Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Nigeria ila kabla yao makabila yaliyokuwepo yalipigana na kushambuliana wao Kwa wao mpaka kuuzana kama watumwa hivyo kusema dini zilizoletwa ni tatizo kwa mtu mweusi bado ni hoja dhaifu.
Hapa si afiki kabisa..rejea historia ya Bara Africa kabla a karne ya 15, sembuse mkutano wa Berlin Karne ya 18? Hujaijua bado historia yako ndugu
 
Hapa si afiki kabisa..rejea historia ya Bara Africa kabla a karne ya 15, sembuse mkutano wa Berlin Karne ya 18? Hujaijua bado historia yako ndugu
Watawala wa jadi wa kiafrika pia walihusika na biashara ya utumwa kwa kuuza wahalifu au mateka kumbuka hata makabila tofauti yalipigana ili kupanua tawala zao mfano soma historia ya mirambo ipo hata humu jf ila umeamua kuangalia upande mmoja wa sarafu na hapo si sawa nasisitiza tena kusema dini za kigeni ndo kikwazo kwa mtu mweusi ni hoja dhaifu.
 
naamini,naweza kuwa nakosea
ukija ushahidi unaoonyesha otherwise nitabadili imani
lakini kupasua mwezi vipande viwili sio imani
unless uniambie quran haikumaanisha mohamed alipasua mwezi "literally"
Kumbe hujui mpaka Leo kuwa unakosea au unapatia? haya ni matatizo ya ndani kweli kweli
 
Watawala wa jadi wa kiafrika pia walihusika na biashara ya utumwa kwa kuuza wahalifu au mateka kumbuka hata makabila tofauti yalipigana ili kupanua tawala zao mfano soma historia ya mirambo ipo hata humu jf ila umeamua kuangalia upande mmoja wa sarafu na hapo si sawa nasisitiza tena kusema dini za kigeni ndo kikwazo kwa mtu mweusi ni hoja dhaifu.
Hujui unacho kizungumzia, domestic wars ni vitu vya kawaida, tunazungumzia biashara ya binadamu, nguvu kazi iliyokwenda kujenga na kustaarabisha ulaya na asia
Ndugu
Unasikitisha sana
 
As the transatlantic trade developed, ships' captains and plantation owners brought Africans back to the countries of Northern Europe. They sold them to work, mainly as domestic servants. Many were children.
'Dear Mama, George Hanger has sent me a black boy eleven years old and very honest, but the Duke don't like me having a black.... if you like him instead of Michel I will send him, he will be a cheap servant and you will make a Christian of him and a good boy; if you don't like him they say Lady Rockingham wants one.'
Duchess of Devonshire to her mother, c1790
In Britain Queen Elizabeth was complaining about the number of 'blackamoores' as early as 1596. By the mid 18th century London had the largest Black population in Britain, made up of free and enslaved people, as well as many runaways. The total number may have been about 10,000
 
Back
Top Bottom