Download kitabu cha James Hadley Chase hapa

Ooh,nilikuwa na uharaka fulani,haya ,''tafadhari sana niko chini ya miguu yako,naomba kama unajua namna ya kuinstall adobe reader unisaidie,ubarikiwe sana'.

Unatumia simu gani na ina mfumo gani:

Kama ni yenye OS ya android basi tembelea Google Play Store, kama ni Nokia basi OVI Store inakuhusu bila shaka, kama ni windows mobile wao wana market yao, BB wao wana store yao pia ambayo kwa simu utaona app yake etc...
 
OK.thanx,will try.
 
?
Hi . nashukuru kwa moyo wako wa kusaidia. Unaweza kunitumia vifuatavyo:?
1 Cade
2 Make the corpse walk
3 Do me a favor, Drop dead
4 hit and run
Hivi hapa:
 
Attachments

Jamani naomba mnielekeze mi nadownload lkn cjui vinakaa sehem gani?
 
Hivi hapa:

Mkuu Dingswayo kazi hii unayoifanya hapa JF ni ya kutukuka kabisa. Unatukumbusha mbali sana na kutupa burudani nzuri. Ubarikiwe mkuu.
Binafsi nimejikuta naweza kusave kwenye tablet yangu hivi unavyoviweka katika mfumo wa PDF vile 90 vya epub nimeshindwa. Jee waweza kutuwekea vingine vya Chase katika mfumo wa PDF?
 
Asante sana kwa shukrani. Nitajaribu kufanya hivyo.
 
Mkuu Dingswayo kazi hii unayoifanya hapa JF ni ya kutukuka kabisa. Unatukumbusha mbali sana na kutupa burudani nzuri. Ubarikiwe mkuu.
Binafsi nimejikuta naweza kusave kwenye tablet yangu hivi unavyoviweka katika mfumo wa PDF vile 90 vya epub nimeshindwa. Jee waweza kutuwekea vingine vya Chase katika mfumo wa PDF?
Vitabu vya James Hadley Chase:

Unaweza kwenda kwenye hii link na kuweza kudownload hivi vitabu.
 
Shukran kwako ndugu hivi vitu unaweza kuwa na pesa na usivipate na kutumia muda wako ghali kuweza kutupatia uhondo huu nachoweza kusema neno hili UDUMU.
Ni kweli kabisa. Nimejaribu kufikiri na kuona kama kila mtu hapa JF angekuwa na moyo kama wa huyu jamaa katika nyanja zote basi forum hii ingekuwa zaidi ya University kwani kila mwenye kitu ajuacho anatupia tuu humu
 
Kweli kabisa ndugu yangu kwa wapenzi wa kusoma tunakuwa tumefika nyumbani basi katupa bure hatuna budi kumshukuru kwa kutumia muda na pesa zake waungwana wengine wapo nao wanajitahidi kutufanya tuone dunia ni kijiji kweli MDUMU wote mnaoleta mambo mazuri jamvini katika nyanja zote.
 
Back
Top Bottom