Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Sasa kama jambo dogo kama hilo halijui,amebobea katika nini au nimjue ili iweje na atanisaidia nini zaidi chif ?

Unajua kuna watu wa kuwafuatilia watu ambao daima wamesimama katika misingi ya elimu na ukweli mtupu.
sijasema hajui bilal alimfundisha nini isipokuwa nimekwambia nitamfatilia ili nijue views zake kuhusu bilal na mchango wake kwenye unaoitwa uislam(ndio maana nikakwambia ni subject ya siku nyingine)
kuna baadhi ya maswali ninayokuuliza unaonekana kuyakimbia!!!!!!
 
Tatizo huwezi kupata ukweli halisi na ukamilifu wa mambo nje ya dini.

Origin ya dini ndio haieleweki kabisa sababu njia wazitumiazo wao zimejengeka katika dhana,wasi wasi na mashaka tele.
Na ndiyo tukubaliane kuwa Dini zimeletwa na baadhi ya watu kwa malengo fulani wanayoyatumia kutuendesha wanavyotaka wao.
 
Mkuu Zurri, hicho unachojitahidi kukitetea kipo kiimani zaidi kuliko uhalisia. Maana Maandiko matakatifu iwe biblia au Qur'an msomaji anatakiwa kuamini au asiamini. Ndio maana kina Kiranga hawaamini.

Alichokisema huyo mhadhiri kwenye kongamano ni ukweli ambao umefichwa katika historia ambayo imeficha ukweli na kuandikwa uongo. Mada inaelezea historia na mambo ambayo waafrika walipita, na uhahidi umewekwa. Huyo Dr kama alivyosema anaitwa mtata ana hoja zenye mashiko kabisa.

Tuache tabia za kufia dini.
 
Naongezea.
Wakristo nawaombeni muwe mnapunguza jazba inapokuja hoja ya Qur an na mafundisho yake, msiwe mnafyatua tu nakuona hiki kitabu hakina maana yoyote sawa tu na vitabu vyengine vya hadithi za kitoto, maana namna unavyokiporomoa ubora hata hadithi za juzi kutoka Shaban Robert unaonekana inazikweza kulinganisha na Qur an, la hasha hivyo sivyo kabisa.

Nawaombeni kabla ya kuporomoa zarau hebu katafuteni tafsiri ya Qur an halafu muisome anhalau ile sura moja na mzingatie haswa kwa umakini mliojaaliwa na uyo Jehova wenu halafu ndio mje muanze kutoa hizo zarau zenu, mnajua mnatia kinyaa mnapokua mnatoa mijineno mibaya mibaya dhidi ya Qur an, wakati hamfahamu chochote hata katika hiyo biblia yenu hamkai mkaisoma kwa mazingatio. Wengi wenu mnasomewa mnapokuwa kanisani tu, na dini na imani mlonayo inakuwa ya kishabi shabiki zaidi dhidi ya uislamu na sio kimsimamo zaidi ili kuimarisha matendo yenu kiimani.

TANBIHI;

KABLA HAMJAA IPONDA QUR AN ISOMENI KWANZA, MBONA WAISLAMU HAWABWABWAJI BWABWAJI MIJINENO YA CHUKI DHIDI YA BIBLE. MNAKERA NA MNATIA KICHEFUCHEFU NA DHARAU ZENU.

Wanachoamini waislamu kuwa Bible ni maneno ya Mungu lakini tayari imeshaharibiwa na wanaadamu kwa kuwekewe mambo mengine ambayo hayakuwepo hapo kabla. Naomba kuwasilisha.
Asante kwa mawaidha mazuri
 
Japo sina maana ya kukashifu ndiyo maana kuna vitu watu vinatupa mkanganyiko sanaa ukisikiliza chimbuko la mwanadamu na maendeleo yake baada ya uumbaji katika muktadha wa hizi dini mbili mambo huwa tofauti kabisa hii ya lslamic huwa nashindwa kuielewa kabisa huwa hainipi mwanga sahihi ndiyo inafika hatua watu kuziona hizi dini zina TATIZO.
Ni kweli
Na kauli yenye nguvu ni kuwa hapakuwa na kiumbe chochte kilicho ishi haya duniani kabla ya Adamu.
 
