Dr Banna: Tamko la Marekani halina sifa kidiplomasia

Dr Banna: Tamko la Marekani halina sifa kidiplomasia

Huyo balozi wa marekani anastahili kujibiwa na magazeti ya udaku tu...
 
Yaani Magu katika hizo teuzi zako za maelfu, hujamfikiria tu kumpa huyo kada wenu??

Ebu mfikirie kati ya hizi posts uDED, uDC au uRC ns nyinginezo.......

Cheki sasa anavyoifosi hiyo chance....

Kweli hawamtendei haki kujitoa ufahamu kote huku hawamuoni, this is not fair.
 
Yaani Magu katika hizo teuzi zako za maelfu, hujamfikiria tu kumpa huyo kada wenu??

Ebu mfikirie kati ya hizi posts uDED, uDC au uRC ns nyinginezo.......

Cheki sasa anavyoifosi hiyo chance....
Jifunzeni kuheshimu na kuvumilia mitazamo ya watu tofauti. Wewe hapa unatafuta teuzi ya wapi? Viti maalum kupitia Bawacha!?
 
'Tamko la Marekani ni la kiunaharakati llisilo na sifa kidiplomasia na Marekani ni lazima itambue kwamba Tanzania ni taifa huru - dr Banna
Source gazeti la Uhuru!
Huyo Bana anajifariji tu kwani uwepo wake hautusumbui maana hata Katambi leo anapata udc wakati yeye yupo hapo anapiga zumari
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Tamko hilo limesababisha pasikalike
Naamini mropokaji alitaka ropoka ila akatulizwa

Vinginevyo angeitwa huyo Kaimu akaelezee
 
Back
Top Bottom