Mbona moyo unanienda mbio jama?
Watanzania,
MSIOGOPE KUWALIPA DOWANS BILION 94,HAO DOWANS WAMESHALIPWA ZAIDI YA BILIONI 172 MPAKA SASA KWA AJILI YA MITAMBO WALIYOINUNUA KWA SHILINGI BILIONI 60,NCHI HII INA HELA NYINGI SANA KAZI YETU TUNATAKIWA KUWADHIBITI WALE WANAOTUMIA FEDHA ZETU VIBAYA.
baada ya kuupitia vizuri mkataba wa tanesco na richmond wa june 2006,na baadae nikaupitia mkataba wa dowans na tanesco wa december 2006,pamoja na madudu yote ambayo richmond waliyafanya dhidi ya tanesco bado kulikuwa na concert ya waziri na serikali hata kama tunasema richmond walihamisha mkataba kwenda dowans bila kuwaeleza tanesco si kweli kwani waziri karamagi alikubaliana na richmond.
jambo la pili na muhimu ni kwamba nimepitia hukumu ya icc kwa mapana yaek na kipengle kimoja ambacho waamuzi wa icc wanakishikia bango ni kuwa dowans waliperfom na tanesco walipokea umeme wa dowans
hili ni la muhimu na watanzania wanatakiwa kujua hata kama mkataba wa tanesco na dowans ulikuwa sio halali bado unawishwa kuwa halali kwa sababu ya tanesco kupokea umeme wa dowans kama tanesco wasinglipokea umeme wa dowans basi mkataba ungekuwa batili ,lakini as long as the dowans perfomed and tanesco received those whether one or hundred megawats ,maana yake ni kuwa kulikuwa na mkataba halali na tanesco kuuvunja ilikuwa ni batili
cha kufanya
kwa ushauri wangu,serikali iwalipe dowans hizo billion lakini sasa irudi kwa kina karamagi na wengine wote waliohusika kuirubuni tanesco wakamatwe,wafilisiwe na wawekwe ndani huu uwe mfano.
angalizo
kama tanesco na serikali yetu ikikataa kuwalipa dowans,balozi zetu nje ya nchi zitakuwa atached na mwisho wa siku tutawalipa kwa riba kubwa sana,
watanzania,
msiogope kuwalipa dowans bilion 94,hao dowans wameshalipwa zaidi ya bilioni 172 mpaka sasa kwa ajili ya mitambo waliyoinunua kwa shilingi bilioni 60,nchi hii ina hela nyingi sana kazi yetu tunatakiwa kuwadhibiti wale wanaotumia fedha zetu vibaya.
Son of Soil, kuwalipa Dowans, lazima tuwalipe, ila sababu halisi za kuwalipa, sio hizi wewe ulizoziorodhesha, bali tutawalipa Dowans smply because ni wakubwa wanajilipa.
Tusipowalipa Dowans, hakuna mali ya Tanzania itakayoshikiliwa kama attachment, kwa sababu mdaiwa ni Tanesco as an entitiy na sio serikali, afterall, serikali yatu haina movable assets mahali popote duniani, hatuna meli, wala ndege ya kusema wataishikilia. Nyumba zote za serikali tunazozimiliki nje ya Tanzania, ni ofisi za Ubalozi, zina kinga ya Rome/Geneve Convention on Diplomatic immuninity, kuwa kila aridhi ya ubalozi, ni sehemu ya nchi husika, yaani ofisi yetu London, ni aridhi ya Tanzania, ardhi ya nchi, haishikiki as attachment.
Pole sana ila tukichelewa hawa ICC wana haki ya kuatach mali zetu kokote ulimwenguni na hii itakuwa mbaya zaidi kwani;
Kwanza tutalipa bila kupenda
Pili tutalipa na riba kubwa
Tatu-tutalipa na gharama zote za usumbufu na utaratibu
Nne-Tutakuwa tumechafua jina la nchi yetu kote ulimwenguni
Mwisho-Tutaweka rekodi mbaya ICC na hatutashinda kesi yoyote pale kwani THIS WILL BE TAKEN AS THE COURT PRECEDENT
SERIKALI WALIPENI DOWANS HARAKA ILA CHUKUENI HATUA ZA KINIDHAMU JUU YA WOTE WALIOIPOTOSHA TANESCO