download torrent direct bila client (muhimu kwa wanaotumia proxy)

weye umejaribu zimekuja? nijuavyo mimi zinataka java script ambazo hizo proxy hazi support ndio jora lile lile tu, tofaut mshono
 
mkuu unatakiwa ujaribu mwenyewe na uone kama inafanya kazi,mimi nimejaribu inataka ni register na kulipa
 
weye umejaribu zimekuja? nijuavyo mimi zinataka java script ambazo hizo proxy hazi support ndio jora lile lile tu, tofaut mshono

Ni just free sign up hamna kuregister na kulipia zbigz haina javascript wala zitorrent sema mda wa kusubiri ndo mkubwa leave your file wait for hours go download it.

I think its better than nothing
 
inabidi nisubiri muda wa masaa mangapi??
it works. inategemea na seeds za torrent yako pamoja na server yao inatumika vipi au ina mzigo kiasi gani kwa muda huo utumiayo weye. sometimes only few seconds. na baadhi ya wakati inachukua muda mrefu sana jaribu uone
 
ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom