Dowans ni ya nani

jomabeya

New Member
Oct 28, 2011
1
0
Wapendwa nawasalaam.

Nikiwa mwanajamii, ningependa kujua nani atakayelipwa mabilioni ya Dowans

Alafu mjamaa anasema hawajui, na wala hana haja ya kuwajua, hawajawahi kumfuata!!

sasa mimi naulisa, kuna usalama wa taifa, kwa nini asiwape amri ya kuwajua hawa DOWANS wanaokula inji yetu ni akina nani.

wa mwibala.
 
Wewe mbona umeingia na sredi za zamani? Tulia kidogo jamvini utajua tu. Kwa kifupi hiyo kitu ni ya "wahuni" kama unabisha mwulize mzee six! Vinginevyo acha kutusumbua aisee.

jomabeya Today 16:34
#1 Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 28th October 2011
Posts : 1
Rep Power : 0

[h=2]
icon1.png
Dowans ni ya nani[/h]
 
Ukiona jambo fulani linalohusu idara za serikali, na linagonganisha na kuumiza vichwa, ujue jambo kama hilo limo ndani ya intelijensia idara nyeti ya serikali, na hawa watu hawashtakiwi na kukalishwa kiti kuulizwa kulikoni, hapo ndipo hoja ya msingi inavyotakiwa kuangaliwa.

Cha maana ni kukataa kata kata kutolipa pesa hizo, ujue hawa wa intelijensia wanafanya shughuli zao kimataifa, na pakuwashika pagumu kutokana na mambo yao ya siri. Hawa wengine wanaotajwa ni njia za kufanikisha mipango yao. Makampuni mengi yameibuka kama uyoga utashangaa hata shughuli zao kubwa za kiuchumi hazieleweki, jua ni shughuli maalum inaitwa.
 
Waulizwe Umoja wa wanawake watakupa data zote nani ni mwenye hii kitu. Hakuna kitu serikalini kikafanyika bila wao kujua kinachoendelea. Ukiwadodosa watakuambia
 
JK-dowans lazima walipwe ingawa hatuwajui
Kombani-dowans wanastahili kulipwa
Werema-Ni vigumu kukwepa kuilipa dowans
Ngeleja-aliwataja wamiliki wa dowans
 
Dowans ni second version ya Richmond. Richmod ilikuwa ni dili ya kikwete na mzungu mmoj Gire. Dowans ilidizainiwa na Rostam Azizi ku cover up issue ya Richmond. Ukiutazama kiupana mchanganuo mzima, utagundua dili zima la Richmond/Dowans/Symbian ni la Jakaya Kikwete. Na hii ya kumleta mama Clinton nchini ni katika jitihada za JK kuzima huo msala wake.
Watu wa ndani wanajua pia kuwa Lowassa hahusiki moja kwa moja na issue ya Richmond/Dowans. Yeye alikuwa anatekeleza dili za bosi wake.
 
Second bangusilo you mean? Lakini repercations were massive.
 
Wapendwa nawasalaam.

Nikiwa mwanajamii, ningependa kujua nani atakayelipwa mabilioni ya Dowans

Alafu mjamaa anasema hawajui, na wala hana haja ya kuwajua, hawajawahi kumfuata!!

sasa mimi naulisa, kuna usalama wa taifa, kwa nini asiwape amri ya kuwajua hawa DOWANS wanaokula inji yetu ni akina nani.

wa mwibala.

Mbona unaturudisha nyuma? Au ilipojadiliwa hoja hii mwenzetu ulikuwa hujamalizia kifungo chako?
 
BASH!!! hujui mwenye dowans dogo vipi mbona alikuja si muarab wa oman. Hebu msiwatie kinyaa wengine eti ni ... sijui nani dowan in mwenyewe bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom