauli yako hiyo hawakuweza kuthibitisha.

Kitu kingine kinachowafanya msiielewe Qur'an ni kutoisoma na kadhalika kutoijua. Ndio maana hamkuwahi kutoa aya ambayo ukiifuatilia inakuwa dhidi yenu.

Faida : Qur'an imeteremka ndani ya miaka 23 na ilikuwa inaandikwa kutokana na matukio na sababu husika. Sio kama vitabu vingine ambavyo unapanga kesho uandike nini.
hapakuna tatizo,mbona mohamed alikuwa anakuja na aya ambazo zinamfavor anapoharibu,mfano alipomuoa mke wa mtoto wake wa kambo,alipotembea na msichana wa ndani/mtumwa nk
halafu mbona hutaki kujibu mfano mmoja wa uongo/makosa ya kwenye quran kuhusu jua kuzama..sasa tutaiamini vipi kama inafanya makosa ya wazi hivi!!!
 
Wee mbona Muongo we binti wewe. Kwanini mnakaririshana uongo hivo. Yaan kabla ya bibaadam walikuwepo majini?

Sasa cha ajabu nini hapo ? Tatizo mnaona majini ni viumbe wa ajabu sana.

Unataka kuniambia kabla ya binadamu walikuwepo nani ?

Ila sayansi imewaongopea sana watu na kuwa fanya wajinga. Laiti kama mngekuwa. mnajua misingi mama ya sayansi na matumizi ya akili,mngeona madhaifu mengi sana katika sayansi.

Usijifarague na Sayansi mbele yetu sisi wanaume

Kwani "ELIMU YA UHAKIKI WA HABARI NI YA WANAUME HAWAIDHIBITI ISIPOKUWA WANUME"
 
hapakuna tatizo,mbona mohamed alikuwa anakuja na aya ambazo zinamfavor anapoharibu,mfano alipomuoa mke wa mtoto wake wa kambo,alipotembea na msichana wa ndani/mtumwa nk
halafu mbona hutaki kujibu mfano mmoja wa uongo/makosa ya kwenye quran kuhusu jua kuzama..sasa tutaiamini vipi kama inafanya makosa ya wazi hivi!!!

Kaka hapo sina haja ya kukupa mfano kila kitu kipo wazi. Jibu nilishakupa halikadhalika na maelekezo pia ya kuwa hamuisomi Qur'an bali mnaokoteza maana ambazo si za kweli,sasa ukitaka majibu wewe jaribu kuisoma ukweli utakubainikia.
 
siwezi kusema hayo makatazo yalitoka kwa mungu,ni maandiko waliyoandika makuhani/wazee viongozi ili kuregulate behavior za watu wao

Hapa nahitimisha ya kuwa tatizo liko kwako wala si maandiko.
 
Kaka hapo sina haja ya kukupa mfano kila kitu kipo wazi. Jibu nilishakupa halikadhalika na maelekezo pia ya kuwa hamuisomi Qur'an bali mnaokoteza maana ambazo si za kweli,sasa ukitaka majibu wewe jaribu kuisoma ukweli utakubainikia.
natumaini ukipata majibu utanipa
 
Hapa nahitimisha ya kuwa tatizo liko kwako wala si maandiko.
tatizo gani,zile waliandika sheria ambazo kila mtu inabidi afate kama sheria tulizonazo leo
sielewi nini hukuelewa hapo..good night anyway
 
No matter how much the devil tries to misguide people, those who thinks with clear minds will definitely know that there is the ONE who created us mankind, and created the entire universe and all things/creatures in it. The ONE who is neither begotten nor He begot. The ONE to whom we shall return. He is the most powerful, the most merciful.

Oh Allah, guide these people to the righteous path.
 
Back
Top Bottom