Labda nikuulize kaswali kadogo; Baraza la Madaktari lipo kisheria? kwa act ipi ya Bunge? Uliambiwa wapi NBAA inafundisha?
Labda nikuulize kaswali kadogo; Baraza la Madaktari lipo kisheria? kwa act ipi ya Bunge? Uliambiwa wapi NBAA inafundisha?
Mnozya unaonekana unajua accounting.Huyu Ludovick Utoah , CAG,ambaye alikuwa muda mrefu NBAA,ana cheti gani cha accountancy?ACCA au CPA?Sijawahi kuiona CV yake.
Nashukuru ingawa haukunijibu. Baraza la Madaktari kama ilivyo TLS, MCT havina nguvu wala mamlaka unayoyaeleza hapo kisheria. Tuendelee na hoja iliyo mbele yetu.Nadhani ufanye utafiti vizuri, KIFUPI NBAA wana mtaala wao na awards zao. Kuhusu baraza la madaktari kama hujui role yake nenda kaulize NA KWA KIFUPI HUWEZI KUPRACTICE BILA KUPATA LESENI YAO, NA UKIVUNJAA MIIKO WANAUWEZO KUKUNYANG'ANG'ANYA LESENI NA UKIPRACTISE BILA LESENI YAO NI KOSA LA JINAI.
ZAIDI FANYA UTAFITI MWENYEWE
Mnozya unaonekana unajua accounting.Huyu Ludovick Utoah , CAG,ambaye alikuwa muda mrefu NBAA,ana cheti gani cha accountancy?ACCA au CPA?Sijawahi kuiona CV yake.
waru bwana, me ningekushauri mwenye thread hii useme, medical assistance wote wasiitwe Dr.ila kwa ulimbukeni wako wakuweka siasa mbele umemuona ASHA KIGODA pekeyake.nonesense kabisa watanzania.
Nashukuru ingawa haukunijibu. Baraza la Madaktari kama ilivyo TLS, MCT havina nguvu wala mamlaka unayoyaeleza hapo kisheria. Tuendelee na hoja iliyo mbele yetu.
AMO na MD si sawa kitaaluma,ingawa kwenye hizo sheme of services wanaweza kulipwa sawa au kufanya kazi sawa zaidi AMO akim-complememnt MD pale asipo kuwepo kwa sababu moja au nyingine.Ili AMO awe full MD inabidi aingie tena darasani kwa miaka miwili kama sikosei.Sasa tumsaidie huyu dada yetu aingie darasani ili ajiite Dr kwa nafasi.
Nadhani confussion inkuja kwa kuwa hatuna MD wa kutosha kwa hiyo hawa AMO wana complement hiyo deficiency tu.Sasa huyu dada angejiita Dr kule Handeni ingekuwa sawa kwa vile hakuna MD lakini kujiita Dr Tanzania(MoHSW) amabapo kuna ma MD kibao si sahihi.
Kama zipo kisheria kama ilivyo NBAA sikukatalii. NBAA ilianzishwa kwa Act No 33 ya mwaka 1972. Vinginevyo hizo zipo kiushauri tu.Kifupi hizi ndio regulatory boardis za wizara ya afya. Zinatambulika kisheria na zina nguvu zote nilizozisema.
Regulatory Boardies of the Ministry
- [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Registrar of Private Hospitals[/FONT]
- [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]National Food control Commission[/FONT]
- [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Optical Council of Tanganyika[/FONT]
- [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Medical Council of Tanganyika[/FONT]
- [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Pharmacy Board[/FONT]
- [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Tanzania Nurses and Midwives Council[/FONT]
- [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Private Health Laboratories Board[/FONT]
Mama Aisha Kigoda, Wewe wasemaje? Umma utashukuru kupata ufafanuzi.
Mkuu hebu tulia kwanza hapo hapo. Je unajua maana ya advanced diploma na zinakotolewa. Vyuo ambavyo havikuwa vyuo vikuu vilikuwa na vinatoa ADVANCED DIPLOMA amabayo ni equivalent to a DEGREE. Ukitoka hapo ni Masters straight wala husomi tena hizo bachelor degr. zenu. Upo hapo?
Dokta is a person who practise as a general practitioner or a consultant physician and surgeons....a dentist is not a dokta....or a pharmacist is not a dokta either....
So what are you trying to justify here?