Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Machi 6-8 1986 Dr. Ben Yosef Jochannan alifanya mhadhara jijini London kwa Jumuiya ya Waafrika (watokao Africa na Carribean).Haya yalikuwa maneno yake:

Kwanza nitatoa shukrani zangu kwenu kwa kunikaribisha hapa,na naomba mfatilie mjadala huu kwa umakini mkubwa,sababu kama mjuavyo najulikana kwa kuwa mtata.Mimi ni mtata sio kwa sababu mafundisho yangu yana tatizo bali ni kwa sababu naupa changamoto utawala wa kifikra wa Magharibi.

Afrika ikiwa kama kichwa cha mjadala wangu haiwezi kuongelewa katika muktadha wa Adam na Eva,sababu zamani kabla hawajawa na Adam na Eva ilikuwepo Afrika na Waafrika wakiwa na dhana zilizodumu kabla ya Abraham.Mapiramidi yote ya Afrika na sio yale yaliyopo tu Misri bali yale yaliyopo Sudan na mawili yaliyopo kaskazini ya Ethiopia(ambayo Uingereza na Mkutano wa Berlin waliamua kuyaweka Sudan ya kusini),yalijengwa maelfu ya miaka kabla majina Adam na Eva kutajwa sehemu yoyote katika sayari hii.Unapokuja katika kuzaliwa kwa Abraham,wakati huo huo Waafrika waishio katika bonde la mto Nile walikuwa katika kipindi cha nasaba (dynasty) ya 13,wakati huo hakuna Adam na Eva kwa sababu Waebrania walikupa dhana ya Adam na Eva.Wengi wenu mnaamini hii dhana ina ukweli badala tu ni Serikali inayoendeshwa kwa mfumo wa dini.

Kuiongelea Afrika itakubidi ubadili dhana yako ya Bikira Maria na kuelewa kuwa si chochote isipokuwa ni nakala (copy) ya Isis na mume wake mungu Osiris. N a pia itakubidi uende kwenye bonde la mto Nile kwenye mahekalu na kuona kuwa hii ni maelfu ya miaka kabla ya Westminster Abbey na Vatican.Natumia bonde la mto Nile mahsusi kwa sababu kumbukumbu za kale bado zipo katika mfumo wa minara,mahekalu na miundo mingine,bila shaka,kuna mengi yameibiwa ambayo yapo hapa London,Berlin na maeneo mengine.

Mababu zako waliupa ulimwengu kalenda miaka 10,000 kabla ya yesu.Hiyo ni miaka 8,000kabla ya Adam na Eva.Mababu zako walibadilisha mfumo wa tarehe kwa sababu ya uelewa wao wa hesabu za kiunajimu.Ni sayansi ya unajimu inayotoa uwezo wa kusoma kalenda.Dhana inajieleza yenyewe,kalenda inayotumia mfumo wa jua inayoonyesha uhusiano wa mwezi na jua ambayo inatupa msingi wa kalenda ya wakti wa sasa.Na nitasema kuwa haikuwepo jamii hata moja ya Ulaya iliyokuwepo katika kipindi hicho.Mwandishi wa kwanza wa Ulaya,Homer alizaliwa na baadae kujua kusoma na kuandika kutokana na mafundisho aliyopewa na Waafrika,yeye pia alianza kuthibitisha ushahidi ambao mababu zako walikuwa nao kwa kueleza kuwa hata miungu ya Ulaya,mahsusi Ugiriki,ambaye kwa kipindi hicho alikuwa anaitwa Pyrrhus,alitoka Ethiopia.

Nina uhakika kuwa kati yenu ambao mmesoma vyuoni,kama sio hapa Uingereza,sehemu nyingine,mnajua kuwa nanukuu kutoka kwenye kazi mbili za Homer,Iliad na Odyssey ambazo ziliipeleka Ulaya na Uingereza kwenye ustaarabu.Mwafrika ambaye ni lazima tumuongelee ni Mwafrika ambaye alisababisha watu waelewe sayansi,madawa,sharia,uhandisi na kadhalika.Ni kawaida hapa katika vyuo vikuu kujikita katika madawa kama vile Sanaa ya madawa ilitoka kwa Mgiriki anayeitwa Hippocrates.Hatuna Homer hadi takribani mwaka 333 kabla ya yesu.Bado hatuhitaji kumbukumbu yoyote zaidi ya Hippocrates mwenyewe kujua kinachofundishwa hapa kwenye vyuo vikuu ni uongo.

