Dr. Asha Rose Migiro: The next president?

hivi ilikuwaje usalama wa taifa wakatuletea rais kama huyu???mimi naona kama bado nipo kwenye ndoto,..JK rais tokea 2005???wabongo kweli mna masihara

Migiro: another JK on the move

Worse than *kwere. Wakifafanya kosa la kumpitisha Migiro, litakuwa ni bao la kisigino. Sisi ye2 macho, tusubiri wamlete huyo mwanamke tumchane chane tumtupe tumkumbatie na kumpa 5 Slaa our president.

[QUOTETumewajaribu kwa Spika hatutafanya makosa tena kwa urais, urais haujaribiwi Makinda anawaangusha.[/QUOTE]

Bro hapo nakubaliana na wewe asilimia mia moja,mama amekosa swagger ya uspika kabisa, bunge kama kindergarten bana.

Hizo nchi nilizokutajia hapo juu, Singapore, South Korea n.k, zimepiga hatua kubwa sana kimaendeleo na kwa sababu hiyo zinaweza kusema uongozi wa wanaume ndiyo ulifanikiwa kuleta maendeleo. Sasa sisi miaka 50 baada ya uhuru kwa kuongozwa na wanaume kuna kitu gani cha kuonesha na kujivunia kimaendeleo mpaka useme si wakati wa kumpa mtu kwa sababu tu ni mwanamke?

Na hiyo ya kusema katengezwa na JK, nadhani kumbukumbu zako hazipo sawasawa. Huyu alikua waziri tangu awamu ya tatu, JK alimpa mambo ya nje na hakukaa hata miaka miwili akaombwa na katibu mkuu wa UN.

anavyolegea vile, atatusaidia nini watz? kama wanataka waangukie pua, wamlete huyo ******. kwa habari ya udini, sidhani kama adha rose mingiro ni mwislam, nilikuwa najua ni mkristo...kama kuna mwenye fununu atuelezee vizuri.

c ndo maana akaitwa asha! Alibadili dini na kumfuata mumewe

Asha Rose Migiro anaweza akipata wasaidizi wa ukweli sio vigeugeu ila siasa hizi chafu hazimfai

Whats your point hapo? Kweli we hamnazo... Kura yako si umpe Slaa tu yaishe.

Kwa hili itakua nzuri kwani watawapa upinzani mwanya mkubwa wakushi kwani madhara yakutudanganya haki sawa kutudanganyia akina mama tushajifunza udhaifu wao toka kwa makinda katutakubali tena

Reactions: FJM
Wamnadi wamuuze wampige bei,sisi hatujui hilo swala ni sisi wapiga kura ndio tutaamua,hatuangalii wanopokezana kijiti,kwa nia ya kulindana,ni afadhali wangemuandaa Magufuli kidogo ingeleta picha.

hapo kwa magufuli kweli watatoa changamo kwa upinzani ila wakicheza nje ya hapo imekula kwao

Tunataka rais mwenye msimamo hasa katika kufanya maamuzi magumu..huyo mwanamke atatuletea giza kama Makinda...

Du...you don't know half this woman. Huyu Mama ni injini ya uendeshaji na menejimenti pale UN, nguzo kuu ya KM wa Umoja wa Mataifa..

Msemeni yooooote, lakini jambo moja ni dhahiri, Dr Migiro ni Kati ya viongozi makini sana ambao taifa letu limejaaliwa. Unlike many politicians we know and adore, she is not a populist leader, she is Conscientious with high level of integrity, reliability and tenacity. Kwa waliofanya naye kazi wizara ya Maendeleo ya Jamii na Foreign wanaweza ku testify hayo ninayoyasema.....wababaishaji wengi, wenye kupenda kufanya kazi kwa mazoea ( lazy fare and business as usual attitude) walimchukia sku zote kwasababu hana uvumilivu na element hizo.....kwenye administration yake mediocrity haina

true that

She may be all that and more. But what worries some of us is her closeness to Kikwete. After Kikwete we do not want a Kikwete clone in the state house.

Huyu mama anafaa sana kuwa Rais. Ana uzoefu mkubwa kuliko viongozi wengi wa sasa hivi TZ. Halafu siyo Fisadi. Hapa naona utapata kiongozi mwenye sifa.

Huyu mama anafaa sana kuwa Rais. Ana uzoefu mkubwa kuliko viongozi wengi wa sasa hivi TZ. Halafu siyo Fisadi. Hapa naona utapata kiongozi mwenye sifa.
Uzoefu gani? Hebu tueleze. Nakumbuka wakati Kikwete anagombea alipambwa sana kwenye magazeti kuwa amekomaa kisiasa. Tumeona ushahidi wa kukomaa kwake. Tusirudie makosa.

Tanzania haitaki Rais wa kuja kuwalinda mafisadi, maandalizi yanayofanywa na makundi yote pinzani ndani ya CCM ni kwa ajili hiyo.Watanzania muwe makini na hilo.WanaJF ambao ni wasomi, wanahabari na wataalamu wengine wote wenye mapenzi na nchi hii tuwaelimishe wananchi wasije wakafanya makosa tena katika uchaguzi.Tanzania haitaki kabisa Rais anayetoka kwenye mfumo fisadi kwani watampigania awalinde kwa gharama yoyote kwa kuwa watapata njia ya kupenyesha mitandao yao.Vyama vya upinzani vya kweli fanyeni maandalizi mazuri ya kumpata Rais mwenye nia njema kwa maendeleo ya nchi yetu.Msijidanganye kwa kuungana kwani wengine ni vibaraka wa mafisadi.

Hii thread imelenga kuwaondoa watu toka kwny mambo ya msingi hasa ku-deal na hawa magamba, Hey guyz be mult-dimensional thinker

Worse than *kwere. Wakifafanya kosa la kumpitisha Migiro, litakuwa ni bao la kisigino. Sisi ye2 macho, tusubiri wamlete huyo mwanamke tumchane chane tumtupe tumkumbatie na kumpa 5 Slaa our president.

Mkuu umenikumbusha!
Nakumbuka wakati wa kura za maoni za ccm jimbo la Arusha, chadema tulihakikisha Batilda anashinda kwenye kura za maoni, ili chadema tuchukue jimbo kiulaini.Tulikuwa wanachama waaminifu wa ccm kwa muda mfupi, alipotangazwa tu tukazitupa kadi zao.
maana angeshinda Mrema chadema tungeshinda kwa taabu kidogo.
Inabidi tuanze kupiga kampeni za humu ndani ccm wamsimamishe Migiro, ili kwenye uchaguzi mkuu Dr. Slaa apate urahisi wakuingia white house.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…