Walikuwa wanavyoongea kama vidume walivyobananishwa kwakaaza kulia lia mara tunalawitiwa acheni wapate walichokuwa wanakitafutaHapa kuna deal inachezwa . na deal yenyewe ni kuidanganya dunia kuwa tanzania kuna ugaidi. Lkn Kikwete wewe na Seif iddi, Sheni na Haji Omar kheir laanutullahi na mmelaaniwa na Allah na mtaingia motoni nyote. Angalia leo wakristo wanaonesha huruma kwa kuwa wanajua kuwa UAMSHo hawana kesi ya kujibu na nyinyi waislamu niliowataja ndo mnaotaka waislamu wenzenu waendelee kuteseka. Hakika ghadhabu za Allah zikushikieni. Nawapongeza ndugu zangu wakristo wote walioonesha uungwana na kuunga mkono kilio cha waislamu cha kutaka UAmsho waachiwe huru kwa sababu hawana kesi ya kujibu.
Subiri vyombo vya sheria vifanye kazi yale wewe hujui kinacho endeleaHapa kuna deal inachezwa . na deal yenyewe ni kuidanganya dunia kuwa tanzania kuna ugaidi. Lkn Kikwete wewe na Seif iddi, Sheni na Haji Omar kheir laanutullahi na mmelaaniwa na Allah na mtaingia motoni nyote. Angalia leo wakristo wanaonesha huruma kwa kuwa wanajua kuwa UAMSHo hawana kesi ya kujibu na nyinyi waislamu niliowataja ndo mnaotaka waislamu wenzenu waendelee kuteseka. Hakika ghadhabu za Allah zikushikieni. Nawapongeza ndugu zangu wakristo wote walioonesha uungwana na kuunga mkono kilio cha waislamu cha kutaka UAmsho waachiwe huru kwa sababu hawana kesi ya kujibu.
Tanzania kuna dini tatu kubwa Islam, Christian na CCM.kwa hiyo tuseme Muslim enchants who are muslims
Hata wakati wa kugombania uhuru, Wazungu walikuwa wanatia fitina kama hizo kuwazuua Wakrusto wasishirikiane na waislamu katika mapamvano!Tatizo waislam mnakuaga wanafiki na wangese wangese sometimes.tunaeza wasaidia kuwatetea AF badae mkatuita "makafir" so pambaneni na hali zenu
Sio biriani tu mpka gari la kutembelea kapewa,hawezi tetea waislamu kwa vyovyoteTatzo nyinyi waislamu hamna umoja yule sheikh wa dar akipewa biriani na Bashite anaishia kusifu utawala wa ccm,ingekua maaskofu wa RC mngeona hata huyo pengo angechachamaa japo ni mpambe wa jiwe
Huenda umezaliwa 2000'sSerikalini Kuna mengi ngoja nikae Kimya ila waislam msimamo hawana
Tatzo nyinyi waislamu hamna umoja yule sheikh wa dar akipewa biriani na Bashite anaishia kusifu utawala wa ccm,ingekua maaskofu wa RC mngeona hata huyo pengo angechachamaa japo ni mpambe wa jiwe
Mkuu unajuaje kama wenzako wanaenda motoni!?Hapa kuna deal inachezwa . na deal yenyewe ni kuidanganya dunia kuwa tanzania kuna ugaidi. Lkn Kikwete wewe na Seif iddi, Sheni na Haji Omar kheir laanutullahi na mmelaaniwa na Allah na mtaingia motoni nyote. Angalia leo wakristo wanaonesha huruma kwa kuwa wanajua kuwa UAMSHo hawana kesi ya kujibu na nyinyi waislamu niliowataja ndo mnaotaka waislamu wenzenu waendelee kuteseka. Hakika ghadhabu za Allah zikushikieni. Nawapongeza ndugu zangu wakristo wote walioonesha uungwana na kuunga mkono kilio cha waislamu cha kutaka UAmsho waachiwe huru kwa sababu hawana kesi ya kujibu.
Mungu ameibariki Marekani pamoja na dhuluma kibao na Guantamo wanaimiliki wao, ije kuwa hawa Masheikh ambao hata 10 hawafiki.DPP wa Watanzania Hajui Haki Maana yake nini!
Unawaweka watu kwa Mamia ndani Kwa Miaka zaidi ya Mitano eg. UAMSHO kwa sababu Eti uchunguzi Bado unaendelea..ni Kituko Kikubwa. #Munawadhulumu Wanadamu
Dhulma inaendelea Waislamu.. tumeufyata. Watanzania wamenyamaza kimya Kwasababu ya Ubinafsi. Mungu hawezi kuibariki Nchi na Mabalaa kamwe hayawezi kutuondokea tusitafute mchawi Wachawi ni sisi wenyewe.