Mtu anatakiwa kutambua kwamba ,hata Hippocrates mwenyewe katika kile kinachojulikana kama “kiapo cha Hippocrates” aliandika kwamba alikuwa na mungu aliyeitwa Escalipius,jina la Kigiriki lenye maana Mungu Imhotep.Imhotep alifariki miaka 2500 kabla ya kuzaliwa kwa Hippocrates.Imhotep ni mtu wa kwanza kujulikana kuwa na vipaji vingi(multigenius) zaidi ya yule mnamuita Michaelangelo.Hatuna Michaelangelo hadi mwaka 1609 na hajulikani mpaka alipopewa kazi na papa Julius II,ambaye alimuagiza kuchora michoro kwenye paa la kanisa la Sistine.Michaelangelo alimtumia binamu yake na ndugu zake wengine kama mifano iliyotumika kama baadhi ya wahusika wa kibiblia katika michoro yake.

Msingi wa uhandisi ulianzishwa na Imhotep.Alijenga jengo la kwanza kwa kutumia mawe,hilo jengo bado limesimama sehemu inaitwa Sakkara,mwendo wa chini ya saa moja kaskazini magharibi mwa ambayo sasa inaitwa Cairo.Na hapa utaona Grand Lodge ya Farao Djoser iliyopo Sakkara.Jengo lile lilijengwa katika nasaba ya tatu.Imhotep alikuwa ni mwanadamu aliyetupa msemo “kula,kunywa na kuwa na furaha kwa sababu kesho lazima tutakufa”.

Bara la Afrika,Mama Afrika,kama navyopendelea kuliita,nikifahamu kuwa Wagiriki walilipa jina Afrika takribani kati ya 500-400 kabla ya kristo.Naongelea kipindi ambacho Wagiriki ambao walikuwa wameenda Pyrrus,ambao walikuwa wameingia Misri kupitia njia ya Leba(ambayo sasa inaitwa Libya) na kuanzisha vijiji vyao vidogo vidogo vilivyojitenga na kuviita Afrika kabla bara halijagawanywa na wakoloni.Naongelea ardhi yenye maili za mraba milioni 11.3 au 11.5,ambamo kwa mara ya kwanza dhana ya Mungu mwanaume na mungu mwanamke Nut anaonyeshwa kama mungu wa anga.Kama ishara Mungu Geb,mungu wa ardhi aliishi ndani ya kanisa dogo katikati ya hekalu la Hathor.Mwanamke wa Kiafrika analizaa jua asubuhi kupitia uke wake na jioni kulipokea tena kupitia mdomo wake.Hii inaonyesha mzunguko kamili wa dunia,zamani kabla dunia haijawa na mwanzo na mwisho.Hawa Waafrika katika bonde la mto Nile walifanya zaidi ya hili.Walitupa mungu Osiris ambapo watu walienda kila mwaka walienda kuhiji,zamani kabla hakujawa na ukuta wa kulia(wailing wall) Palestina au hadithi ya kufikirika ya yesu kuzaliwa Bethlehem.

Ni Afrika iliyozaa Hadzart Bilal ibn Rahab,ambaye alimfundisha Mohamed ibn Abdullah,ambaye alikuwa hajui kusoma na kuandika katika lugha yake.Hadzart Bilal ibn Rahab alikuja kuwa mkuu wa balozi za kiislam chini ya Mohamed ibn Abdullah,Omar na Abu Bakr.Nafikiri tunahitaji kujua historia kabla ya kunukuu maandiko ya kwenye vitabu vya dini.

Kulikuwa na hadithi ya kufikirika kwamba Afrika ni nyumbani kwa watu wanaokulana wenyewe kwa wenyewe na wamisionari.Natamani tungewala wamisionari,hatujachelewa sana!Inabidi kuelewa kwamba hii Afrika tunayoiongelea pia iliasisi vyuo vikuu bora vya Ulaya,na kwanza chuo kikuu cha Salamanca cha Hispania.Afrika ambayo labda huijui ilimzaa Zinjathropus Boisei kutoka kwa Waafrika wa Kenya!Familia ya Leakey,Louis na Mary walimkadiria kuwa na miaka milioni 1.7,Adam ni miaka 4000-5000 iliyopita.Afrika usiyoijua ilimzaa Lucy kule Ethiopia miaka milioni 3.2 ,na wote wapo kwenye makumbusho ya Kenya na Ethiopia.Na baadhi yetu bado tunaona aibu kuwa Waafrika!baadhi yetu tunalipa fedha kutengeneza pua zetu,kuchemsha na kuchoma nywele zetu na mambo yote ya namna hiyo,kwa sababu hatuijui hii Afrika,tunaijua Afrika ya biashara ya utumwa ya John Hawkins kutoka London na kutoka kwenye nyimbo nyingine.Ndio,hiyo ni awamu ya Afrika,Hakika,utumwa ni awamu ya maisha yaliyopita,lakini utumwa ni kipande kidogo kutoka 640 baada ya kristo kutoka kwa waarabu ,1506 kutoka kwa wazungu na hadi sasa kama kinyume na ninachoongelea;ni kidogo kwa ulinganifu.

