Dozi kamili ya "MVUNGE" plzzzz!!

Dozi kamili ya "MVUNGE" plzzzz!!

C.wallace

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
16
Reaction score
6
Habari zenu wanajamvi,,,nimeguswa na kufarijika na ugunduzi na uthibisho wa mmea aina ya MVUNGE kuwa dawa ya kurefusha na kunenepesha uume,huu ni wokovu kwa ulimwengu wa "free market",naomba mwana MMU yeyote anaejua jinsi ya kutumia huu mmea kwa namna yoyote ile afunguke kwa manufaa ya wanajamvi wote kwa na mimi sababu tayari hivi ninavyopost NIPO CHINI YA HUU MTI (MVUNGI) tayari kwa ajili ya kuchuma tunda lake na kuanza dozi,,,,MSAADA TAFADHARI ,natanguliza shukrani!!!
 
Chukua Topaz, chanja dushe lako kwenye kichwa mara tatu halafu chukua damu itakayotoka. Ukishamaliza, chanja tunda la Mvunge (likiwa mtini) halafu utomvu wake uchanganye na ile damu.

Lile tunda litakapokuwa linakuwa na dushe lako ndivyo litakavyozidi kukua. Ukiona dushe limefika kiwango unachokitaka unaenda kulichuma lile tunda halafu unaenda kulivunja kwenye njia panda inayotumiwa na watu wengi kuliko zote hapo maeneo unapoishi.

Huu Mvunge umekuwa ukitumika kwa shughuli hii kwa miaka mingi sana kule kijijini kwetu.

Ahsanteni!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mvunje sisi tunauita"Mlemera" unacha dushelee lako afu unachanja lile Tunda afu unapaka kwenye dushelee cha msingi unatakiwa ulikarili tunda ulilo chanjia linavyo kua na dushelele lako linakua baadae unatakiwa ukalidondoshe lile tunda
 
Hakuna kitu kama hicho, haya matunda ya sausage tree yamekuwepo miaka kibao na hakuna ushahidi wa kitaalamu kwamba ni tiba ya kuongeza libido au size....Ndiyo maana wataalam waliohojiwa na gazeti la Mwananchi la jana wamekana kujua lolote...

Kule kwetu walikuwa wanatishia kwamba tunda lake ukiligusisha kwenye dudu unakuwa na libido ya kuua hata wanawake 3 au zaidi.... Kuna hadithi kwamba dogo mmoja aligusisha wakati anamsubiri GF wake na kwa vile alichelewa, mama yake alimhurumia akawaomba dada zake 2 wamsaidie...Bado hakupoa hadi mama mzazi kaingia mwenyewe...

Kwa ufupi ni hadithi tu!!

images

Babu DC!!
 
Huko kwenu mlikuwa mnafanyaje inapotokea watu wawili wametumia tunda moja?

Kule kwetu ilishawahi kutokea mtu na baba yake walitumia tunda moja bila ya kujua.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huwezi shindana na mlango uliotkea udereva hujalishi urefu wako au ufupi wako wala unene/wembamba wako gia ni zilezile ni ufundi wako tu wa kuhimili gari lako
 
Gazeti la Mwannchi la jana limemwaga udaku kuwa hii dawa inaweza kuwa suluhu ya zile za mchina...

Taguta gazeti la jana ujisomee!!

Babu DC!!
ngoja niutafute niongeze mtindi na kalio.
 
Gazeti la Mwannchi la jana limemwaga udaku kuwa hii dawa inaweza kuwa suluhu ya zile za mchina...

Taguta gazeti la jana ujisomee!!

Babu DC!!

Shukrani babu, ngoja nitafute niongeze makalio kidogo.....
 
Hakuna kitu kama hicho, haya matunda ya sausage tree yamekuwepo miaka kibao na hakuna ushahidi wa kitaalamu kwamba ni tiba ya kuongeza libido au size....Ndiyo maana wataalam waliohojiwa na gazeti la Mwananchi la jana wamekana kujua lolote...

Kule kwetu walikuwa wanatishia kwamba tunda lake ukiligusisha kwenye dudu unakuwa na libido ya kuua hata wanawake 3 au zaidi.... Kuna hadithi kwamba dogo mmoja aligusisha wakati anamsubiri GF wake na kwa vile alichelewa, mama yake alimhurumia akawaomba dada zake 2 wamsaidie...Bado hakupoa hadi mama mzazi kaingia mwenyewe...

Kwa ufupi ni hadithi tu!!

images

Babu DC!!
haya ni maangamizi ya utumbo tutapona kweli
 
Nadhani amekusikia atatulia na kufanya shughuli nyingine.
 
Habari zenu wanajamvi,,,nimeguswa na kufarijika na ugunduzi na uthibisho wa mmea aina ya MVUNGE kuwa dawa ya kurefusha na kunenepesha uume,huu ni wokovu kwa ulimwengu wa "free market",naomba mwana MMU yeyote anaejua jinsi ya kutumia huu mmea kwa namna yoyote ile afunguke kwa manufaa ya wanajamvi wote kwa na mimi sababu tayari hivi ninavyopost NIPO CHINI YA HUU MTI (MVUNGI) tayari kwa ajili ya kuchuma tunda lake na kuanza dozi,,,,MSAADA TAFADHARI ,natanguliza shukrani!!!

Mshukuru Mungu kwa kile alichokupatia.
 
wamesema unachanjia hapo kalioni hayo maji yakiteleza yakienda kwenye kitumbua nacho kinaumuka balaa...utajibebaje?

teh teh mnamambo kweli wanawake wa humu ndani....haya utanitumia picha yako whatsapp nione mpwisa ulivyoumuka
 
Back
Top Bottom