and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,116
- Thread starter
- #21
Karibuni sana
Ungana na mdudu na mwambulukuku uwende nao mahakamani.Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
Bibi ShikamooUngana na mdudu na mwambulukuku uwende nao mahakamani.
Unangoja nini? Unaonesha unazijuwa kweli sheria, si mchezo.