Kama natamani kurudi Afrika,sio tu wakati tunafanya unajimu,uhandisi katika kujenga mapiramidi na kadhalika,lakini wakati tulipoupa ulimwengu dhana muhimu ya maadili.”Sijaua mwanaume au mwanamke” Hii inatoka kwenye makatazo ya Muungu mwanamke Ma’at.Utabaini kuwa kila wakati tukiongelea kuhusu mfumo wa utoaji haki na haki tunaye mwanamke wa Kiafrika akiwakilisha mzani wa utoaji haki.Majibu kwa makatazo ambayo yalitakiwa yaeleze “usimseme vibaya mama na baba yako ,usiue mwanamke au mwanaume,usiwafiche watu ujuzi na uwezo wako”. Ni maandiko ambayo ushawahi kuasikia sababu walisema kuwa mtu Fulani anayeitwa Musa aliyagundua maelfu ya miaka baadae kwenye Mlima Sinai.

Lakini bado walisema Musa alizaliwa Goshen.Hii ni Goshen iliyopo Misri kutoka na maandiko ya torati au agano la kale katika kitabu cha kutoka.Musa alipewa mafunzo,na kama alizaliwa na kuishi kule(kati ya mwaka mmoja hadi miaka themanini na tano),kulingana na biblia yako,hivyo basi lazima alisoma hili kwa sababu alipewa mafunzo kwenye grand lodge,kama alienda grand lodge akiwa na miaka saba hivyo hakutoka mpaka alipokuwa na miaka arobaini na saba kwa sababu ilichukua miaka arobaini kumtengeneza kuhani katika fani zote.Hivo basi,Musa hakuwa isipokuwa nakala ya makuhani wa Kimisri na mafunzo ya mfumo wa hadithi za Kimisri.Hawa Waafrika walewale waliotupa dhana ya Mungu mmoja.Alikuwa yule Amenhotep IV ambaye baadae alibadilisha jina na kuwa Akhneton,aliyetupa dhana ya Mungu pekee aitwaye Aten.Akhneton alifariki zamani kabla ya kuzaliwa kwa Musa.Hivi inawezekana mtu kuja Uingereza,kusoma chekechea hapa,shule ya msingi hapa,aende chuo hapa na kamwe hukuwahi kuusikia wimbo wa Taifa wa Uingereza,mkataba wa magna carta au sheria ya malkia Anne?inawezekana?kama ilivyo kwa Musa,azaliwe Misri na hakuwahi kusikia kuhusu Akhneton?

Wakati mmoja wa wanaoitwa wanafalsafa wa kwanza kwenda Misri,tunamuona kabla ya 640 kabla ya kristo,wakati ambapo alitakiwa awe ameshatoa andiko lake la kifalsafa,lakini yupo Misri.Kutoka Socrates hadi Aristotle(wale wanaoitwa wanafalsafa baada ya Socrates),kila mmoja wao aliishi miaka kadhaa Misri,na wazi mmoja ambaye hakuja sababu alikuwa ni zao la Plato alikuwa Socrates.

