Na mimi nimekwambia sasa hivi tanzania hiyo Tech ya 2g na 3g inapatikana vijijini mjini ni 3G+ na sasa kuna LTE ya kizushi! I na unaposikia Tech ya 3g+ ujue unaelekea kwenye 4g! Mfano halotel wameanza na Tech ya 3g hamna 2g wewe umeelewje afu tuendele! Am hujui maana ya 2g ama 3g ama 4g?
bado na comment hii pia hujajibu swali ulitumia nini kupata hio speed?Talia tatizo wewe hujaipata na njia nzuri ya kusaidia kunielewa ukishindwa hapo jiongezze ukifika umeshindwa kujiongezza subir tu utaona! Sasa kuna zile applications za kucopy file zinaonyesha speed ya kucopy utaona speed yake! Then utajua nn naongelea kaa wewe na kifaa chako!
Mimi nimeshakuelewa kitambo mkuu... Nadhani calculation ndiyo tatizo.Watu wambishi nimesha waelezeni kuwa kuna tofauti kati ya mbps na MBps page #25. unayopata 13 mbps ni sawa na 1.6MBps.
mkuu hii ni post ya mwisho kwako kama utaelewa/huelewi basi.Tofauti ya calculation ni uwezo wa mtandao unaotumia na idadi ya users na network waves distance pamoja na uwezo wa kifaa chako! Ukijipanga hapo utapata 100MPps kumbuka hiyo ni speed at some Moments within 3g+
Mkuu, kwangu ndio kono kono [emoji222] [emoji222] [emoji222] kabisa. Nna 2gb ila wapi! Hakuna jipya aisee.... Bado tunaendelea kupigwa.Nilikuwa nanunua bando ya siku speed yao iko vizuri sana sasa nimejaribu kukata mzizi wa fitina nimenunua cha wiki mwendo wa kobe nkaona isiwe kesi nimenunua cha mwezi mwendo wa kobe kama kawaida hii mitandao wajeuri sana bado tunapigwa cha wiki kufungua picha nasubir dakika nne na hapo nina gb moja!!!! Hatari sana.
Hata za chuo ni majanga tu, mm natumia.Kweli mkuu bora kujaribu apa nawaza nikafuate line zao za chuo labda kunaweza kuwa kupo vizir
Mkuu, kwangu ndio kono kono [emoji222] [emoji222] [emoji222] kabisa. Nna 2gb ila wapi! Hakuna jipya aisee.... Bado tunaendelea kupigwa.
Kitambulisho cha chuo unasajili kwa wakala wa halotel au unaenda kusajilia wapi msaada tafadhaliLine yao ya chuo kuipata mpaka kitambulisho cha chuo halafu after that unajiunga popote
Kitambulisho cha chuo unasajili kwa wakala wa halotel au unaenda kusajilia wapi msaada tafadhali