Mkuu Zurri, hicho unachojitahidi kukitetea kipo kiimani zaidi kuliko uhalisia. Maana Maandiko matakatifu iwe biblia au Qur'an msomaji anatakiwa kuamini au asiamini. Ndio maana kina Kiranga hawaamini.

Alichokisema huyo mhadhiri kwenye kongamano ni ukweli ambao umefichwa katika historia ambayo imeficha ukweli na kuandikwa uongo. Mada inaelezea historia na mambo ambayo waafrika walipita, na uhahidi umewekwa. Huyo Dr kama alivyosema anaitwa mtata ana hoja zenye mashiko kabisa.

Tuache tabia za kufia dini.
Asante Ndugu
 
Ngoja nikupe faida za kielimu. Kwanza ujue kabisa hao ambao unawasemea kwamba huwa tunashindwa kuwapa majibu sababu hawataki tujadili mambo haya kielimu.

Katika mijadala ya kielimu au mambo ya kielimu,kuna wakati huwa kuna kuwa na kauli zaidi ya moja,na katika kauli hizo iko au ipo kauli yenye nguvu. Na kauli yenye nguvu ndio huchukuliwa na kuifanya hoja yenye nguvu.

Historia ya uumbwaji wa mbingu na ardhiiko wazi kwa yeyote mwenye kutaka kuijua.

Na kauli yenye nguvu ni kuwa hapakuwa na kiumbe chochte kilicho ishi haya duniani kabla ya Adamu.
Kwa mujibu wa biblia binadamu amekuwepo duniani kwa miska 6000
Wanasayansi kinyume chake wanadai kumekuwepo na uhai zaidi ya 50 billion years ago, ushahidi wao ni pamoja na mifupa ya wanyama wakubwa: Dinosaurs ambao waliishi mamilioni ya miaka kabla yetu
 
Hizi stori za mtu mweusi kuwa eti ndio mwenye power na ndie wa kwanza kustaarabika nashindwa kuzielewa ...! Ilikuaje sasa hao wazungu wakatuzidi ujanja mpaka kufikia hatua ya kubadilisha historia? Inakuaje mtu mwenye power anakua mtumwa kwa mtu dhaifu? Kama kweli sisi ndio tulipaswa kuwa binadamu first class inakuaje tumekua low class?
 
Mkuu Zurri, hicho unachojitahidi kukitetea kipo kiimani zaidi kuliko uhalisia. Maana Maandiko matakatifu iwe biblia au Qur'an msomaji anatakiwa kuamini au asiamini. Ndio maana kina Kiranga hawaamini.

Alichokisema huyo mhadhiri kwenye kongamano ni ukweli ambao umefichwa katika historia ambayo imeficha ukweli na kuandikwa uongo. Mada inaelezea historia na mambo ambayo waafrika walipita, na uhahidi umewekwa. Huyo Dr kama alivyosema anaitwa mtata ana hoja zenye mashiko kabisa.

Tuache tabia za kufia dini.
Mimi nataka logical consistency na sitaki uongo.

Hiyo ndiyo mitihani yangu, hata ukija na imani ambayo imepita hiyo mitihani sina cha kubisha.

Siajli kwamba hii imani ya mzungu au mwafrika, huu utamaduni wa kigeni au wa nyumbani.

1. Nataka logical consistency
2. Sitaki uongo
 
Ukitafakari na kuangalia vizuri kuna mambo mengi sana yanakinzana...

Mathalan vitabu/maandiko ya dini yanasema binadamu wa kwanza kuwepo kwenye uso wa dunia ni Adam and Eve. Hapo hapo kuna kiumbe lilith kabla ya Eve aliyekua na Adam. Mvurugano huo...

Historia inaelezea binadamu tume evolve (Evolution) kutoka kwa masokwe... mvurugano mwingine huo...

Mambo mengi sana hayapo wazi yapo untangled...

