download torrent direct bila client (muhimu kwa wanaotumia proxy) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

download torrent direct bila client (muhimu kwa wanaotumia proxy)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Feb 27, 2012.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,795
  Likes Received: 7,120
  Trophy Points: 280
  hey wana jf

  Najua kuna watu wanapata shida hasa wanaotumia internet kwa proxy maana hawawezi kudownload torrent. So leo nitawapa njia ya kudownload torrent directly bila kutumia client yoyote.

  Just click hizi url hapa chini

  zbigz.com

  zitorrent.com

  bitlet.org
   
 2. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  weye umejaribu zimekuja? nijuavyo mimi zinataka java script ambazo hizo proxy hazi support ndio jora lile lile tu, tofaut mshono
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu unatakiwa ujaribu mwenyewe na uone kama inafanya kazi,mimi nimejaribu inataka ni register na kulipa
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,795
  Likes Received: 7,120
  Trophy Points: 280
  Ni just free sign up hamna kuregister na kulipia zbigz haina javascript wala zitorrent sema mda wa kusubiri ndo mkubwa leave your file wait for hours go download it.

  I think its better than nothing
   
 5. c

  chukizzle Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inabidi nisubiri muda wa masaa mangapi??
   
 6. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  it works. inategemea na seeds za torrent yako pamoja na server yao inatumika vipi au ina mzigo kiasi gani kwa muda huo utumiayo weye. sometimes only few seconds. na baadhi ya wakati inachukua muda mrefu sana jaribu uone
   
 7. c

  chukizzle Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsante mkuu
   
Loading...