Dowans imejivua gamba, TANESCO wanatufanya sie watoto

Nyie si tunawajuwa, Kikwete anawakera kwa Dini yake tu, hakuna kingine.

Imekula kwake? unanchekesha! Kikwete ndio Rais, Makamu wake ni Dr. Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar ni Dr. Mohamed Shein na makamu zake ni Seif Double.

Mawaziri Muhimu ni Hussein Ali Hassan Mwinyi, Mustafa Mkulo, Jumanne Abdallah Maghembe, Hawa Abdul Rahman Ghasia (FFU), Omar Nundu, Haji Hussein Mpanda, Shukuru Jumanne Kawambwa. Upo hapo ulipo??

Kwa wingi wao huu ndio maana inahitajika SEMINA ELEKEZI....ila umewasahau SAID MWEMA, ABDULRAHMAN SHIMBO.RAMADHAN DAU
 
Back
Top Bottom