Download free JF Application for iPhone & iPad

rmb iphone yako ni Jailbroken au sio jailbroken? alafu maranyingi ukiJailbreak simu Applications sometimes zinapoteza stability zinaweza kucrash at startup,,ila inapiga mzigo kwenye simu yangu vizuri tu bila matatizo sijaona shida yoyote kabisa, labda tusubiri maoni zaidi ktk kwa wadau wengine wa ios...


Mkuu sijaijailbreak, ila nafurahi kukujuza kwamba nimejaribu kuinstall asubuhi hii na imekubali! Thanks
 
At last imekubali. But still not stable. All credit to the Developer Mello kazi nzuri.
Naomba ajaribu kufix some bugs iwe stable zaidi. Otherwise good job keep it up.
 
Nimeinstall hiyo app kwenye iphone 3Gs na inafanya kazi vizuri. Nice work Jamiiforums.
 
Back
Top Bottom