Ngja nijaribu tena, hko kote nilifika tatzo sioni pa kudownload..mkuu link mbona imeshawekwa wewe bonyeza hapo palipoandikwa link vitabu vyote vitakuja nawe utachagua unachopenda na kuanza kukipakua
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji109]Hivi hapa:
Mkuu,Nina vitabu vyote vya James Hadley Chase ambavyo ni vingi sana, 90 kama sikosei. Niambie unavyohitaji nami nitakuwekea bila shida.
Nimeipenda sana hiiwaswahili tuna shida sanaaa... mtu katuma kwa moyo sasa unamuambia "weka vingine" kama vile ulimuwekea au unamlipia bundle.unajisikiaje ukatumia lugha nadhifu kama " asante kwa kitabu kizuri, tafadhali kama unaweza naomba vingine".umeona hiyo ndugu yangu?hapo mtu anapata msukumo kukusaidia.
asante
Sawa mkuu Mwenyezi Mungu akikujaalia kupata vitabu vyovyote vya hadithi vya watunzi wetu wa zamani usisite kutuwekea link mkuuHivyo vitabu sina, bahati mbaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aksante kwa kitabu kizuri, tafadhali kama unaweza naomba vingine.
Please kitabu kimoja sijui tittle yake lakini kina quotes flani hivi"knock, knock on the door whose she"Nina vitabu vyote vya James Hadley Chase ambavyo ni vingi sana, 90 kama sikosei. Niambie unavyohitaji nami nitakuwekea bila shida.