Dk 3?!!!!!!, kwa simu au kompyuta?Mi nishawah download kwakutia hallotel episode moja ya mb 300 kwa dakika tatu tu sikuamini na ilikuwa mchana tu wakati tgo inaweza ikawa hata masaa manne ku download episode moja mchana salute hallotel
kwa speed aliopost utakuja episode ya mb300 unadownload kwa dakika 1 na sekunde kadhaa.Dk 3?!!!!!!, kwa simu au kompyuta?
Mkuu hawa watu wana cable nyingi....hata kuwe na jam kiasi gan spid yao itakua juu tuu....Wamewekeza vizuri aseehivi hadi najiuliza huko wanapotekenya halotel spidi inakua kubwa wengne hawawez au ndo wameshikwa pabaya
Kwa hyohyo halotel au tgo 4G?!....hlf mbn hamnijibu ni kwa sim au PC?kwa speed aliopost utakuja episode ya mb300 unadownload kwa dakika 1 na sekunde kadhaa.
kwa eneo langu almost mitandao yote napata zaidi ya 8mbps so kudownload episode kwa dakika 3 ni kawaida tu.
hakuna utofauti speed ni ya mtandao si ya simu wala pc, na hio screenshot ni ya tigo 4gKwa hyohyo halotel au tgo 4G?!....hlf mbn hamnijibu ni kwa sim au PC?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ugoro ndio nini?
sijui hii inakuwaje am facing the sane situation[emoji15] [emoji15]Chief ukizungumzia airtel kwangu hatasiku moja sitokaa nikuelewe labda nihame nilipo maana hapa nilipo airtel inaandika H+ lkn hata kusogea 1kb haisogei.
Kwangu Halotel ni mkombozi kupata 3g eneo ambalo sikufikiria kama ingekuja hii huduma kwa mitandao kongwe.
Kwa eneo lako labda..anyway embu weka speedtest ya airtelBonaddi sijaona speed ya ziada kutoka halotel ..hata line nishatupa Airtel s th best especially kama ni mtumiaji wa Bundle saana
max speed edge ni 35KBps hata 240p huwezi kustreamMimi Nina simu INA EDGE lakini hatari yani hadi raha
watu kwa kujipa moyo hawajambo huku nilipo 4g ya tigo downloading speed inagonga 3mbps lakini halotel wanacheza 300 mpaka 500 kbps sasa hapo sidhani hata waweza fananisha na hata Dar pia ilikuwa hivyohivyo kwangu.Nini 4g hata mngekuwa 8g++ kwa halotel ni habari nyingine na mtandao wenu wa kariakoo huko
Tigo 4g 300mb unatumia about 2 minutes and i am not even joking.Dk 3?!!!!!!, kwa simu au kompyuta?
Je movie ya km 1GB au 2Gb ni km dk ngp?Tigo 4g 300mb unatumia about 2 minutes and i am not even joking.
Tuseme on average speed ya tigo 4g ni 3MBps ikikaa hivyo bila tatizo lolote (siunawajua tigo wanavyozingua) yaweza chukua dakika 5..Je movie ya km 1GB au 2Gb ni km dk ngp?
*148*66#Naomba kujua jinsi ya kupata menu ya halotel bundles,pamoja na University bundle na jinsi ya kujiunga na kifurush cha usiku