Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Concept yako kutokana na hii comment, we never existed before and we came from nowhere😀😀😀! We una uhakika gani mwaka ulianzia moja??? Inawezekana hata ulianzia 300, (kutokana na comments zako nyingi). Like "professer, you have no common sense, because its not seen"
Kutokana na comment zangu nyingi zipi? Unaweza kuweka hata moja ya mfano tuijadili hapa tujue unatoa maneno kwenye comment zangu na si kwenye kichwa chako tu bila kuwa na uhusiano na chochote nilichoandika?
 
Palipo na hoja hapakosi vioja, kumbe Olduvai gorge ipo Kenya na siyo Tanzania. Jambo hili limechafua mtililiko mzima wa hotuba nzima. Kama kuna uongo kwa lile lenye ushahidi hata leo, vipi lile la kale. Ama kweli ya kisiwani hayanyweki bara.
 
sometimes mtu mweusi hunichanganya sana. Musa alioa mwanamke mweusi. Mke wake alikuwa ni mmidiani. wamidiani waliishii maeneo ambapo leo ni Saudi Arabia kwenye Maka na Medina (Hejaz). wamidian hao walitokana na uzao wa Abraham. Ambapo baada ya Sarah kufa Abraham alimuoa Keturah na kumzaa Midian na watoto wengine kibao. So watu weusi walisambaa kiasi gani enzi za kale? walikuwa Africa kaskazini yote hadi na maeneo ya Arabia?. je walikuwa weusi tii au walikuwa wakush?
Hiyo ni biblia Anko ambayo imeandika juz tuu... Ushaambiwa Africans tulishakuwepo toka mamiaka millions yalopta anko na kila ustaarabu tulianzisha sisi achana na mabiblia hayoo ndio kifungo chako hicho
 
kwa kuongezea tu ni kwamba wakemet walienda kusettle misri wakitokea east africa kama walivyojieleza kwenye hii papyrus
‘We came from the beginning of the Nile where God-Hapi dwells, at the foothills of the mountain of the Moon-
The papyrus of Hunefer.
Hii statement inaonesha ni bongo kabsa mt Kilimanjaro hapo ndio maana kila Siku nawaza haka kanchi ketu Mbona mungu akikapendelea sana BT now naanza kuelewa afadhal
 
Kumbe Waafrika tuna Mungu wetu, tofauti na huyo wa wenzetu.
Naona hata wanaobisha kuwa hakuna Mungu mada hii wameikubali.
Sasa si wangesema tu kuwa wanamtambua huyu Mungu wa Waafrika.
Kinachosumbua huyu Mungu wa waafrika kajificha sana, habari zake hazipatikani ki urahisi, mpaka uwe msomi sana ndo ujue habari zake.
Sasa sisi watu wa chini tutapataje kujua habari zake, sisi ambao kiingereza hatukijui wala kisomo cha chuo.
Mwenye kuweza kusaidia ili tumwelewe huyu Mungu wa Waafrika tafadhali atusaidie.
Yaani kupata Bible yake, ili nasisi tuisome tupate maarifa kama ya wenzetu.
Tunahitaji sana kumtambua huyu Mungu wetu Waafrika.
Msaada tafadhali.
Mazungu yameficha historia yetu yamekuja tuandikia mauongo yao...ndio maana yanatuchukia maana yanajua si ndio kila kitu
 
IMG_1404.JPG
 
Na tena
Hawa Waafrika katika bonde la mto Nile walifanya zaidi ya hili.Walitupa mungu Osiris ambapo watu walienda kila mwaka walienda kuhiji,zamani kabla hakujawa na ukuta wa kulia(wailing wall) Palestina au hadithi ya kufikirika ya yesu kuzaliwa Bethlehem.

Ni Afrika iliyozaa Hadzart Bilal ibn Rahab,ambaye alimfundisha Mohamed ibn Abdullah,ambaye alikuwa hajui kusoma na kuandika katika lugha yake.Hadzart Bilal ibn Rahab alikuja kuwa mkuu wa balozi za kiislam chini ya Mohamed ibn Abdullah,Omar na Abu Bakr.Nafikiri tunahitaji kujua historia kabla ya kunukuu maandiko ya kwenye vitabu vya dini.
Baby nakupendea hapo, unamiakili mingi
 
Palipo na hoja hapakosi vioja, kumbe Olduvai gorge ipo Kenya na siyo Tanzania. Jambo hili limechafua mtililiko mzima wa hotuba nzima. Kama kuna uongo kwa lile lenye ushahidi hata leo, vipi lile la kale. Ama kweli ya kisiwani hayanyweki bara.
Kumbe Kenya iko ulaya
Nilikuwa bado sjajua
 
Back
Top Bottom