Do's and Donts on a Date (Kwanini baada ya 1st date unapotezewaaaa!)

Do's and Donts on a Date (Kwanini baada ya 1st date unapotezewaaaa!)

am not so fast as u think...gotcha u...mzee wa kuimpressiwa!!!
slow down girl! They key word is IF. If a brother doesn't impress me then no second date for him. What do you mean some have to be pushed by initiating arrangements for the second date? That will certainly not be me. I am not a pushover when it comes to men. It is what it is.
 
Sijui kwanini lkn 1st date hainisumbui. Wanawake wenzangu wanaweza nisumbua lkn si mwanaume. Kupick nguo labda lkn hata nikiwa naenda job napata shida hivyo hivyo (badilisha outfit kama 3 au 4).

Being urself is the key! Anapaswa kukupenda the way you are.
 
Naona wadada mnawekana sawa,, mi napita tu naelekea bar kumalizia vitu vyangu..

kampuni zenye utaratibu wa ku close business for holidays zina akili sana maana wiki nzima ni bia na nyamachoma kuanzia asubuhi mpaka late nights then supu asubuh unarudi bar tena.. Nyinyi endeleeni kushauriana tu..

Nitarudi asubuhi kusoma mawazo yenu nyote.. Heri ya mwaka mpya wadau na poleni na kazi mnaoenda kazini kesho

starehe njema mkuu. Kakate kiu urudi baadae.
 
Kazi ipo hapa, ASK A LADY AND SHE WILL TELL YOU HOW SHE IS,ASK A MAN AND HE WILL TELL YOU WHAT HE HAVE,suala naomba kuuliza hv ktk date mnaongea mambo gani hasa ama ninyi ladies mnapendelea kuongelea vitu gani maana kuna wanaume ni observers si waongeaji kihivyo ila ukimgusa sehemu yake ya interest utamuona ni muongeaji,how do u treat such kind of a man?
 
4.Unywaji wa pombe! Sio vibaya kutotumia alcohol ila Soda/Juice is definately a dont!! Kabisaaa! Huko ni kuleta nzi na nyuki kwa meza!!!!

hapa sdhani kama we unajijua ni soft drunker uende sehemu ya alcoholist hivyo atapokwambia chagua place u shud be creative kuchagua sehemu ambazo huko juice ndio nyumbani no alcohol, akikupenda atalearn from there kua we c mtumiaji

hapo sasa panahusika mie mwenzenu hayo makitu masavanna,smiroff malta redbull hayapiti kabisa mdomoni miaka yote.
Hapo mwendo wa pepsi baridiii au juice burdani kabisa.
 
Ushatolewa vidate mara ngapi?
Sijui kwanini lkn 1st date hainisumbui. Wanawake wenzangu wanaweza nisumbua lkn si mwanaume. Kupick nguo labda lkn hata nikiwa naenda job napata shida hivyo hivyo (badilisha outfit kama 3 au 4).

Being urself is the key! Anapaswa kukupenda the way you are.
 
Hahaha :laugh:...,the contents arent new kivile ila presentation skills zako ndo huwa zinanivunja mbavu..u have made my day...LOL!!,plus its a gud thread its not one sided.
 
Kazi ipo hapa, ASK A LADY AND SHE WILL TELL YOU HOW SHE IS,ASK A MAN AND HE WILL TELL YOU WHAT HE HAVE,suala naomba kuuliza hv ktk date mnaongea mambo gani hasa ama ninyi ladies mnapendelea kuongelea vitu gani maana kuna wanaume ni observers si waongeaji kihivyo ila ukimgusa sehemu yake ya interest utamuona ni muongeaji,how do u treat such kind of a man?

personally I believe kuna rules za what you should NOT talk about. Ila what to talk about kuna alot of freedom which can be fun.
 
nakuvulia kofia lara.natamani nikuone face to face.maana maelezo yako tu,yamenifanya nicheke
 
I think we have different perspectives. Its me as a woman who decides if there will be another date. Therefore it is the man who should ask when he will see me again. Then if I was impressed I will see him again. If not, then good riddance dude.

Hahahaaaaaaaaa! Sometimes you do like the guy! Why act and pretend her majesty!!!!!!
 
5.Ukiongelea uhasibu anajua,utabibu anajua,uhandisi ndo usiseme duu hadi siasa haachi
9.Kamix rangi ya nguo akija kwa mbali utadhani bus la SUMRY linakuja:majani7:
 
slow down girl! They key word is IF. If a brother doesn't impress me then no second date for him. What do you mean some have to be pushed by initiating arrangements for the second date? That will certainly not be me. I am not a pushover when it comes to men. It is what it is.

Sikiliza Karucee
Vipi kama jamaa amevutiwa sana kwa hivo akawa na kihoro flani hivi?
na hiyo ikamaanisha kuwa amekuwa nervous kupita kiasi kwenye first date
obviously hiyo nervousness itapungua kama sio kuisha in the second, third, fourth dates?
huoni umuhimu wa kuenda dates 2, 3 kwanza kabla hujaamua???!
 
Last edited by a moderator:
mimi sijui ni ushamba,na miaka yangu 23 sijawahi tolewa for a date,nikiambiwa napiga chenga sana,yan nitakupiga kiswahili mpaka basi,enewei lara 1 wish 2 see u kwakweli,maana nimecheka hswa ya 10,9 na 8
 
Sijui kwanini lkn 1st date hainisumbui. Wanawake wenzangu wanaweza nisumbua lkn si mwanaume. Kupick nguo labda lkn hata nikiwa naenda job napata shida hivyo hivyo (badilisha outfit kama 3 au 4).

Being urself is the key! Anapaswa kukupenda the way you are.

Hahaaaaaaaaaaa! Thubutuuuuuuuu! Being your self sometimes ni deal breaker! A sister should atlest try! Sasa we mtu mlevi, story zako zinaboa, mshamba afu umebahatika this dude to die for afu ufanye blander!!!!!!! Aaaaah wapi! Unakomaa nae kama kitu huji sio ukilema unajifunza huko huko! Mi nilikuwa sili chinese ila sasa nala mpaka japanese na lebanese!

Ujue kukumbatia ushamba na kujifanya your self vinaponza watu wengi! Try to make him like you! somtimes mtu anakupenda sema ushamba wako ndo unakuponza! Vitu kama unaweza jifunza na ni vizuri kama kula na umma why not? sio kukomaa kula paja na mkono, im being my self!
 
Sikiliza Karucee
Vipi kama jamaa amevutiwa sana kwa hivo akawa na kihoro flani hivi?
na hiyo ikamaanisha kuwa amekuwa nervous kupita kiasi kwenye first date
obviously hiyo nervousness itapungua kama sio kuisha in the second, third, fourth dates?
huoni umuhimu wa kuenda dates 2, 3 kwanza kabla hujaamua???!

We bwana vidate vingine chroquin lazima rules ziwe chroloquin!
 
Back
Top Bottom