Hiyo ni Afrika unayoijua,haiwezi kuwa,vinginevyo msingeweza kuwa mnawatukuza watawala wenu,mnerudi kwenye elimu yenu ya kale na kuwa watawala wenu wenyewe mnaojitawala,angalau hata kama sio kimatendo basi kimawazo.Ni vigumu kwa sababu utumwa unatuletea historia iliyoandikwa na mkoloni kwa ajili ya mtawaliwa ilia some na aburudike.Mtawaliwa anapoangalia kila upande na kukuta kwamba hata mungu anaongea kutoka katika moyo wa mtawala,mtawaliwa huwa na mashaka na mungu.Maslahi ya mungu ni yapi katika yote haya?Sio Mwafrika aliyeandika katika kitabu cha Solomoni 1:1-9 na unapofika mstari wa 8 na 9 inasema “enyi mabinti wa Kanaan msiniangalie kwa sababu mimi ni mweusi,kwa sababu ni mrembo.Mama yangu aliniweka kwenye shamba la mizabibu lakini dada yangu aliwekwa ndani” Ndio maana malkia wa Sheba alibadilika na kuwa mweusi.Nilidhani kuwa ni kwa sababu baba na mama yake walikuwa weusi! Lakini unakuta hata kwenye biblia kuna uongo,ubaguzi wa rangi na yote hayo.Kama vile hatukuwa na biblia.tuna “The Book of the Dead” ambacho kilibadilishwa jina hapa London mwaka 1895 kutoka jina lake la awali.Kilikuwa kinaitwa “The Book of Coming Forth by Day and Night”.Tuna kitabu kinaitwa “The Book of the Divines”,”The Book of Judgment” “The Heart of Judgment” na kazi nyingine za namna hiyo ambazo zilikuwepo kabla ya agano la kale na kabala ya kiyahudi kwa maelfu ya miaka.

Waafrika walitupa dhana inayopinga mauaji.Mungu mwanamke Auset ambaye Wagiriki walimuita Isis,na mwanae Heru ambaye Wagiriki walimuita Horus na miungu wote waliona mauaji ya Osiris yaliyofanywa na kaka yake Seth.Mauaji yaliyopita mauaji ya Kain na Abel kwa maelfu ya miaka kuanzia kwenye kisiwa cha Angelica hadi kwenye hekalu la mungu Horus,ukienda mbele zaidi utaona uzazi bikra(virgin birth) na utungwaji mimba bila kukutana kimwili(immaculate conception).Ni hapa utakapoona igizo ambalo lilikuwepo kabla ya uwepo wa nchi inayoitwa Ugiriki likionyesha Horus akimuua baba yake mdogo kwa kulipiza kisasi kwa kumuua baba yake,akionyeshwa baba yake mdogo kama kiboko kwa ishara(symbolically).

Afrika niliyoiongelea,unahitaji kuijua,na hakuna atakayekufanya mtumwa baada ya kuiona.Marekani kuna msemo unasema”kupoteza ufahamu ni kitu kibaya”.Inasemwa wakati wote kwenye TV na watu wanaojiita “The United College Fund” unaweza kupoteza ufahamu wako katika hilo,na kwa kutumia neno “negro” inamaanisha hawana ufahamu,kwa sababu nimekuwa nikimtafuta “negro” na sijampata kwa miaka na miaka.Kwa sababu mimi sio Mreno,sitengenezi “negro” wala “negroland” Mimi ni Mwafrika,na hilo ni neno inabidi tupambane nalo kwa sababu limetoka kwa Wagiriki.Nadhani baadhi wanasema lina mfananio mzuri na sisi.Kwa hiyo nawaombeni muda wote kubeba kioo,uwe mwanaume au mwanamke,kwa ajili ya kujiangalia kila siku.Halafu uwe na hisia nzuri kuhusu sura unayoiona,nywele ulizonazo na kila umbo la kupendeza la mwili ulionao.Sijui kuhusu nyinyi,kaka zangu,lakini ninapoangalia sura ya yule mwanamke wa Kiafrika,Naona pepo.
jamaa itakua katoboa siri kwenye chama chake cha siri maana inamuonesha kua na yeye ni member wa illuminate
 
Attachments

  • wp_ss_20190329_0003.png
    wp_ss_20190329_0003.png
    134.3 KB · Views: 45
Huo ni uongo mtakatifu, kuwatupia lawama kila kitu wazungu na hio inaonyesha jinsi tulivyo wadhaifu na inferiority complex. Mfano black wa u.s na u.k wanasoma shule moja na mzungu mwanzo mwisho lakin still hakun chochote waafrica wanafanya zaid ya kuendelea kulalamika huku wazungu wakiendelea kupiga hatua.

Inferiority complex itaendelea kututesa waafrica balaa tuangalie tutatokaje tulipo tunaendelea kuwatupia lawama wazungu.