View attachment 912490
Sasa wew ndo kilaza haswaa.haufahamu falsafa ya mashehe wa uamusho.hawakuwa na nia ya kufanya ugaidi, bali ni kuleta ukombozi wa kifikra.kama wanakosa la ugaidi kwanini mpaka leo hii wapo mahabusu??Nenda you tube embu kaangalie mambo waliyokuwa wanataka kuyaleta kisha rudi hapa andika tena huu ujinga hawa ni magaidi wanapaswa wanyongwe mara moja walitaka kuaribu amani ya nchi acha wapate dawa
Wale ni magaidi tu mimi nilikuwa nafurahi jinsi walivyokuwa wanapigwa mashine walikuwa wanajifanya vidume kumbe wacumba tu pale akuna mashehe wale ni magaidiSasa wew ndo kilaza haswaa.haufahamu falsafa ya mashehe wa uamusho.hawakuwa na nia ya kufanya ugaidi, bali ni kuleta ukombozi wa kifikra.kama wanakosa la ugaidi kwanini mpaka leo hii wapo mahabusu??
Je,unafahamu sheria ya tanzania? Mtu akikutwa na kosa la ugaidi adhabu yake ni nini??Wale ni magaidi tu mimi nilikuwa nafurahi jinsi walivyokuwa wanapigwa mashine walikuwa wanajifanya vidume kumbe wacumba tu pale akuna mashehe wale ni magaidi
Wale kosa lao siyo ugaidi tu na wanakosa la uhaini walitaka kuvunja muungano na kufanya mapinduzi adhabu yao ni kifungo cha maisha au kunyongwa paka kufa wanatakiwa wakae ndani paka wanyooke kwanzaJe,unafahamu sheria ya tanzania? Mtu akikutwa na kosa la ugaidi adhabu yake ni nini??
Sasa kama kosa lao ni uhaini na uagidi kwa misingi ipi mpaka leo hii hawajafunguliwa mashtaka dhidi yao na kuhukumiwa if proven???Wale kosa lao siyo ugaidi tu na wanakosa la uhaini walitaka kuvunja muungano na kufanya mapinduzi adhabu yao ni kifungo cha maisha au kunyongwa paka kufa wanatakiwa wakae ndani paka wanyooke kwanza
Vipi na wale watukufu makafiri?Mungu wabariki watukufu waislam
Kikwete ni muislam mwenzao.kuwafunga hao MAGAIDI yeye sio mjinga.hao ni hatari kwa afya ya Taifa.Kam huamin muulize balozi Idd au mudi ngano wa siagon!DPP wa Watanzania Hajui Haki Maana yake nini!
Unawaweka watu kwa Mamia ndani Kwa Miaka zaidi ya Mitano eg. UAMSHO kwa sababu Eti uchunguzi Bado unaendelea..ni Kituko Kikubwa. #Munawadhulumu Wanadamu
Dhulma inaendelea Waislamu.. tumeufyata. Watanzania wamenyamaza kimya Kwasababu ya Ubinafsi. Mungu hawezi kuibariki Nchi na Mabalaa kamwe hayawezi kutuondokea tusitafute mchawi Wachawi ni sisi wenyewe.
View attachment 912490
Ni sheria gani ya mtuhumiwa kukaa mahabusu zaid ya miaka nne??Vipi na wale watukufu makafiri?
Bado uchunguzi unaendelea ukikamilika watapata malipo yaoSasa kama kosa lao ni uhaini na uagidi kwa misingi ipi mpaka leo hii hawajafunguliwa mashtaka dhidi yao na kuhukumiwa if proven???
Muda wao wa kuhamswa BADODPP wa Watanzania Hajui Haki Maana yake nini!
Unawaweka watu kwa Mamia ndani Kwa Miaka zaidi ya Mitano eg. UAMSHO kwa sababu Eti uchunguzi Bado unaendelea..ni Kituko Kikubwa. #Munawadhulumu Wanadamu
Dhulma inaendelea Waislamu.. tumeufyata. Watanzania wamenyamaza kimya Kwasababu ya Ubinafsi. Mungu hawezi kuibariki Nchi na Mabalaa kamwe hayawezi kutuondokea tusitafute mchawi Wachawi ni sisi wenyewe.
View attachment 912490