Dr Banna: Tamko la Marekani halina sifa kidiplomasia

Dr Banna: Tamko la Marekani halina sifa kidiplomasia

'Tamko la Marekani ni la kiunaharakati llisilo na sifa kidiplomasia na Marekani ni lazima itambue kwamba Tanzania ni taifa huru - dr Banna
Source gazeti la Uhuru!
Huyu nae ni miongoni mwa wanaosaka uteuzi lakini mh.rais naona kamvalia miwani meusi
 
Inawezekana akawa nayo ila si mtu wa kujikomba kiasi hicho!!Dr mzima kila siku kujilamba kwa mwanasiasa ili akupe cheo??ukimsikia unasema kwa kweli anatia aibu ma dr,wa duniani sio wa tanzania,
Na wakati wote akiwa anaongea tafuta mwavuli
 
Yaani Magu katika hizo teuzi zako za maelfu, hujamfikiria tu kumpa huyo kada wenu??

Ebu mfikirie kati ya hizi posts uDED, uDC au uRC ns nyinginezo.......

Cheki sasa anavyoifosi hiyo chance....
Weee yule kabla yaa..
Alishafanyiwa uchunguzi ni mbinafsi sana ndo maana mh kamvalia miwani
 
Huyo balozi wa marekani anastahili kujibiwa na magazeti ya udaku tu...
unafikiri kuna tamko analitoa balozi kabla halijahaririwa washington?
jipalieni makaa tu,wanahesabu tu maovu yenu...the dai is coming
 
Dr Banna, andika research uwe professor. Siasa hazikufai. Tangu umetoka Grade IIIA uwezo wako umekomea katika majungu uliyokuwa umeyazoea staff rooms za primary.
 
'Tamko la Marekani ni la kiunaharakati llisilo na sifa kidiplomasia na Marekani ni lazima itambue kwamba Tanzania ni taifa huru - dr Banna
Source gazeti la Uhuru!
Nitaifa huru ndani yamataifa huru linalo wanyima RAIA wake Uhuru na haki ya kuchagua na kuchaguliwa Dr banna anasaka teuzi kwa udi nauvumba anashindwa kuwa mkukweli kwa kusaka nafasi mbona sisi tunavumilia lakini tumebaki kusema nyeusi ni nyeusi tu
 
unafikiri kuna tamko analitoa balozi kabla halijahaririwa washington?
jipalieni makaa tu,wanahesabu tu maovu yenu...the dai is coming
Tamko lina hadhi ya kujibiwa kidaku
 
Mahali alipo,panachangia asionwe.kawa mhenga,angeenda Udom,angeonwa
 
Gazeti la uhuruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Gazeti la mzelendooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Gazeti la Habari Leoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Gazeti la daily Newsssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
 
Back
Top Bottom