Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Ngoja nikupe faida za kielimu. Kwanza ujue kabisa hao ambao unawasemea kwamba huwa tunashindwa kuwapa majibu sababu hawataki tujadili mambo haya kielimu.

Katika mijadala ya kielimu au mambo ya kielimu,kuna wakati huwa kuna kuwa na kauli zaidi ya moja,na katika kauli hizo iko au ipo kauli yenye nguvu. Na kauli yenye nguvu ndio huchukuliwa na kuifanya hoja yenye nguvu.

Historia ya uumbwaji wa mbingu na ardhiiko wazi kwa yeyote mwenye kutaka kuijua.

Na kauli yenye nguvu ni kuwa hapakuwa na kiumbe chochte kilicho ishi haya duniani kabla ya Adamu.

Umeprogramiwa ndio maana, ila amini usiamini huna unachojua. Huwezi leta QURAN au Bible ikawa ndio reference katika zama hizi. Vinginevyo uwe programmed
 
Umeprogramiwa ndio maana, ila amini usiamini huna unachojua. Huwezi leta QURAN au Bible ikawa ndio reference katika zama hizi. Vinginevyo uwe programmed

Kaka usitake kuminyana kiupofu pofu.

Nijuze kile ambacho ni sahihi na si kile ukionacho wewe ni sahihi,kisha tukipime katika mizani,ila kusema tu sina ninacho kijua bila kuzivunja hoja zangu,kaa ukijua wewe ndio hujui na hujui kama hujui,na kufikiri kwa mtindo ni kunakufanya uzidi kuwa JUHA.
 
Kaka usitake kuminyana kiupofu pofu.

Nijuze kile ambacho ni sahihi na si kile ukionacho wewe ni sahihi,kisha tukipime katika mizani,ila kusema tu sina ninacho kijua bila kuzivunja hoja zangu,kaa ukijua wewe ndio hujui na hujui kama hujui,na kufikiri kwa mtindo ni kunakufanya uzidi kuwa JUHA.


Sawa Mkuu, ila ujue kuwa huna unachokijua. Na hata hicho kitabu unachokitumia pia waliokiandika hawana wakijuacho
 
Sawa Mkuu, ila ujue kuwa huna unachokijua. Na hata hicho kitabu unachokitumia pia waliokiandika hawana wakijuacho

Unapenda kupoteza muda na kurudia rudia maneno,leta usahihi wa mambo sasa kama wewe unasema ukweli.
 
Mimi nilishazikataa hadithi za Adam na hawa zamani sana huo ni uongo tu.
Sema nimepingana na Dr alipomuingiza Musa akimhusisha na monotheism ya Aton iliyoanzishwa na Akhenaton.Kwa sababu Musa wanadai ni Muisrael na waisrael hawajawahi kuwepo Misri kama inavyodaiwa.
 
Mimi nilishazikataa hadithi za Adam na hawa zamani sana huo ni uongo tu.
Sema nimepingana na Dr alipomuingiza Musa akimhusisha na monotheism ya Aton iliyoanzishwa na Akhenaton.Kwa sababu Musa wanadai ni Muisrael na waisrael hawajawahi kuwepo Misri kama inavyodaiwa.
Haswa...
 
Hadithi za Adamu na Hawa zinatoa logical explanations ya chanzo cha binadamu na kwanini yuko duniani.
Sasa kwa vile huziamini ebu wewe tupe ukweli nini chanzo cha binadamu sababu kuwepo kwake hapa duniani.
Mimi nilishazikataa hadithi za Adam na hawa zamani sana huo ni uongo tu.
Sema nimepingana na Dr alipomuingiza Musa akimhusisha na monotheism ya Aton iliyoanzishwa na Akhenaton.Kwa sababu Musa wanadai ni Muisrael na waisrael hawajawahi kuwepo Misri kama inavyodaiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, kazi kweli kweli, mm nakubaliana nadhana kwamba, waafrika tutajikomboa kifikra na kivyovyote vile pindi tukiweka dini za kizungu na kiarabu pending,

Wanasema akupigae shavu lakushoto mgeuzie nalakulia akupige tena, pia vijakazi muwe watiifu kwa mabwana zenu, so nani awe kijakazi nani awe bwana kidogo ingeeleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua hata leo tuseme itokee wazungu wavamiwe na kufanywa watumwa na kuwa watu duni kabisa,basi wakikaa na kuanza sie tulikuwa hivi na vile mie nitawaelewa kwa sababu uwezo wao unaonekana kwa jamii yso nzima na si kwamba wazungu wa sehemu fulani tu ndio wanamaendeleo na ndio huwakilisha wazungu wote.

Ila leo mtu anatuambia waacrika tulikuwa hivi mara vile ila ukitizama uhalisia hatuendani na hayo maelezo,unatajiwa mifano michache ya sehemu ya sehemu maalumu hizohizo tu kuwa ndio nzima tulikuwa na maendeleo.
 