Wachina, wakorea na wajapan wameprove ukijituma na ukiwa unatafuta namna ya kujikwamua, hata hao wazungu unawapita

Unakuja kuniambia binadamu aliishi Africa, Mara wazungu wametuibia sana ,haisaidii chochote tupe namna tutoke hapa katika huu umaskin, mfano south Africa wazungu wamewachia nchi waafrica lakin hali ya uchumi wa waaftika bora hata kipind cha apartheid

Tuachen na hizi porojo tuangalie tutatokaje katik huu umaskin
 
JE ULAYA BADO NI STAARABU YA KIKRISTO?
Europe ‘A Christian civilization: Is it still so?
Na Fatima Binti Hemedi
Maswali mazito huchukia majibu mepesi!
Inafkia mahali mtu unahoji, hivi ukiristo bado ni dini hai kweli? Imesemwa na ni halisi kabisa kwamba Uislamu utapiku Ukiristo idadi ya waumini hivi karibuni, pengine ndani ya miongo 50. Ulaya inajivunia ustaarabu wa Kikiristo, sijui ilipewa na nani, sababu Yesu stelingi wa ukiristo sio Mzungu.! Na hata Yesu sio jina la kiyahudi, na wayahudi hawamtambui Yesu hata kidogo’ Kinyume na mazoea ya wengi, kuhusu ngano ya kusulubiwa kwa Yesu, Msalaba kwa maana ya Ishara ya chanya yenye mlingoti wima mrefu, sio mti aliosulubishiwa YESU, bali ulikuja baadae, kama tengenezo la Mfalme Costantine
Lakini swali hili la awali linawahusu waislamu pia, haliepukiki, ya kwamba kama ukiristo umekufa hivi Uislamu kweli upo? Unasimamia wapi kwa mfano? Uislamu umesimama katika misingi ya Ukiristo, ukiibuka miaka 500 baadae. Ukiristo Ulaya imebaki mazoea, makanisa ni magofu, yakisubiri pasaka krisimasi na mwaka mpya. Chakufurahisha ni kwamba makanisa hayo yanajazwa na watu weusi, ndio wamebaki wakikodisha majengo haya na kufanyia biashara yaoya miujiza huku wanauza madawa ya kulevya na biashara ya watoto. Hawa waitwao wa uamsho aa wapendecoste. Misingi na katiba ya dini yoyote ile ni Masaafu yake, ama vitabu vyake vitakatifu. Dini inapo kiuka katiba yake, kama ilivyokuwa siasa, ndio zoezi la kifo chake linapoanzia! Kanisa la Kianglikana lilitangulia kuikana Biblia kwa kuhalalisha ndoa za jinsia moja! Kanisa Anglikana la Africa naskia lilitoa tamko la kujitenga na makao makuu yake, sjui imefkia wapi????? Doh
Marekani ni Taifa la kipendecoste, chanzo cha upendecoste na uamsho wote ni Marekani, the founding fathers, lakini juzi serikali kuu yaTaifa hili ilipouruka msaafu wa Biblia na kuhalalisha ndoa za jinsia moja, ndio ulikuwa msumari wa mwisho. Kabla hatujaenda mbali maswali mawili yanaibuka
Mosi hivi ukiristo ni nini? Ni nini kiini chake? Ukilijibu hilo, unakutana na swali la pili,
Hivi ni nini, ama ni nani ameuua ukiristo?

Kuyajibu hayo wala sita kuzungurusha, aliye utengeneza ukiristo, ndio aliye uua, nani? Myahudi. Baba kaua mwana, wazaramo wana kwambia mbwa kala mwanae’