Cc: mahondaw
 
Hizi stori za mtu mweusi kuwa eti ndio mwenye power na ndie wa kwanza kustaarabika nashindwa kuzielewa ...! Ilikuaje sasa hao wazungu wakatuzidi ujanja mpaka kufikia hatua ya kubadilisha historia? Inakuaje mtu mwenye power anakua mtumwa kwa mtu dhaifu? Kama kweli sisi ndio tulipaswa kuwa binadamu first class inakuaje tumekua low class?
Jiongeze kifikra, mbona mbunifu wa soca ni muingereza, lakini mabingwa sasa ni Brazil????
 
Kumbe Waafrika tuna Mungu wetu, tofauti na huyo wa wenzetu.
Naona hata wanaobisha kuwa hakuna Mungu mada hii wameikubali.
Sasa si wangesema tu kuwa wanamtambua huyu Mungu wa Waafrika.
Kinachosumbua huyu Mungu wa waafrika kajificha sana, habari zake hazipatikani ki urahisi, mpaka uwe msomi sana ndo ujue habari zake.
Sasa sisi watu wa chini tutapataje kujua habari zake, sisi ambao kiingereza hatukijui wala kisomo cha chuo.
Mwenye kuweza kusaidia ili tumwelewe huyu Mungu wa Waafrika tafadhali atusaidie.
Yaani kupata Bible yake, ili nasisi tuisome tupate maarifa kama ya wenzetu.
Tunahitaji sana kumtambua huyu Mungu wetu Waafrika.
Msaada tafadhali.
 
Mfano Mimi huwezi kuniambia kuna majini wazuri na wabaya au malaika walitumwa kuja kuangamiza majini duniani wakakuta kajini kadogo ndiyo baadae akaja kuwa shetani kwa kushindwa kumsujudu mwanadamu. Upande wa pili shetani alikuwa malaika mtakatifu na akahasi na alifukuzwa yeye na malaika alioshawishi mbinguni. Ndiyo kuja kumkuta Adam na Hawa na kuwadanganya. Ndiyo maana nasema hizi contradictions ndiyo zinapelekea kuleta ugumu wa kuamini mwanzo wa Adam na hawa.

Unajua unalalama bila kujenga hoja ? Sasa kisicho wezekana hapo ni nini ?

Yaani ukipinga kitu au jambo fulani,ni wajibu wako ulete ukweli dhidi ya jambo hilo.

Kulalama hakusaidii kitu mzee.

Mfano ukisema "Zurri hawezi kuwa mkweli hata siku moja na hainiingii akilini kama anaweza kufanya hivyo". Ukiishia hapo bila kusema sababu kwazo zinakufanya wewe usimuamini Zurri. Utatakiwa utupe sababu kwanini sisi tusikuite wewe ni mzushi tena muongo ?

Sasa unaposema huwezi kuambiwa kwamba kuna majini mazuri na wabaya. Hii inaonyesha ya kuwa wewe unawajua sana majini,sasa ndio utuambie kwanini kwanini unakataa ya kuwa hakuna majini wazuri wala wabaya.
 
Wameficha habari zake, sinagogi, kanisa na msikiti, wakizitoa tu watazama, na sasa wana zama kwani zinatoka
Yaani Wana kanisa, sinagogi na msikiti wameficha habari za Mungu wa Kiafrika.....!
Hii sasa sio demokrasia hata kidogo.
Demokrasia ya kweli, Mungu wote wajitokeze na kunadi sera zao, sisi ndio tuchague wa kumwabudu.
Huyo Mungu wa Ki- Afrika anaonekana ni dhaifu sana kwakuwa.
Anafichwa na yeye anakubali kufichika.
Anafichwa na binadamu na ana itikia kifungo ?
Ata pata taabu saana.
 
Mungu kamwe hatajulikana na mwanadamu
Akishajulikana sio Mungu tena
Unadhania madebe shinda ndio uungu??
Ndio sababu yeye ni Mungu
the unknown
Undefined

and they don't understand us
 
Back
Top Bottom