DPP kukata rufaa kupinga dhamana ya Lwakatare Mahakama Kuu

Najiuliza DPP ana uchungu gani kiasi cha kutaka Lwakatare asikae uraiani kama sio shinikizo la CCM.DPP ni mwana siasa ndio maana mafaili 60 ya wanaccm wala rushwa kayakalia.ana m'boa hata dr.hosea
 
Watu kama huyo Lwakatare si kuwachwa kutembea mitaani, ni hatari sana kwa Taifa.
 
Dr. Feleshi ni mwadilifu na mchaji wa Mungu sana, hana chama, anajua anachokifanya tumwache maadam hatujui kilichomfikia mezani huenda anajua anachokifanya.

Kama jina lako ndo sehemu unayotokea basi wewe hazifanyi kazi na unaiaibisha hiyo Sunve. Na ulaaniwe kabisa
 
Najiuliza DPP ana uchungu gani kiasi cha kutaka Lwakatare asikae uraiani kama sio shinikizo la CCM.DPP ni mwana siasa ndio maana mafaili 60 ya wanaccm wala rushwa kayakalia.ana m'boa hata dr.hosea

DPP anajali usalama wa raia,
 
DPP anatekeleza maagizo ya Kamati kuu ya CCM ambayo imeshindwa kusoma alama za nyakati.

TULIANZA NA MUNGU, TUNAENDELEA NA MUNGU na TUTAMALIZA NA MUNGU.
 
Back
Top Bottom