Download free JF Application for iPhone & iPad | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Download free JF Application for iPhone & iPad

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Brakelyn, Jun 13, 2012.

 1. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Kwa wale wanaotumia devices za Apple iwe iPhone au iPad tafadhali tembelea link ifutatayo ( App Store - JamiiForums )
  ili kuweza kudownload free JF Application urahisishe mawasiliano yako wewe na JamiiForums. Kumbuka kuweka user reviews na Ratings,,

  Supported Languages include --> English, Arabic, Chinese, Dutch, French, German, Greek, Italian, Polish, Portuguese, Slovak, Spanish, Turkish.

  Credits to Developer.. Maxence Melo © JamiiForums ...
   
 2. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nice work JamiiForums team,,, :clap2::clap2:
   
 3. ofisa

  ofisa JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  mbona sioni linki na nashangaa mutu inapongeza au mnaandaliwa watu wa kupongeza
   
 4. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wacha kutufanya sisi matahira we *****
   
 5. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  kuwa mstarabu weweee' kama umeshindwa si unasema usaidiwe,,
  mkuu hiyo mbona ni 'Direct Link',,,au unatumia njia gani kudownload labda?

  kama unataka kudownload kupitia computer yako ni lazima uwe umeInstal iTunes kwenye computer yako. Then click hiyo link alafu bofya ilipoandikwa 'View in iTunes', sign in apple account yako then download, hakuna kitu kigumu hapo..kama umefungua hii thread kupitia iPhone au iPad yako basi ukigusa tu hiyo direct link inakupeleka moja kwa moja kwenye app store the unagusa tu 'Instal'!!

  [​IMG]


  [​IMG]

  hapo kwangu ipo 'Installed' kwasababu nishaweka,,
   
 6. Zeddicus Zu'l Zorander

  Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Mkuu mbona nimeifungua kama mara tano ikawa inapiga mzigo fresh, lakin baada ya hapo kila nikiifungua inakataa????iphone 3GS...
   
 7. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  inawezekana umefungua applications nyingi kwenye background, "double press" menu button mara mbili alafu end all running applications (nadhani unajua), zinakula RAM ya simu sometimes applications zingine zinashindwa kufunguka..
   
 8. r

  rmb JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Mkuu nimejaribu mara kadhaa kuinstall hii application lakini inanigomea, au ni lazima niijailbreak simu yangu kwanza ndo itakubali?
   
 9. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  rmb simu haina tatizo lolote? hii Application ya kawaida na unaDownload kawaida kama applications zingine kwenye store..ukishindwa kwa link just search it app store normally
   
 10. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  It seem not working for me. Napata hii message
  Can not connect to the forum.this forum is either restricting access to jamiiforums or the installed jamiiforums plugging is not working
   
 11. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Obi ni vizuri pia uandike user reviews na ratings baada ya kuDownload ili developer aiboreshe zaidi..otherwise kwa upande wangu naona inapiga mzigo vizuri tu bila tatizo,,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Zeddicus Zu'l Zorander

  Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Hata mimi napata msg ya namna hii.
   
 13. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  basi JF App ya IOS haipo stable kwa baadhi ya iphones, lakini kwa iPhone 4 na 4S naona inafanya kazi vizuri..tusubiri developer mhusika afanyie marekebisho
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nimeijaribu ya Ipad, nayo haina mshiko ni bora mara elfu kutumia Safari browser ya Ipad.
   
 15. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  ila si umefanikiwa kuInstal na kutumia? cha msingi hapo ni kutoa maoni yako kwenye app ili developer afanyie marekebisho na kuiboresha..
   
 16. r

  rmb JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu simu yangu nadhani haina shida yoyote, ila nina shaka na hii App yenyewe, maana natumia 4S lakini still inanigomea. Nimejaribu mara kadhaa lakini unagoma.
  Tujuzane kama kuna ujanja mwingine
   
 17. U

  Uprising Member

  #17
  Jun 17, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 51
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Obi hiyo shida ya cannot connect na mimi niliipata kwenye simu 4, nikadelete hiyo app na kuinstall upya ikawa poa. Hata hapa najibia kwenye hiyo app. Pengine ujaribu hivyo
   
 18. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu Uprising I did the same way you did but I still got the same message.
  Pengine kuna tatizo kwenye hiyo app
  Developer ajaribu kupangilia uwezekano ea kuiboresha
   
 19. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [MENTION]Brakelyn[/MENTION] Natumia Iphone 4S na bado haifanyi kazi kwangu. Nimeidelete mara nyingi sana bila mafanikio.
  Pamoja na kazi nzuri ilifanywa na developer and I appreciate his great work, bado kuna bugs. Nafikiri aifanyie kazi tena iwe stable.
   
 20. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  rmb iphone yako ni Jailbroken au sio jailbroken? alafu maranyingi ukiJailbreak simu Applications sometimes zinapoteza stability zinaweza kucrash at startup,,ila inapiga mzigo kwenye simu yangu vizuri tu bila matatizo sijaona shida yoyote kabisa, labda tusubiri maoni zaidi ktk kwa wadau wengine wa ios...
   
Loading...