"Afrika niliyoiongelea,unahitaji kuijua,na hakuna atakayekufanya mtumwa baada ya kuiona" mwisho wa kunukuu. Toka nimefahamu hili neno miaka 2 iliyopita maisha na mindset yangu imebadilika kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najikuta naona fahari kuwa mwafrica baada ya kusoma ujumbe huu, mwanzo nilichukulia uafrica wang kama kasoro..
mungu ibariki Africa, mungu tubariki tuliomo ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najiuliza hivi waafrika weusi tunatakiwa kujivunia Accomplishments za Waethiopia na wamisri wakale? hawa waethiopia nafikiri ni jamii ya wakush ambao kwa hapa bongo wakush ni wairaqw. Ukiwaangalia wako mbali kabisa na Wabantu weusi au wanilotics(wamasai). hawa si weusi japo ni waafrika. wamisri wakale sijui walikuaje ila naona walikuwa Berbers, ambao ni watu wa asili wa North Africa na si weusi kabisa. Je tunatakiwa kijivunia mafanikio ya kale ya watu hawa? si itakuwa kama mhindi kujivunia mafanikio ya mchina kisa wanatoka bara moja?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana hiyo wewe unataka kutuambia wasomali na waethiopia sio wenzetu????? Hahaha kwa taarifa yako ni wenzetu, ustaarabu ulianzia Sudani kusini hapo, kisha zimbabwe awal zaidi Africa kusini Wala mgawanyo huu na majina ya mabara na nchi hayakuwa hivyo zamani..
hata muhindi huyo mchina chimbuko lao moja: Mtumweusi .fanya utafiti, usikurupuke kama umeshiba makande vileee
 
Kwa maana Hugo wewe unataka kutuambia wasomali na waethiopia so wenzetu????? Hahaha kwa taarifa yak o ni wenzetu, ustaarabu syllabus Sudani kusini hapo, kisha zimbabwe awali Saudi Africa kusini Wala mgawanyo huu na majina ya mabara hayakuwa hivyo zamani...fanya utafiti, usikurupuke kama umeshiba makande vileee
asanteh, ngoja nikale makanda kwanza ntarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JE ULAYA BADO NI STAARABU YA KIKRISTO?
Europe ‘A Christian civilization: Is it still so?
Na Fatima Binti Hemedi
Maswali mazito huchukia majibu mepesi!
Inafkia mahali mtu unahoji, hivi ukiristo bado ni dini hai kweli? Imesemwa na ni halisi kabisa kwamba Uislamu utapiku Ukiristo idadi ya waumini hivi karibuni, pengine ndani ya miongo 50. Ulaya inajivunia ustaarabu wa Kikiristo, sijui ilipewa na nani, sababu Yesu stelingi wa ukiristo sio Mzungu.! Na hata Yesu sio jina la kiyahudi, na wayahudi hawamtambui Yesu hata kidogo’ Kinyume na mazoea ya wengi, kuhusu ngano ya kusulubiwa kwa Yesu, Msalaba kwa maana ya Ishara ya chanya yenye mlingoti wima mrefu, sio mti aliosulubishiwa YESU, bali ulikuja baadae, kama tengenezo la Mfalme Costantine
Lakini swali hili la awali linawahusu waislamu pia, haliepukiki, ya kwamba kama ukiristo umekufa hivi Uislamu kweli upo? Unasimamia wapi kwa mfano? Uislamu umesimama katika misingi ya Ukiristo, ukiibuka miaka 500 baadae. Ukiristo Ulaya imebaki mazoea, makanisa ni magofu, yakisubiri pasaka krisimasi na mwaka mpya. Chakufurahisha ni kwamba makanisa hayo yanajazwa na watu weusi, ndio wamebaki wakikodisha majengo haya na kufanyia biashara yaoya miujiza huku wanauza madawa ya kulevya na biashara ya watoto. Hawa waitwao wa uamsho aa wapendecoste. Misingi na katiba ya dini yoyote ile ni Masaafu yake, ama vitabu vyake vitakatifu. Dini inapo kiuka katiba yake, kama ilivyokuwa siasa, ndio zoezi la kifo chake linapoanzia! Kanisa la Kianglikana lilitangulia kuikana Biblia kwa kuhalalisha ndoa za jinsia moja! Kanisa Anglikana la Africa naskia lilitoa tamko la kujitenga na makao makuu yake, sjui imefkia wapi????? Doh
Marekani ni Taifa la kipendecoste, chanzo cha upendecoste na uamsho wote ni Marekani, the founding fathers, lakini juzi serikali kuu yaTaifa hili ilipouruka msaafu wa Biblia na kuhalalisha ndoa za jinsia moja, ndio ulikuwa msumari wa mwisho. Kabla hatujaenda mbali maswali mawili yanaibuka
Mosi hivi ukiristo ni nini? Ni nini kiini chake? Ukilijibu hilo, unakutana na swali la pili,
Hivi ni nini, ama ni nani ameuua ukiristo?

