Dr Banna: Tamko la Marekani halina sifa kidiplomasia

Dr Banna: Tamko la Marekani halina sifa kidiplomasia

Dr Bana hana hadhi ya ku critisize tamko la ubalozi wa Marekani Tz
 
'Tamko la Marekani ni la kiunaharakati llisilo na sifa kidiplomasia na Marekani ni lazima itambue kwamba Tanzania ni taifa huru - dr Banna
Source gazeti la Uhuru!
Taifa huru linalotegemea misaada ya Marekani?

Kwa hiyo amekubali kilichosemwa ni kweli, ila tamko halina sifa ya kidiplomasia?
 
'Tamko la Marekani ni la kiunaharakati llisilo na sifa kidiplomasia na Marekani ni lazima itambue kwamba Tanzania ni taifa huru - dr Banna
Source gazeti la Uhuru!
Bana Bwana home nampenda sana pale anapokuwa mwana diplomasia nguli kuliko MABWANA WA DUNIA NZIMA.
 
'Tamko la Marekani ni la kiunaharakati llisilo na sifa kidiplomasia na Marekani ni lazima itambue kwamba Tanzania ni taifa huru - dr Banna
Source gazeti la Uhuru!
Yaliyotendeka hayakubaliki katika ulimwengu wa sasa!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Huyo nae bado anatafutaga nafasi ya uteuzi tu mpaka leo?!
 
Jifunzeni kuheshimu na kuvumilia mitazamo ya watu tofauti. Wewe hapa unatafuta teuzi ya wapi? Viti maalum kupitia Bawacha!?

Hata Jerry Muro kamshinda! Njaa bhana.
 
The asinine absurdity and awkward audacity of this advocacy for avaricious ascendancy is asymptomatic of an acute and abhorrent affliction of acumen ailing the amygdala as well as the abdomen.
 
huyu kada ivi hajapewa hata udiwani wa kuteuliwa !!
hizo theories anazozikremua ameandikiwa na haohao marekani..
kama unazungumzia diplomasia ya marekani basi huwa haitenganishwi na democracy !
 
Huyo Dr.Banna Nina shaka na elimu yake.Kamwe siwezi kubali niruhusu anigundishie mwanangu,kama yeye mwalimu uwezo wake ndio huo,nasema hapana!!
 
Kati ya post zako tangu nimeanza kuzisoma hii ni post bora kabisa. Ni kweli hakuna Gazeti makini linalopaswa kubishana na Balozi wa Marekani, ukiona Gazeti linafanya hivyo ujue hilo ni Gazeti la udaku kama hili la "Uhuru".

Huyo mbona akili anazo ila huwa anajichetua tu hasa anapokuwa kwenye deiz zake.
 
Siwezi kumwita Dr kama huyu ndo mwalimu wa mwita Chuo sio
 
Inawezekana akawa nayo ila si mtu wa kujikomba kiasi hicho!!Dr mzima kila siku kujilamba kwa mwanasiasa ili akupe cheo??ukimsikia unasema kwa kweli anatia aibu ma dr,wa duniani sio wa tanzania,
Maisha jion imefika,aliowaacha wako mbali kimaisha kapoteza mda shule,inabidi awalambe wanasiasa ili ajaribu kubalance japo afikie wenzie.
 
Hiyo Miti illyotumika kutengenezea karatasi za vitabu alivyokariri mpaka kupata PhD bora watu wangetengenezea mkaa au karatasi zile wangesokotea bangi tu !
 
Back
Top Bottom