Dunia yetu kama tunavyo ifahamu, imegawanyika katika majando matatu, yaani, kale, kati na sasa, ama upya, wenzetu wanasema modernism. Katika nyakati hizi zote Myahudi amekuwa chachu kubwa. Ukiristo ulitengenezwa na watawala wa Rumi, na ma scholar wa Kiyahudi, na ndio sababu IKIWA TU Ulaya itajinadi kama ustaarabu wa Kikiristo, daima wayahudi ndio Baba wa Ustaarabu huo.
Dunia ya kale iliona ustawi wa dini za Miungu ambazo wayahudi waliizita upagani, at the same time wakikopi, na kupindua na kutengeneza ujudism. Husika ya Yesu kiini chake ni mseto character ya Socrates kutoka ugiriki, Gautama Budha kutoka China, Krishna kutoka India, gilgameshi kutoka SUMERIA na Ausar kutoka Ancient Egypt, copy that’
Kwa hivyo unakuta kwamba kweli wayahudi ni watu wa kipekee, ingawa unguli upo pande zote mbili, katika wema na ubaya, wayahudi wako kipengee cha pili.
Lakini ishu ni kwamba myahudi haonekani, na mambo yake yote anayofanya throughout history. Hakukuwa na Musa , wala hawakuivuka bahari ya Shamu, bali baada ya kuisaliti ancient Egypt kwa dola la Hykso kwa miaka 1000, watawala wa Misri walipokomboa nchi yao, waliwatesa wayahudi na kuwapa kazi ngumu, sio kujenga piramidi, hawakuijenga ile hata chembe, kwani by the time hawakuwepo…hatimaye wakaomba waondoke, wakaomba kurudi kwao Palestina, hao wahamiaji wa kiyahudi, tena ni wakati wa Farao Akinaten wakaenda Palestina, ndio jina la Nchi, tena walikuwa ka ethnic group tu, wala sio taifa kubwa kama biblia inavyo dai. Na Tangu wakati huo wakawa baa kubwa kwa kila staarabu waliyokutana nayo. Huwezi kumshinda mchina huku unapigana kungfu, wala mkongo kwa staili ya Bolingo, au Mbrazili kucheza soka la Samba, na mbongo kiswahili’ kwani yeye ni muasisi. Ndio kilichoikuta Ulaya. By the time Adolf Hitler anakuja kuamka, he was doomed to fail, kwani ukiristo ulikuwapindishwa kwa manufaa na silaha ya myahudi.
Ukiristo Halisi hauna urafiki na wayahudi, na wayahudi walimsulubisha Masia kwa mujibu wa ngano hiyo pendwa. Adolph alipambana katika kambi ya Martin Luther , reformer huyu ambaye alikemea Ukatholiki na kuonya kuhusu uovu wa wayahudi. Msijisahau myahudi si mkiristo wala muislamu, bali the later are influenced by his ideas.
Sasa Jumuiya ya Ulaya, inaposhinikiza dunia, kuhalalisha Ushoga, nani yuko nyuma yake?
Husika halisi ya Myahudi, ni ile ya Yuda Iskariote, muweka hazina, vipande vya Fedha’ wayahudi wana control global treasury kupitia mfumo Benki.
Tunaiyomba jumuiya ya Ulaya ituambie Rasmi ya kwamba Ulaya si ustaarabu wa Kikristo tena, ili wenzangu na miye tuamue mustakabali wetu. Magufuli anatetea haki ya Ibada, na kulinda maandiko matakatifu ya Qurani na Biblia, yanayosema bayana kwamba sodoma ni dhambi kuu.
Pia akiwa mfalme wa Tasnia ya ponografia myahudi amepromote kifo cha ukiristo na maadili ya binadamu duniani kote. NDIO SABABU KILA UNAPOKATAA KULA MAVI UNAITWA DIKTETA, NA WANANCHI WAKO WANAO DAI KUWA WAKIRISTO NA WAISLAMU, WANASEMA UNAKIUKA HAKI ZA BINADAMU KWA KUKATAA KUHALALISHA USHOGA.
TUNAOMBA TUAMBIWE RASMI NA Jumuiya ya Ulaya kwamba ukiristo umesha kufa na kuzikwa, ili tuwe huru kurejea Ibada zetu asilia
Asanteni

Barua toka Lebanon
Fatima Binti Hemedi
Story ndefu,bila facts,
Story kama hizi,hata Mimi naweza kuja na ya kwangu,maana hii haina uthibitisho wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika tuna hangaika sana na bado katika kuhangaika huku tunajikuta tunazidi tu kutaabisha tu mioyo na akili. Wazungu walishahama huko wanavumbua tu vitu.

Tunahangaika kama ambavyo mtu anahangaika kuonesha yeye ni mwanaume...anatafuta uthibitisho kuwa yeye ni mwanaume....wakati ni rahisi tu alale na mwanamke amnanii amtie mimba naye awe salama. Tuwekezeni nguvu zetu kwenye uvumbuzi.

Hatuna tunalovumbua tunalalamika kila siku na dini na asili.ila tumebaki pale pale na wazungu hawana hata muda wa kupoteza endeleeni kulishana matango pori kama wao walivyowalisha matango pori ila wenyewe wa me move one.
 
