Ewura CCC walitangaza nafasi za wajumbe wa bodi mwishoni mwa mwaka jana.. Watu wenye uzoefu wa tasnia ya nishati waliomba na hatimae waliitwa kwenye usaili. Sharia ya EWURA imeweka wazi kuwa baada ya usaili waziri wa nishati anatakiwa kuchagua watu 7 akiwemo mwenyekiti wa bodi.
Tunaomba mamlaka husika kuliangalia hili kwa kuweka uwiano sawa. Waliofanya usaili wanalalamika huku wale waliochaguliwa wakijisifu kuwa wanajuana na kigogo huyo
Tunaomba mamlaka husika kuliangalia hili kwa kuweka uwiano sawa. Waliofanya usaili wanalalamika huku wale waliochaguliwa wakijisifu kuwa wanajuana na kigogo huyo