Kuyajibu hayo wala sita kuzungurusha, aliye utengeneza ukiristo, ndio aliye uua, nani? Myahudi. Baba kaua mwana, wazaramo wana kwambia mbwa kala mwanae’

Dunia yetu kama tunavyo ifahamu, imegawanyika katika majando matatu, yaani, kale, kati na sasa, ama upya, wenzetu wanasema modernism. Katika nyakati hizi zote Myahudi amekuwa chachu kubwa. Ukiristo ulitengenezwa na watawala wa Rumi, na ma scholar wa Kiyahudi, na ndio sababu IKIWA TU Ulaya itajinadi kama ustaarabu wa Kikiristo, daima wayahudi ndio Baba wa Ustaarabu huo.
Dunia ya kale iliona ustawi wa dini za Miungu ambazo wayahudi waliizita upagani, at the same time wakikopi, na kupindua na kutengeneza ujudism. Husika ya Yesu kiini chake ni mseto character ya Socrates kutoka ugiriki, Gautama Budha kutoka China, Krishna kutoka India, gilgameshi kutoka SUMERIA na Ausar kutoka Ancient Egypt, copy that’
Kwa hivyo unakuta kwamba kweli wayahudi ni watu wa kipekee, ingawa unguli upo pande zote mbili, katika wema na ubaya, wayahudi wako kipengee cha pili.
Lakini ishu ni kwamba myahudi haonekani, na mambo yake yote anayofanya throughout history. Hakukuwa na Musa , wala hawakuivuka bahari ya Shamu, bali baada ya kuisaliti ancient Egypt kwa dola la Hykso kwa miaka 1000, watawala wa Misri walipokomboa nchi yao, waliwatesa wayahudi na kuwapa kazi ngumu, sio kujenga piramidi, hawakuijenga ile hata chembe, kwani by the time hawakuwepo…hatimaye wakaomba waondoke, wakaomba kurudi kwao Palestina, hao wahamiaji wa kiyahudi, tena ni wakati wa Farao Akinaten wakaenda Palestina, ndio jina la Nchi, tena walikuwa ka ethnic group tu, wala sio taifa kubwa kama biblia inavyo dai. Na Tangu wakati huo wakawa baa kubwa kwa kila staarabu waliyokutana nayo. Huwezi kumshinda mchina huku unapigana kungfu, wala mkongo kwa staili ya Bolingo, au Mbrazili kucheza soka la Samba, na mbongo kiswahili’ kwani yeye ni muasisi. Ndio kilichoikuta Ulaya. By the time Adolf Hitler anakuja kuamka, he was doomed to fail, kwani ukiristo ulikuwapindishwa kwa manufaa na silaha ya myahudi.
Ukiristo Halisi hauna urafiki na wayahudi, na wayahudi walimsulubisha Masia kwa mujibu wa ngano hiyo pendwa. Adolph alipambana katika kambi ya Martin Luther , reformer huyu ambaye alikemea Ukatholiki na kuonya kuhusu uovu wa wayahudi. Msijisahau myahudi si mkiristo wala muislamu, bali the later are influenced by his ideas.
Sasa Jumuiya ya Ulaya, inaposhinikiza dunia, kuhalalisha Ushoga, nani yuko nyuma yake?
Husika halisi ya Myahudi, ni ile ya Yuda Iskariote, muweka hazina, vipande vya Fedha’ wayahudi wana control global treasury kupitia mfumo Benki.
Tunaiyomba jumuiya ya Ulaya ituambie Rasmi ya kwamba Ulaya si ustaarabu wa Kikristo tena, ili wenzangu na miye tuamue mustakabali wetu. Magufuli anatetea haki ya Ibada, na kulinda maandiko matakatifu ya Qurani na Biblia, yanayosema bayana kwamba sodoma ni dhambi kuu.
Pia akiwa mfalme wa Tasnia ya ponografia myahudi amepromote kifo cha ukiristo na maadili ya binadamu duniani kote. NDIO SABABU KILA UNAPOKATAA KULA MAVI UNAITWA DIKTETA, NA WANANCHI WAKO WANAO DAI KUWA WAKIRISTO NA WAISLAMU, WANASEMA UNAKIUKA HAKI ZA BINADAMU KWA KUKATAA KUHALALISHA USHOGA.
TUNAOMBA TUAMBIWE RASMI NA Jumuiya ya Ulaya kwamba ukiristo umesha kufa na kuzikwa, ili tuwe huru kurejea Ibada zetu asilia
Asanteni

Barua toka Lebanon
Fatima Binti Hemedi
 
Back
Top Bottom