JE ULAYA BADO NI STAARABU YA KIKRISTO?
Europe ‘A Christian civilization: Is it still so?
Na Fatima Binti Hemedi
Maswali mazito huchukia majibu mepesi!
Inafkia mahali mtu unahoji, hivi ukiristo bado ni dini hai kweli? Imesemwa na ni halisi kabisa kwamba Uislamu utapiku Ukiristo idadi ya waumini hivi karibuni, pengine ndani ya miongo 50. Ulaya inajivunia ustaarabu wa Kikiristo, sijui ilipewa na nani, sababu Yesu stelingi wa ukiristo sio Mzungu.! Na hata Yesu sio jina la kiyahudi, na wayahudi hawamtambui Yesu hata kidogo’ Kinyume na mazoea ya wengi, kuhusu ngano ya kusulubiwa kwa Yesu, Msalaba kwa maana ya Ishara ya chanya yenye mlingoti wima mrefu, sio mti aliosulubishiwa YESU, bali ulikuja baadae, kama tengenezo la Mfalme Costantine
Lakini swali hili la awali linawahusu waislamu pia, haliepukiki, ya kwamba kama ukiristo umekufa hivi Uislamu kweli upo? Unasimamia wapi kwa mfano? Uislamu umesimama katika misingi ya Ukiristo, ukiibuka miaka 500 baadae. Ukiristo Ulaya imebaki mazoea, makanisa ni magofu, yakisubiri pasaka krisimasi na mwaka mpya. Chakufurahisha ni kwamba makanisa hayo yanajazwa na watu weusi, ndio wamebaki wakikodisha majengo haya na kufanyia biashara yaoya miujiza huku wanauza madawa ya kulevya na biashara ya watoto. Hawa waitwao wa uamsho aa wapendecoste. Misingi na katiba ya dini yoyote ile ni Masaafu yake, ama vitabu vyake vitakatifu. Dini inapo kiuka katiba yake, kama ilivyokuwa siasa, ndio zoezi la kifo chake linapoanzia! Kanisa la Kianglikana lilitangulia kuikana Biblia kwa kuhalalisha ndoa za jinsia moja! Kanisa Anglikana la Africa naskia lilitoa tamko la kujitenga na makao makuu yake, sjui imefkia wapi????? Doh
Marekani ni Taifa la kipendecoste, chanzo cha upendecoste na uamsho wote ni Marekani, the founding fathers, lakini juzi serikali kuu yaTaifa hili ilipouruka msaafu wa Biblia na kuhalalisha ndoa za jinsia moja, ndio ulikuwa msumari wa mwisho. Kabla hatujaenda mbali maswali mawili yanaibuka
Mosi hivi ukiristo ni nini? Ni nini kiini chake? Ukilijibu hilo, unakutana na swali la pili,
Hivi ni nini, ama ni nani ameuua ukiristo?

Kuyajibu hayo wala sita kuzungurusha, aliye utengeneza ukiristo, ndio aliye uua, nani? Myahudi. Baba kaua mwana, wazaramo wana kwambia mbwa kala mwanae’

