KWAHIYO UNATUJULISHA KUWA BANA NAYE NI MDAKU NDIO MAANA KAWAJIBU, PIA MSEMAJI WA SERIKALI NA MWENYEKITI WA NEC NAO NI WADAKUHuyo balozi wa marekani anastahili kujibiwa na magazeti ya udaku tu...
Kwa hilo nakataa kikwete hakuwa na teuzi za ajabu ajabu sana!!za jiwe zimezidi nakuhakikishia ni suala la muda tu dr.MVUA,(kwani akiongea ni lazima uwe na mwanvuli)lazima atateuliwa tu kwani kigezo wameshajua ukijipendekeza sana ndio unapata teuzi!!ni kama MUSIBA naye daaa hadi huruma!!Kama alishindwa kupata kwa kikweete asahau
Yeye kwake ndio kuna masika yaani mvua tuKwa hilo nakataa kikwete hakuwa na teuzi za ajabu ajabu sana!!za jiwe zimezidi nakuhakikishia ni suala la muda tu dr.MVUA,(kwani akiongea ni lazima uwe na mwanvuli)lazima atateuliwa tu kwani kigezo wameshajua ukijipendekeza sana ndio unapata teuzi!!ni kama MUSIBA naye daaa hadi huruma!!
Kama alishindwa kupata kwa kikweete asahau
Jamaa nasikia hata kwao huwa wana mchukia sanabanna yupo kwenye payroll ya ccm tangu enzi za kikwete, usitegemee hata siku moja azungumze vitu vya maana kuhusu siasa za tz.
Mkuu Binafsi Sioni Madhara yake Yeyote katika Jamii pana,labda Jamii ya Udsm,na wa Pale Mtaa wa kijani!Huyo Bana anajifariji tu kwani uwepo wake hautusumbui maana hata Katambi leo anapata udc wakati yeye yupo hapo anapiga zumari
Kati ya post zako tangu nimeanza kuzisoma hii ni post bora kabisa. Ni kweli hakuna Gazeti makini linalopaswa kubishana na Balozi wa Marekani, ukiona Gazeti linafanya hivyo ujue hilo ni Gazeti la udaku kama hili la "Uhuru".Huyo balozi wa marekani anastahili kujibiwa na magazeti ya udaku tu...
Wenzenu huwa wanaweka namba za simu., 0713.....[emoji176]Jifunzeni kuheshimu na kuvumilia mitazamo ya watu tofauti. Wewe hapa unatafuta teuzi ya wapi? Viti maalum kupitia Bawacha!?
[emoji3][emoji3][emoji3] na kweliTamko by - Dr. Bana
Source - Gazeti la Uhuru
Twendeni tukacheze bao tu.
Yani wanchokifanya ni kutumia bibaraka wao ili waonekane sio serikali iliyojibu hivyo. Mwisho wa siku wakibanwa kwa hayo matamshi yao watawakana kua hazikua kauli za serikali ila serikali ilikua inafanyia kazi maoni yaliyotolewa na US. Viongozi kwa unafiki ni shida.'Tamko la Marekani ni la kiunaharakati llisilo na sifa kidiplomasia na Marekani ni lazima itambue kwamba Tanzania ni taifa huru - dr Banna
Source gazeti la Uhuru!
Dr bana huyu! Eti taifa huru! Taifa la kuomba omba hata matonya limemzidi kwa kuomba! Taifa huru my foot! Hivi hili gazeti la uhuru bado lipo kweli?'Tamko la Marekani ni la kiunaharakati llisilo na sifa kidiplomasia na Marekani ni lazima itambue kwamba Tanzania ni taifa huru - dr Banna
Source gazeti la Uhuru!