Double headed python

Please explain. Was this as a result of a defect? Kumaanisha there are no double headed snakes?

Wanasema Mungu kaumba, mimi nasema ni this can be explained by science. Kwanini tunakimbilia Mungu wakati kuna majibu ya sayansi?
 
kilema cha namna hiyo kwa viumbe hawa(nyoka) ni kawaida sana. Ingawa huyu sio python. Huyo ni nyoka wa kawaida sana maana Python ni Chatu na huwa mrefu sana.
 
Wanasema Mungu kaumba, mimi nasema ni this can be explained by science. Kwanini tunakimbilia Mungu wakati kuna majibu ya sayansi?

Are you about to turn this discussion into the existence of God or His ability?

Because if so, I am out.
 
Wanasema Mungu kaumba, mimi nasema ni this can be explained by science. Kwanini tunakimbilia Mungu wakati kuna majibu ya sayansi?

Naam tutakimbilia kwa mungu kwani yeye ndie muumba wa yote duniani. Na huyo science pia ameumbwa na huyo mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…