Dunia yetu kama tunavyo ifahamu, imegawanyika katika majando matatu, yaani, kale, kati na sasa, ama upya, wenzetu wanasema modernism. Katika nyakati hizi zote Myahudi amekuwa chachu kubwa. Ukiristo ulitengenezwa na watawala wa Rumi, na ma scholar wa Kiyahudi, na ndio sababu IKIWA TU Ulaya itajinadi kama ustaarabu wa Kikiristo, daima wayahudi ndio Baba wa Ustaarabu huo.
Dunia ya kale iliona ustawi wa dini za Miungu ambazo wayahudi waliizita upagani, at the same time wakikopi, na kupindua na kutengeneza ujudism. Husika ya Yesu kiini chake ni mseto character ya Socrates kutoka ugiriki, Gautama Budha kutoka China, Krishna kutoka India, gilgameshi kutoka SUMERIA na Ausar kutoka Ancient Egypt, copy that’
Kwa hivyo unakuta kwamba kweli wayahudi ni watu wa kipekee, ingawa unguli upo pande zote mbili, katika wema na ubaya, wayahudi wako kipengee cha pili.
Lakini ishu ni kwamba myahudi haonekani, na mambo yake yote anayofanya throughout history. Hakukuwa na Musa , wala hawakuivuka bahari ya Shamu, bali baada ya kuisaliti ancient Egypt kwa dola la Hykso kwa miaka 1000, watawala wa Misri walipokomboa nchi yao, waliwatesa wayahudi na kuwapa kazi ngumu, sio kujenga piramidi, hawakuijenga ile hata chembe, kwani by the time hawakuwepo…hatimaye wakaomba waondoke, wakaomba kurudi kwao Palestina, hao wahamiaji wa kiyahudi, tena ni wakati wa Farao Akinaten wakaenda Palestina, ndio jina la Nchi, tena walikuwa ka ethnic group tu, wala sio taifa kubwa kama biblia inavyo dai. Na Tangu wakati huo wakawa baa kubwa kwa kila staarabu waliyokutana nayo. Huwezi kumshinda mchina huku unapigana kungfu, wala mkongo kwa staili ya Bolingo, au Mbrazili kucheza soka la Samba, na mbongo kiswahili’ kwani yeye ni muasisi. Ndio kilichoikuta Ulaya. By the time Adolf Hitler anakuja kuamka, he was doomed to fail, kwani ukiristo ulikuwapindishwa kwa manufaa na silaha ya myahudi.
Ukiristo Halisi hauna urafiki na wayahudi, na wayahudi walimsulubisha Masia kwa mujibu wa ngano hiyo pendwa. Adolph alipambana katika kambi ya Martin Luther , reformer huyu ambaye alikemea Ukatholiki na kuonya kuhusu uovu wa wayahudi. Msijisahau myahudi si mkiristo wala muislamu, bali the later are influenced by his ideas.
Sasa Jumuiya ya Ulaya, inaposhinikiza dunia, kuhalalisha Ushoga, nani yuko nyuma yake?
Husika halisi ya Myahudi, ni ile ya Yuda Iskariote, muweka hazina, vipande vya Fedha’ wayahudi wana control global treasury kupitia mfumo Benki.
Tunaiyomba jumuiya ya Ulaya ituambie Rasmi ya kwamba Ulaya si ustaarabu wa Kikristo tena, ili wenzangu na miye tuamue mustakabali wetu. Magufuli anatetea haki ya Ibada, na kulinda maandiko matakatifu ya Qurani na Biblia, yanayosema bayana kwamba sodoma ni dhambi kuu.
Pia akiwa mfalme wa Tasnia ya ponografia myahudi amepromote kifo cha ukiristo na maadili ya binadamu duniani kote. NDIO SABABU KILA UNAPOKATAA KULA MAVI UNAITWA DIKTETA, NA WANANCHI WAKO WANAO DAI KUWA WAKIRISTO NA WAISLAMU, WANASEMA UNAKIUKA HAKI ZA BINADAMU KWA KUKATAA KUHALALISHA USHOGA.
TUNAOMBA TUAMBIWE RASMI NA Jumuiya ya Ulaya kwamba ukiristo umesha kufa na kuzikwa, ili tuwe huru kurejea Ibada zetu asilia
Asanteni

Barua toka Lebanon
Fatima Binti Hemedi

Ahsante sana mkuu
 
Siku ilikuwa inabadilika saa moja jioni ...na mpaka Sasa HV ndio hivyo alafu tunadanganywa saa sita usiku
1. mwaka ulikuwa na miezi kumi na tatu

2. hapa sina jibu la haraka,mpaka nikachimbe kwa ancestors kwanza

3. natural instincts,ndio maana kwenye "the egyption book of the dead" kuna makatazo 42 ambayo kila mtu alitakiwa kutoyafanya,ancestors walilay down zile moral teachings ili kuwaweka watu kwenye mstari,bahati mbaya,wakristo na waislamu miaka elfu kadhaa baadae walicopy na kusema ni maandiko ya mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mambo ya bilal alimfundisha nini ni thread in its own right
kabla hujasema kuhusu tafiti kwa GRAND MASTER DR.Ben,kwanza katafiti historia yake na ubobezi wake
R ben haaminiki amesema fuvu la zinja liko kenya
 
Afrika ambayo labda huijui ilimzaa Zinjathropus Boisei kutoka kwa Waafrika wa Kenya!Familia ya Leakey,Louis na Mary walimkadiria kuwa na miaka milioni 1.7,Adam ni miaka 4000-5000 iliyopita.Afrika usiyoijua ilimzaa Lucy kule Ethiopia miaka milioni 3.2 ,na wote wapo kwenye makumbusho ya Kenya na Ethiopia
Screenshot_20200201-023433.png
 
Alidai zinja ametokea kwa waafrika wa kenya uyu ancestor haijui vizuri Africa.
Na hilo fuvu tunalo toka 1961 uyu ancestor hio speech yake ya juz kat tu na hajui chochote kuhusu Tanzania hafai kupigiwa mfano wala kuaminiwa sana
 
Back
Top Bottom