Do's and Donts on a Date (Kwanini baada ya 1st date unapotezewaaaa!)

Do's and Donts on a Date (Kwanini baada ya 1st date unapotezewaaaa!)

mm namba 3,8&9 zilinifanya nikampiga chini mtu fasta. yaani kila siku nakuwa na kazi ya kumuelewesha hapa hii hapana hapa ndio kesho anarudi vile vile nafikiri ni kilema cha mtu
 
4.Unywaji wa pombe! Sio vibaya kutotumia alcohol ila Soda/Juice is definately a dont!! Kabisaaa! Huko ni kuleta nzi na nyuki kwa meza!!!!

hapa sdhani kama we unajijua ni soft drunker uende sehemu ya alcoholist hivyo atapokwambia chagua place u shud be creative kuchagua sehemu ambazo huko juice ndio nyumbani no alcohol, akikupenda atalearn from there kua we c mtumiaji

Hahahaaaaaaaa! Sasa kama mwenzio ana ubia na Bereweries! Hakutoi tena kwenda kwenye mijuisi kama kitoto cha sekondari! Kunywa malta!
 
I think we have different perspectives. Its me as a woman who decides if there will be another date. Therefore it is the man who should ask when he will see me again. Then if I was impressed I will see him again. If not, then good riddance dude.
 
WTF kila unaye date naye hakuimpress?? afu other men siyo watu wakuinitiate hizo vidate hata kama umemuimpress...so gal u have 2push them smhow...mie sioni tatizo kwa mie kuinitiate the second date if package ina viwango vya TBS!!!

Namba 10 ...
Next date aombe nani? Aliyealika au aliyealikwa?
Nadhani it's better kama mwanaume kuomba next date baada ya kumdrop mwanamke, not exactly when you are droppin' her off but after.
Especially akikuvutia. Kuanza kuulizia next date bila kuuhakiki mvuto utakuwa una bore.
 
I think we have different perspectives. Its me as a woman who decides if there will be another date. Therefore it is the man who should ask when he will see me again. Then if I was impressed I will see him again. If not, then good riddance dude.
I hear you!
 
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!!!!!

9.Mavazi! umealikwa vaa kwa staha ila sio kishamba!!!!! Na wananume modo imekubanaa hata ukijamba ushuzi unabaki humohumo hadi uvue hio modo utahisiwa si riziki bureeeeee! Kikatu Papa Mukulu ana afadhali kilivochongoka!!!!!
(JF IS NEVER BORING!!!!!)

Yaani nimecheka mpaka wanafikiri natakiwa Milembe sasa, plus na hiyo ya kusema eti unasubiri simu ya bibi yako hahahaha sina mbavu kabisa. Thanks maana nilikua sijacheka tokea asubuhi nimestresika na kazi za watu tena mshahara wenyewe haueleweki hata kidogo
 
No.5: and why should a woman date some one who is less smarter than her??? sioni logic ya kudate a person of that kind!!! a man anayekuwa smart than you its sexy na itayafanya mahusiano yenu yaimarike..ukidate smone less smart than you hatoacha kujistukia..tena hawa men wa ktz..its not advisable kabisa!!!
no.10: asking for a second date its normal if umeridhia mzigo husika...
No 5; Hakuna mwanaume ambaye anapenda kudate someone ambaye anadhani she is smarter than him, that is a no no!
No 10; Biggest mistake ambayo wadada wengi sana hufanya, if you dont ask ndio imetoka hivyo, the guy will think he did not impress you!
 
No.5: and why should a woman date some one who is less smarter than her??? sioni logic ya kudate a person of that kind!!! a man anayekuwa smart than you its sexy na itayafanya mahusiano yenu yaimarike..ukidate smone less smart than you hatoacha kujistukia..tena hawa men wa ktz..its not advisable kabisa!!!
no.10: asking for a second date its normal if umeridhia mzigo husika...

We are talking about the same thing but approaching it differently, the fact is wanaume wengi sana will not feel comfortable dating someone who he perceive to be smarter than him, huo ndio ukweli wenyewe, they always feel confident akijua he is smarter than you! Wanawake wengi dont ask for second date hata kama amependa company ya jamaa ndio tunasema that is a mistake!
 
Sounds like things are getting tougher days in days out!
I do advise people to dance as per the melody!
Tatizo ya haya mambo ya 'recipes' hayatabiriki sana..
Unaweza kudhani kufanya hivi au vile unapatia kumbe ndio unaingia chaka..
All in all in a first date, i get despised by a person who talks too much, but in reality speaking nothing...

"Better to remain silent and be thought a fool, than to speak and remove all doubt.
 
na ndomana nikauliza why should a woman do that!!! hawafil comfortable kwakuwa hawajiamin na kwa kulijua hilo ni mwiko kudate such kind of a guy!!! na kama hawa-ask 4a second date then they should start doimg that!!!
We are talking about the same thing but approaching it differently, the fact is wanaume wengi sana will not feel comfortable dating someone who he perceive to be smarter than him, huo ndio ukweli wenyewe, they always feel confident akijua he is smarter than you! Wanawake wengi dont ask for second date hata kama amependa company ya jamaa ndio tunasema that is a mistake!
 
na ndomana nikauliza why should a woman do that!!! hawafil comfortable kwakuwa hawajiamin na kwa kulijua hilo ni mwiko kudate such kind of a guy!!! na kama hawa-ask 4a second date then they should start doimg that!!!

Got ya!
 
WTF kila unaye date naye hakuimpress?? afu other men siyo watu wakuinitiate hizo vidate hata kama umemuimpress...so gal u have 2push them smhow...mie sioni tatizo kwa mie kuinitiate the second date if package ina viwango vya TBS!!!

slow down girl! They key word is IF. If a brother doesn't impress me then no second date for him. What do you mean some have to be pushed by initiating arrangements for the second date? That will certainly not be me. I am not a pushover when it comes to men. It is what it is.
 
Naona wadada mnawekana sawa,, mi napita tu naelekea bar kumalizia vitu vyangu..

kampuni zenye utaratibu wa ku close business for holidays zina akili sana maana wiki nzima ni bia na nyamachoma kuanzia asubuhi mpaka late nights then supu asubuh unarudi bar tena.. Nyinyi endeleeni kushauriana tu..

Nitarudi asubuhi kusoma mawazo yenu nyote.. Heri ya mwaka mpya wadau na poleni na kazi mnaoenda kazini kesho
 
Back
Top Bottom