Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Then hapo ndipo kazi ya intelligentia ingeingia kuhakikisha wanatrace down whatever elements of sabotage that may be hidden...by the way can't we hold them liable for uzembe tutakapokuwa na hiyo black-out? wasitufanye mabwege tena hawa wapuuzi
Dk. Rashid ametoa kauli ya KITISHO katika hitimisho lake kwa kusema, "Tanesco inatangaza rasmi kujitoa kwenye nia yake ya kununua mitambo hii. Ni imani yetu kwamba tumeishajieleza na kujenga hoja za kutosha, na wananchi wa Tanzania, watafanya maamuzi yao hapo ambapo nchi itakapokuwa imegubikwa na kiza, mahospitali hayatoi huduma, viwanda havizalishi, wanafunzi vyuoni wanashindwa kusoma kwa sababu tulishindwa kufanya maamuzi".R
Mbona anatutishia? Yaani hakuna njia mbadala ya kuepusha umeme kukatika mbali na mitambo ya Dowans? Can't these guys think out of the box?Dk. Rashid ametoa kauli ya KITISHO katika hitimisho lake kwa kusema, "Tanesco inatangaza rasmi kujitoa kwenye nia yake ya kununua mitambo hii. Ni imani yetu kwamba tumeishajieleza na kujenga hoja za kutosha, na wananchi wa Tanzania, watafanya maamuzi yao hapo ambapo nchi itakapokuwa imegubikwa na kiza, mahospitali hayatoi huduma, viwanda havizalishi, wanafunzi vyuoni wanashindwa kusoma kwa sababu tulishindwa kufanya maamuzi".
tuelewa
R
Kote alikotoka huyu bwana ni FAILURE, mlitegemea mapya TANESCO?
Wapiga kura bwana mnanichekesha sana!
Kote alikotoka huyu bwana ni FAILURE, mlitegemea mapya TANESCO?
Wapiga kura bwana mnanichekesha sana!
Then hapo ndipo kazi ya intelligentia ingeingia kuhakikisha wanatrace down whatever elements of sabotage that may be hidden...by the way can't we hold them liable for uzembe tutakapokuwa na hiyo black-out? wasitufanye mabwege tena hawa wapuuzi
Pamoja na matatizo yanayotokana na hii mitambo ya Dowans kinachonitia moyo na kunipa furaha ni kwamba Watanzania sasa hivi tumeamua kufuatilia kwa karibu mambo mbali mbali yanayojiri ndani ya nchi yetu na kutoa sauti zetu kwa nguvu na kwa umoja bila kujali itikadi zetu. Hili limesaidia katika kuzuia ununuzi wa mitambo michakavu ya kifisadi na kutuonyesha kwamba kama tukishirikiana tunaweza kabisa kubadilisha maamuzi yoyote ndani ya serikali ambayo hatukubaliani nayo kwa kuwa hayana maslahi yoyote kwa nchi yetu.
Ahsanteni sana Watanzania wenzangu na kamwe tusichoje kushiriki katika majadiliano mbali mbali kuhusiana na nchi yetu hasa katika kipindi hiki mabapo uongozi tulionao unayumba vibaya sana.
Alutta Continua!
Siasa zinaipeleka nchi bapaya!!!!
Niko upande wa TANESCO 110% shabikieni siasa yakini nchi iko kwenye hati hati... siku yoyote kukuwa na mtambo wa MW hata 80% unatatizo tunaenda kwenye mgao...
aaahaaaa.. na wewe pia umo kwenye wanaochambua mambo kwa kina.Kwa maana nyingine unakubaliana na fisadi Idrisa Rashid kwamba kwa kuwa Watanzania tumekataa kununuliwa mitambo michakavu ya kifisadi toka Dowans basi nchi ikiingia gizani TANESCO wasiulamiwe!!!!! Hebu wakati mwingine uwe unachambua mambo kwa kina badala ya kuunga mkono tu hata maneno yasiyoingia akilini!!!!
Kwa uelewa wangu, njia kuu za kuzalisha umeme au vyanzo vikuu vya nishati hii ni kama ifuatavyo nikianza na njia yenye LOWEST OPERATIONAL COST
1/UMEME WA NGUVU ZA NYUKLIA-Unatumia madini ya URANIUM ambayo tunayo na BUSH alikuja kuyamiliki!
2/ UMEME UTOKANAO NA NGUVU ZA MAJI-tayari tunao na kuna vyanzo vingi tu vinahitaji kuendelezwa/kuanzishwa kama vile mito ya Rufiji, Kagera, Mara, mawimbi ya baharini, kujaa na kupwa kwa maji ya baharini, mikondo (current) ya bahari n.k.
3/ UMEME UTOKANAO NA MAKAA YA MAWE - Tayari tunautumia inahitajika uendelezaji/uwekezaji zaidi ili tuyafaidi haya makaa yaliyopo Kiwira, Mchuchuma nk.
4/ UMEME UTOKANAO NA GESI ASILIA AU UCHAFU/KINYESI CHA WANYAMA - unatumika tatizo gesi ni yetu, lakini kuna ma-midlemans weengi kabla ya kuzalisha umeme wa gesi hivyo kuongeza gharama za uzalishaji/uendeshaji. Hebu fikiria gesi ya wa TZ, anaichimba SONGAS, inasafirishwa sijui na bomba za nani, ananunuwa DOWANS kuzalisha umeme na kumuuzia TANESCO ambaye anausafirisha n.k. hadi kwa walala hoi!! Kwanini asichimbe gesi TANESCO?
5/ UMEME WA MAFUTA YA PETROLI/DIESEL NK - Upo tangu enzi za Mwalimu.
6/ UMEME WA NGUVU ZA UPEPO - Unavuma kila mahala
7/ UMEME WA NGUVU ZA JUA - Unatumika nchi nzima hadi kwenye taa za kuongozea magari toka kwa wachina!!
Iweje sasa huyo Daktari wa falsafa ashindwe kupata ufumbuzi wa muda mrefu anafikiria GESI pekee?