I asked a girl out on a date, and she asks me for a second date?? ... Nah, thats a turn off, kinda.Sikiliza Karucee
Vipi kama jamaa amevutiwa sana kwa hivo akawa na kihoro flani hivi?
na hiyo ikamaanisha kuwa amekuwa nervous kupita kiasi kwenye first date
obviously hiyo nervousness itapungua kama sio kuisha in the second, third, fourth dates?
huoni umuhimu wa kuenda dates 2, 3 kwanza kabla hujaamua???!
I asked a girl out on a date, and she asks me for a second date?? ... Nah, thats a turn off, kinda.
Signs of desperation ama sio?
,,hadithi ya samaki na mvuvi...
nani avue, nani avuliwe??
I asked a girl out on a date, and she asks me for a second date?? ... Nah, thats a turn off, kinda.
Sikiliza Karucee
Vipi kama jamaa amevutiwa sana kwa hivo akawa na kihoro flani hivi?
na hiyo ikamaanisha kuwa amekuwa nervous kupita kiasi kwenye first date
obviously hiyo nervousness itapungua kama sio kuisha in the second, third, fourth dates?
huoni umuhimu wa kuenda dates 2, 3 kwanza kabla hujaamua???!
To me it's a huge turn on.
It's affirmation that I'm simply irresistible.
Aaaaaaaaaah wapi! Hio ni proof to kuwa i wanna evaluate you more! Ukivuliwa kufuli ndo proof you are irresistible!!!!!! Watu wanaenda dates 10 na kina sanuka!
Signs of desperation ama sio?
,,hadithi ya samaki na mvuvi...
nani avue, nani avuliwe??
Hahaaaaaaaaaaaa! Hapo ujue ukimuomba ya Pili anakujibu changa la macho! Akisepa simu hapokei ng'oooo! Kwani unamdai? Hakuna fak promise miliyopeana!!!!!!!
Sisi watu wazima bwana if you play HARD TO GET na bikra ishatoka long time wanaume design yetu na Ciello sura nzuri na mipesa hawapendi ku work hard for anything! Ukijifanya her majesty kwisha habari yako!
Ila sura ngumu hata ujifanya the queen her self atavumilia!
Plus mi sioni kwanini ukae unaruhusu mfumo dume yeye akijisikia ndo aamue! Thats mambo ya kitoto!!!!! If you want it you ask for it!
Sikiliza Karucee
Vipi kama jamaa amevutiwa sana kwa hivo akawa na kihoro flani hivi?
na hiyo ikamaanisha kuwa amekuwa nervous kupita kiasi kwenye first date
obviously hiyo nervousness itapungua kama sio kuisha in the second, third, fourth dates?
huoni umuhimu wa kuenda dates 2, 3 kwanza kabla hujaamua???!
Not necessarly! Maybe im undecided yet!!!! Kuna vitu umenifurahisha, vingine umeniboa! Sasa all i need is more time to make a correct decision!!!!!
desperado, precisely. Good Lord I would be caught dead being one!
Signs of desperation ama sio?
,,hadithi ya samaki na mvuvi...
nani avue, nani avuliwe??
Nyani NgabuTo me it's a huge turn on.
It's affirmation that I'm simply irresistible.