Wakuu,
Jamani mwenye elimu yoyote kuhusiana na utunzaji wa gari. Maana kuna watu wanakaa na magari kwa miaka mitano (5) na bado jipyaa na kuna watu gari la aina hiyo hiyo kila siku garage.
Mwenye HINTS za kuzingatia tusaidiane ili wote tufaidike.
Kwa kuanzia:-
1.Ukizima gari hakikisha unaoff kwanza Radio and Ac
2. Gari ikiwa kwenye speed ukitaka kuchange Gia kuwa makini ukiweka Reverse ni rahisi kuua Gia Box
3. n.k