Wanapo ungana kuwa wamoja mnarudi kudai kuwa waislam wanavurugu wanapenda udini.Tatzo nyinyi waislamu hamna umoja yule sheikh wa dar akipewa biriani na Bashite anaishia kusifu utawala wa ccm,ingekua maaskofu wa RC mngeona hata huyo pengo angechachamaa japo ni mpambe wa jiwe
Kwani walikamatwa kwasababu ni waislamu? Acheni udini na mihemko.Ingekuwa inamuhusu wa upande unaoupenda usingesema ivyo,, ila kumbuka hao ni watanzania wenzetu tunaomba upelelezi uende haraka wawe huru
Lugha gani kwa mfano.Ifike hatua waislam mdai haki kwa lugha itakayoeleweka.
Walikuwa wanadai Zanzibar huru.Kesi yao kubwa ni kutaka kuuvunja muungano.muungano ni mali ya uingereza.wataulinda kwa gharama yeyote.ndo maana hauwezi kusikia wazungu wakiwatetea hao masheikh.
Ila hata mimi uamsho nilikuwa siuelewi.walikuwa wanataka nini.dola ya kiislam au zanzibar huru.
Kuna jamaa alisema wakimaliza kwao watakuja kwenu. Huu ndio ukweli sasa wako na UAMSHO sijui baada ya UAMSHO itakuwajeSasa hivi unasema tatizo nyinyi ila kumbuka yaliyowapata hao unaowaita nyinyi ipo siku utayapata au yatampata anayekuhusu na utaicheza ngoma
Kwani umoja unaanzia wapi?Sisi waislam hatuna umoja
HAWAHITAJI MSAADATatizo waislam mnakuaga wanafiki na wangese wangese sometimes.tunaeza wasaidia kuwatetea AF badae mkatuita "makafir" so pambaneni na hali zenu
Ni kwasababau bakwata ni ccm.sasa zuberi mara kwa mara amekuwa akiambatana na waziri mkuu wakati huo mashehhe wa uamsho wakiendelea kusota mahabusu.waislamu wanatakiwa kushikamana ili kuokoa maisha ya mashehe maana bakwataccm ishawagawa waislamu.Sisi waislam hatuna umoja
Hawa masheikh si DPP, ni order ya Kikwete na Balozi Ali Idi,
Lakini wajue tu Allah hajawasahau..
Ingekuwa inamuhusu wa upande unaoupenda usingesema ivyo,, ila kumbuka hao ni watanzania wenzetu tunaomba upelelezi uende haraka wawe huru
Mungu wabariki watukufu waislam
Dhambi wanayoipata ccm mungu anawaona.hatujasikia kauli yoyoye ya rais magu kuhusu mashehe!! Nae wazir mkuu kimya pia na zuberi ndo kabisaa kama mpagani.nchi hii ni ubatili mtupu.kila kitu ni ubatili mtupu!Hapa kuna deal inachezwa . na deal yenyewe ni kuidanganya dunia kuwa tanzania kuna ugaidi. Lkn Kikwete wewe na Seif iddi, Sheni na Haji Omar kheir laanutullahi na mmelaaniwa na Allah na mtaingia motoni nyote. Angalia leo wakristo wanaonesha huruma kwa kuwa wanajua kuwa UAMSHo hawana kesi ya kujibu na nyinyi waislamu niliowataja ndo mnaotaka waislamu wenzenu waendelee kuteseka. Hakika ghadhabu za Allah zikushikieni. Nawapongeza ndugu zangu wakristo wote walioonesha uungwana na kuunga mkono kilio cha waislamu cha kutaka UAmsho waachiwe huru kwa sababu hawana kesi ya kujibu.
Walikuwa wakitoa civic education kushu haki ktk uendeshaji wa muungano. ndo wakakamatwa na kutiwa ndani. Kwa kuwa falsafa na itikadi ya kulinda muungano kwa gharama yoyote ndo inayoongoza, kesi imebadlishwa na kupewa kesi ya ugaidi na hapo ndugu yangu lengo ni kuwakomoa.Kesi yao kubwa ni kutaka kuuvunja muungano.muungano ni mali ya uingereza.wataulinda kwa gharama yeyote.ndo maana hauwezi kusikia wazungu wakiwatetea hao masheikh.
Ila hata mimi uamsho nilikuwa siuelewi.walikuwa wanataka nini.dola ya kiislam au zanzibar huru.
kwa hiyo tuseme Muslim enchants who are muslimsHawa masheikh si DPP, ni order ya Kikwete na Balozi Ali Idi,
Lakini wajue tu Allah hajawasahau..
Nchi yoyote isiyotenda haki kwa watu wake haiwezi pata maendeleo.DPP wa Watanzania Hajui Haki Maana yake nini!
Unawaweka watu kwa Mamia ndani Kwa Miaka zaidi ya Mitano eg. UAMSHO kwa sababu Eti uchunguzi Bado unaendelea..ni Kituko Kikubwa. #Munawadhulumu Wanadamu
Dhulma inaendelea Waislamu.. tumeufyata. Watanzania wamenyamaza kimya Kwasababu ya Ubinafsi. Mungu hawezi kuibariki Nchi na Mabalaa kamwe hayawezi kutuondokea tusitafute mchawi Wachawi ni sisi wenyewe.
View attachment 912490
Na kingine tumejawa na unafk mkubwa ambao ndio tatizo kubwa zaidi linalotusumbuaNi kwasababau bakwata ni ccm.sasa zuberi mara kwa mara amekuwa akiambatana na waziri mkuu wakati huo mashehhe wa uamsho wakiendelea kusota mahabusu.waislamu wanatakiwa kushikamana ili kuokoa maisha ya mashehe maana bakwataccm ishawagawa waislamu.
Nenda you tube embu kaangalie mambo waliyokuwa wanataka kuyaleta kisha rudi hapa andika tena huu ujinga hawa ni magaidi wanapaswa wanyongwe mara moja walitaka kuaribu amani ya nchi acha wapate dawaDPP wa Watanzania Hajui Haki Maana yake nini!
Unawaweka watu kwa Mamia ndani Kwa Miaka zaidi ya Mitano eg. UAMSHO kwa sababu Eti uchunguzi Bado unaendelea..ni Kituko Kikubwa. #Munawadhulumu Wanadamu
Dhulma inaendelea Waislamu.. tumeufyata. Watanzania wamenyamaza kimya Kwasababu ya Ubinafsi. Mungu hawezi kuibariki Nchi na Mabalaa kamwe hayawezi kutuondokea tusitafute mchawi Wachawi ni sisi wenyewe.
View attachment 912490